imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Safari hii tunakwenda Kolomije kwetu ila Bungeni lazima😂😂
View: https://youtu.be/MDj94T7_NOE?si=Oc0AF1Ss0T5StbQx
Ingependeza kama ingekuwa safari hii mnaenda Gerezani na sio Bungeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari hii tunakwenda Kolomije kwetu ila Bungeni lazima😂😂
Yani unapangia wananchi wakumchagua. Punguza kuabudu watu. Kwanini wewe usigombee ubunge?. Umebaki kumpigia Kafulilia Kampeni. Acha hizoNawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.
CHADEMA.
====
CHADEMA usiweke wagombea strong kwenye haya majimbo utapoteza rasilimali zako kiduchu unazomiliki nakuhakikishia.
1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Hussein Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
=>CCM pia msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa.
1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Dkt Wilbroad Slaa
17. Jimbo la Wakili Mwambukusi
18. Jimbo la Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge
Ongeza Jimbo unalidhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania.
Luangwa ndio wapi?. Jifunze kuandika vizuri. Halafu usipende kuwatukuza watu kijinga. Eti nani wa kumtoa Majaliwa Ruangwa!. Una tatizo.Sasa unabishana na ukweli wewe? Kuna mtu wa Kumtoa Majaliwa Luangwa?
Sina hizo taarifa kama wao ni WanaCCMEsther Matiko, Esther Bulaya, Jesca Kishoa, ni wana Ccm lakini mtoa mada amewaweka upande wa Upinzani.
..Bunge litakalotufaa linapaswa kuwa 55% kwa 45% kati ya kambi ya serikali na kambi rasmi ya upinzani.
Yaani kwenye orodha yote hiyo umemuona Kafulila tu?Yani unapangia wananchi wakumchagua. Punguza kuabudu watu. Kwanini wewe usigombee ubunge?. Umebaki kumpigia Kafulilia Kampeni. Acha hizo
Majimbo 21 uwaachie chadema ili iweje?,jambo hili haliwezi kujiridia asilani abadaniNawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.
CHADEMA.
====
CHADEMA usiweke wagombea strong kwenye haya majimbo utapoteza rasilimali zako kiduchu unazomiliki nakuhakikishia.
1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Hussein Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
=>CCM pia msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa.
1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Dkt Wilbroad Slaa
17. Jimbo la Wakili Mwambukusi
18. Jimbo la Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge
Ongeza Jimbo unalidhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania.
Sina hizo taarifa kama wao ni WanaCCM
Ni siasa za kijinga kutokuweka wagombea kwenye demokrasia. Mtu yeyeote ana haki za kushiriki uchaguzi. Kikubwa hapa kama wadau ni kupigania chaguzi huru bila kujali chama. Malalamiko mengi ni wizi wa kura . Tusijadili mambo ya kijinga mengineNawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.
CHADEMA.
====
CHADEMA usiweke wagombea strong kwenye haya majimbo utapoteza rasilimali zako kiduchu unazomiliki nakuhakikishia.
1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Hussein Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
=>CCM pia msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa.
1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Dkt Wilbroad Slaa
17. Jimbo la Wakili Mwambukusi
18. Jimbo la Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge
Ongeza Jimbo unalidhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania.
Nani kakuambia atagombea Ubunge??Sasa unabishana na ukweli wewe? Kuna mtu wa Kumtoa Majaliwa Luangwa?
NEC na polisi hakikisheni msikae karibu na CCM.Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.
CHADEMA.
====
CHADEMA usiweke wagombea strong kwenye haya majimbo utapoteza rasilimali zako kiduchu unazomiliki nakuhakikishia.
1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Hussein Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
=>CCM pia msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa.
1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Dkt Wilbroad Slaa
17. Jimbo la Wakili Mwambukusi
18. Jimbo la Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge
Ongeza Jimbo unalidhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania.
Nani kakuambia atagombea Ubunge??
Nani kakuambia atagombea Ubunge??
Nafahamu atagombea kama Kuna habari mpya unaweza kutuja pia sio mbayaNani kakuambia atagombea Ubunge??
Chadema kupata hawa Wabunge ni ndoto hata hivyo.Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.
CHADEMA.
====
CHADEMA msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo mtapoteza rasilimali zako kiduchu unazomiliki na mwisho hamtashinda Uchaguzi.
1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Hussein Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
Nashauri CCM pia msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa lakini watu hawa ni muhimu kwa ustawi wa demokrasina na ustawi wa hoja kinzani bungeni.
1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Dkt Wilbroad Slaa
17. Jimbo la Wakili Mwambukusi
18. Jimbo la Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge
Sasa nà wewe ongeza Jimbo unalodhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania viachiane ili kuimarisha Bunge la 12.
Hebu fafanua mkuuNi kama unaweweseka🐼
Sasa unabishana na ukweli wewe? Kuna mtu wa Kumtoa Majaliwa Luangwa?
Ngoja tuone 2025 itakavyokuwaUmeanza kuwa na uelewa lini? Isije ikawa upo sekondari unasoma!!
Majaliwa mwaka 2020 kwenye uchaguzi huru asingeshinda, ndiyo maana aliwatumia majambazi kumteka na kumpiga mpinxani wake ili atangazwe amepita bila kupingwa.
Hao wabunge bandia uliowaorodhesha hapo juu, karibia wote walitumia uovu wa namna hiyo. Wananchi bado wana hasiri dhidi yao. Kwenye uchaguzi huru, kwenye hiyo orodha, wa kuweza kuwa wabunge, hawatazidi nusu.
Mkuu kwani unadhani Kuna mtu wa kumahinda Majaliwa?Umeanza kuwa na uelewa lini? Isije ikawa upo sekondari unasoma!!
Majaliwa mwaka 2020 kwenye uchaguzi huru asingeshinda, ndiyo maana aliwatumia majambazi kumteka na kumpiga mpinxani wake ili atangazwe amepita bila kupingwa.
Hao wabunge bandia uliowaorodhesha hapo juu, karibia wote walitumia uovu wa namna hiyo. Wananchi bado wana hasiri dhidi yao. Kwenye uchaguzi huru, kwenye hiyo orodha, wa kuweza kuwa wabunge, hawatazidi nusu.
Hata Mimi nashangaa huyu ndg yangu kweli Mimi ni Waziri Mkuu nakubalije unishinde?Mkuu kwani unadhani Kuna mtu wa kumahinda Majaliwa?