Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Kwani Majaliwa anataka tena ?? Si angepumzika tu au ??Wanaweka madiwani sio Mbunge......iko sawa sawa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Majaliwa anataka tena ?? Si angepumzika tu au ??Wanaweka madiwani sio Mbunge......iko sawa sawa....
Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.
CHADEMA.
====
CHADEMA msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo mtapoteza rasilimali zako kiduchu unazomiliki na mwisho hamtashinda Uchaguzi.
1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Suleiman Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
25. Hamis Kigwangala
Nashauri CCM pia msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa lakini watu hawa ni muhimu kwa ustawi wa demokrasina na ustawi wa hoja kinzani bungeni.
1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Wilibrod Slaa
17. Jimbo la Boniface Mwambukusi
😎😎18. Jimbo la Frank Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge
Sasa nà wewe ongeza Jimbo unalodhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania viachiane ili kuimarisha Bunge la 12.
Wamefanya nini?Vijana wa SA wamefanya yao. Chawa wa ccm endeleeni kuota ndoto.
Hapa Wananchi wataamua huu mtanange kwa kweli au Jimbo ligawanyweSa mbona tukia na mbilinyii wako jimbo moja hata we mwenyewe umeshindwa kuwachagua wagombea
Tena wajumbe tutakosa hata pakuchinja,kwani mabisu yenyewe mengiii na makali hatari🤣Makonda tunamchomoa tena kwenye kura za maoni kama kawa
Mimi ukiniuliza kati ya Lema na Gambo nitakwambia Gambo ni Bora zaidi.Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.
CHADEMA.
====
CHADEMA msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo mtapoteza rasilimali zako kiduchu unazomiliki na mwisho hamtashinda Uchaguzi.
1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Suleiman Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
25. Hamis Kigwangala
Nashauri CCM pia msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa lakini watu hawa ni muhimu kwa ustawi wa demokrasina na ustawi wa hoja kinzani bungeni.
1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Wilibrod Slaa
17. Jimbo la Boniface Mwambukusi
18. Jimbo la Frank Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge
Sasa nà wewe ongeza Jimbo unalodhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania viachiane ili kuimarisha Bunge la 12.
Yaani tunuache Spialka Tulia tumchague Sugu? Huna akili kabisaNawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.
CHADEMA.
====
CHADEMA msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo mtapoteza rasilimali zako kiduchu unazomiliki na mwisho hamtashinda Uchaguzi.
1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Suleiman Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
25. Hamis Kigwangala
Nashauri CCM pia msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa lakini watu hawa ni muhimu kwa ustawi wa demokrasina na ustawi wa hoja kinzani bungeni.
1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Wilibrod Slaa
17. Jimbo la Boniface Mwambukusi
18. Jimbo la Frank Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge
Sasa nà wewe ongeza Jimbo unalodhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania viachiane ili kuimarisha Bunge la 12.
Agombee Urais kwa Chama gani?Mimi ukiniuliza kati ya Lema na Gambo nitakwambia Gambo ni Bora zaidi.
Pili Waziri Mkuu hawezi gombea tena stori yake imeishia kifuatacho ITV ni aidha agombee Urais(Hawezi pata) au asubirie kuteuliwa Mkuu wa Chuo .
Lile Jimbo lazima ligawanywe hakuna namnaYaani tunuache Spialka Tulia tumchague Sugu? Huna akili kabisa
CCMAgombee Urais kwa Chama gani?
Mama yupo na hatuna mashaka nae
2030Mama yupo na hatuna mashaka nae
Atakuwa na miaka 68 Mzee sana2030
Kumbe 😁😁😁😁Atakuwa na miaka 68 Mzee sana
Wajumbe tuna mchomoa mapemaaa asubuhi,kwani tulisha noa vichinjio vyetu na vilivyokuwa vingi na vikali hata shingo itaenda kutafutwa kwa tochi ilipokuwa😂Makonda tunamchomoa tena kwenye kura za maoni kama kawa
Acha kujifariji jamaa kwa sasa ni tishio Jimbo lolote hapa TanzaniaWajumbe tuna mchomoa mapemaaa asubuhi,kwani tulisha noa vichinjio vyetu na vilivyokuwa vingi na vikali hata shingo itaenda kutafutwa kwa tochi ilipokuwa😂
Makonda anataka agombee Jimbo gani? Harafu Kwa hulka yake hawezi pita na pia atapotea kwenye siasa maana anaweza asipate Wizara atasikika wapi Kwa utaratibu wake?Makonda tunamchomoa tena kwenye kura za maoni kama kawa
Wajumbe tuna mchomoa mapemaaa asubuhi,kwani tulisha noa vichinjio vyetu na vilivyokuwa vingi na vikali hata shingo itaenda kutafutwa kwa tochi ilipokuwa😂Makonda tunamchomoa tena kwenye kura za maoni kama kawa
Tisho kwako ila sii kwa raia wenye kujua tamu na chungu ya maisha ya kila siku,nyie mboga saba kwa urefu wa kamba mtuache na kazi yetu tuachie wenyewe🤣Acha kujifariji jamaa kwa sasa ni tishio Jimbo lolote hapa Tanzania