Pre GE2025 CHADEMA msiweke Wagombea kwenye haya Majimbo na CCM pia haya Msiweke ili kujenga Bunge lenye nguvu baada ya 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
MAKONDA ana jimbo lipi? Kolomije ?
POLEPOLE ana jimbo lipi?
DOTO BITEKO mgombe mwenza na mama , hana jimbo.
Kassim Majaliwa atagombea urais na kutupwa nje.
Khasim Majaliwa atagombea Urais kwa Chama gani?
 
Mikataba ni jambo la kawaida sana katika Dunia ya Sasa
Yeah , ni ushamba wetu tu, aliingia mikataba 1884 kuuza bara la afrika kwa wazungu,m Mangungo wa Msovera akaingia tena mkataba wa kuuza mkoa mzzima na huko Usagara na sas ahivi tunaingia tena mikataba, hakuna jipya wapinzani ndio shida kila mkataba wao wanapinga tu.
 
Sasa bila mikataba mtafanyaje kazi,
 
Ona ng'ombe hii
 
Sasa umesema CDM wasiweke mgombea kwenye jimbo la Tulia!!!
Then unasema CCM wasiweke mgombea jimbo la Sugu!! Hapo huoni umetuchangana logic yako!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…