CHADEMA mtandao huu sio wakati wa kupambana na Polepole

Kama CCM wangekuwa na akili ambayo unataka tuamini wanayo, leo hii nchi hii isingekuwa masikini kama ilivyo.

Ni wapi nimewataja CCM kwenye andiko langu?

Pia elewa kwamba hakuna Serikali inayotajirisha nchi. Utajiri wa nchi ni blessings (natural resources ilizonazo) kutoka kwa Mungu, lakini utajiri wa mtu mmoja mmoja ni juhudi za mtu mmoja mmoja. Wewe endelea kushinda nyuma ya keyboard ukisubiri kutajirishwa na Serikali!
 
Tupambane naye kwa lipi, shetani anasemwa siku yoyote na popote.
Wewe unakisiranitu, sifayashetani huwa anashawishi visasi na kutokusamehe sasa kama wewe ulitendwa na hujasamehe mbaka leo basi dhetani yupo ndaniyako.
 

Kama katiba ni hii hii na tume ni hii hii, hakuna mtu anayejitambua atashiriki huo upuuzi. Wasithubutu kumtukana kwani anatukanwa au anapewa ukweli wake? Mbona hata kampeni zilizopita akiwa hai kapewa ukweli akaishia kunajisi uchaguzi? Alikuwa anapewa vitasa vya ukweli hadi kila mikutano mitatu anaenda garage. Msongo wa mawazo alioupata wakati wa uchaguzi hakuwahi kurudi kwenye yale masifa yake ya kishamba, mpaka anaelekea kuzimu.

Ni hivi ukiacha siasa zake za kishamba na kiburi cha madaraka hajawahi kupambana na ufisadi zaidi ya kupora matajiri, na kulipiza kisasi kwa aliowachukia.
 

eti anapewa ukweli wake[emoji23][emoji23]nyie wagonjwa wa akili mtamsemesha mtu aliyefariki!!na alijua kuwanyandua,chuki mpaka unakaa na kuwaza eti yuko kuzimu,aende kuzimu kisa kakunyima nafasi ya kwenda kula posho za vikao[emoji2957][emoji2957]acha kudhani Mungu ni msela wa chadema.

kama hakupambana haina shida,2025 pandisha kalio jukwaani,ongea upuuzi kama hujashushwa na mawe.
mwenzako mwenyekiti saa hizi yuko nondo haelewi amwiteje jpm,dictator ama nabii.
 
Kesi ya Mbowe kitu gani bana si sawa tu na kesi ya Sabaya, wacha sheria zifuate mkondo wake,kama mlivyoshangilia kwa Sabaya ndivyo na sisi tutakavyo shangilia kwa Mbowe akienda kunyolewa.
 

Acha kupanick hili game halihitaji hasira. Unasema watu watapigwa na mawe wakati alikuwa anaambiwa kajenga uwanja wa ndege ili akatumie na mama yake na watu wakawa wanashangilia, hayo aliambiwa akiwa hai, ndio itakuwa akiwa motoni.
 
Acha kupanick hili game halihitaji hasira. Unasema watu watapigwa na mawe wakati alikuwa anaambiwa kajenga uwanja wa ndege ili akatumie na mama yake na watu wakawa wanashangilia, hayo aliambiwa akiwa hai, ndio itakuwa akiwa motoni.

hakuna aliyepanick,

uwanja alijenga ndio,wewe siku ya kampeni kata mauno kwamba hauna maana,halafu siku ya kampaign geita wanaume wanakusubiri uwaeleze wao ni mbuzi au watanzania kama wengine!!

kama mlimwambia hayo akiwa hai,kwa sasa mnapiga kelele mnaweweseka ama maumivu yamezidi baada ya kuondoka??
 
D Du ! Unasemaje....hakuna Serikali inayotajirisha nchi!
Hivi mlienda Shule kufanya Nini!?
Serikali ya CCM ninlaana na chanzo Cha Umaskini was Tanzania!
Hivi hujui kuwa Kuna watu bado hawana maji na wengine wanachangia na nyani na tumbili ,ili Hali km chache Kuna Makao Makuu ya Halamashauri ambako kina watunwanaishi peponi!
Hebunkaangalie magari ya DC,Ded,na wakuu wengine yangeweza kabisa kuchinba visima vyaa maji hata 20 vya gharama ya Sh.M10!
Unajua kuwa Kuna watu wanatembea Km Kumi kwenda kupima Malaria ,Ili Hali kina mshamba mmoja amejenga Uwanja was ndege was Bilioni kadhaa kijijini kwake!?
Juzi tumeona kindi la Wana CCM wakitembelea shule ya mbavu za mbwa wakapiga na selfie!
Hii nchi ukitafakari sana unaweza elewa no Kwa Nini Savimbi aliuawa akiwa ameshika AK 47!
 
Hopeless, watu kama wewe eti ndio muonekano wa upinzani Tanzania hujui hata faida na hasara ya kushangilia kilakitu, alafu akitokea mtu akakuambia wewe ni juha utakataa!!.
Juha kama juha wa mwendazake blackminded person,unaishi kwa kukariri huamini katika kujifunza bali unaishi kwa kutegemea hisani za watawala(THAT IS HOPELESS) simple logic.
 

Ukikuta mtu anajenga hoja yake kwa kigezo cha usomi ujue hakuna msomi hapo! …BTW, who told you I went to school?

Unajua kwamba uwepo wa huduma sio utajiri bali ni matumizi ya utajiri?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Tindo ana stress sana
 
Wewe mburula Chadema inahusikaje na upuuzi wa Polepole? Lini Chadema imetoa tamko kuhusu huyu kiroboto? Koma kuihusisha Chadema na upuuzi wenu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…