The africanus
Member
- Sep 25, 2021
- 79
- 94
Hakuna move yoyote hapo zaidi ya watu kugombania matumbo yao.wote wanajulikana ikitokea wamepeana ulaji hutakaa uwasikie tena.Hpp wako alishaonja vitamu akawabeza wenzake.sasa leo anaona aliowabeza ndo wanaokula na kumbeza yeye ndo maana kaibuka na haya makasiriko uku akijificha nyuma ya mgongo wakujifanya mzalendo.Ushauri mzuri ila tatizo Chadema hawashauriki kabisa. Wange support hii move ya HPP wangejizolea umaarafu mkubwa. HPP si wa kubeza ana watu wengi sana wanao muunga mkono wengi wakiwa vijana.