Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Huko kufurahia kwenu ndio ubendera fuata upepo wenyewe na kupotezwa kwenye ishu muhimu kwenyewe!Polepole pamoja na genge lake hawana uwezo wa kupoteza uelekeo wa yoyote, usitake kumpa sifa asiyokuwa nayo. Hapa watu wanafurahia yeye kukutana na mazingira aliyoyajenga kipindi cha Magufuli.
Huwezi kuelewa hili kama akili zako amezishika Lisu.