WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Polepole ni mhuniKinacho nishangaza Ni kuona wanaharakati kuungana na wanaoitwa wahuni kumshambulia Polepole! Wamesahau kwenye siasa au harakati hua hakuna adui wa kudumu.
Hata adui Alie kupiga jiwe Jana akitoka Leo na hoja yenye manufaa kufikia malengo yako anamuunga mkono faster ilimradi unajua amekusaidia kufanikisha yako.
Licha ya yote aliyowahi kufanya nyuma hayana maana Wala hayana msaada kwenu,yenye msaada kwenu Ni Hilo anacho kusema sasa chocheeni kuni Moto ukolee Hilo ndio lenye manufaa kwenu.
Moshi wa Polepole umeanza kuwatoa nje wahuni mpeni nguvu na kukoleza mchezo,mmelamba garasa lipo ndani ya ngome halafu mnalichunia! mnajua siasa kweli vijana?
Kuna furaha na shangwe isiyo kifani huku uhunini kadri mnavyomkandia Mr p ole wenu mumuunge mkono huku hapatakalika.