instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Mnadhani mtaweza mliowafanyia Mbatia na Lipumba mtaweza kwa Chadema?Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Mbona samia hajiuzulu punga wewe?Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Omba wakutimue wewe hapo unpojibanza kwa shemeji yako. Ukitimliwa, huenda utaijiwa na mawazo ya kujitegemea, ukaondokewa na hii laana ya kutumiwa.Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
ninyi ndio mnaosababisha hata tusiopenda kutukana, tusikie kutukana. Mnatutendesha dhambi. Project zote za kisheitwani dhidi ya WATETEA haki mlifeli, hamjifunnzi kitu tu? bongo zenu zimejaa samadi ya nguruweKuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Bilioni 40 za kagoda limited hakuna aliyesimamishwa wala kutimuliwa ndani ya CCM ambako kuna accountability.Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
mbaya zaidi,Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Yah safi sanaChadema hatuwezi kukubali huyu mkurya atuharibie chama chetu, lazima tumle kichwa!!
tunajua mnalipwa kuandika takataka.Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Ukweli haujawahi kuwa takatakatunajua mnalipwa kuandika takataka.