CHADEMA mtimueni John Heche labda mseme hakuna accountability ndani ya chama

Mtu ana tuhuma za Mauaji mbona hamumwambii akauntabiliti?
 
Ya chadema yanakuumiza kumbe.
 
Kwahiyo kila shutuma unatimua, wewe pia unazo shutuma, jiue.
 
Huu ni utapeli wa kisiasa, hapo bado hawajashika dola washaanza kudhulumiana, jee wakiwa na mamlala kamili itakuaje. Kiufupi wanasiasa wote mafisadi hakuna . Haya leo chadema na wenyewe na mafisadi. Hakuna wakuamini wote wezi. Kam chadema wanataka kujisafisha wafukuze wezi wao wote ndio tutawaamini na waseme hawadharani hao mafisadi
 
Pesa ziipi hizo mnazosema ametumia vibaya wkt hata ruzuku mmeinyima Chadema. Mbona ccm mnatumia vibaya Kodi za wananchi na huyo bi kizee hamtaki ajiuzulu na mnamlinda kwa gharama ya damu za watu? Shame on you!
 
Propaganda mfu sana hii. Jipangeni kivingine na hamtaiweza chadema. Wajinga nyie
 
Anakunyima amani eh! Na bado mtabweka sana ila hatoki kwa matakwa yenu bali kwa mujibu wa katiba ya cdm aliyoapa kwayo kuilinda na kuitii.
Hivi vijisenti mnavyopeana siyo zimetokana na mauzo ya dhahabu yetu kule BoT? Ole wenu tukute hakuna dhahabu kwenye kihenge chetu, mtazinya!
Heche kaza na kanyaga hivyohivyo usiachie hadi yakimbie nchi haya madhulumati na vijichawa uchwara vyao wanavyovifuga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…