Heche amewabana mpaka mikojo imewabana!! Hapo ndio mnatusaidia kutambua kuwa huyu ndiye anayetufaa. HECHE ALL THE WAY!!!!! Huraaaa..,...Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Hafai hata kidogoHeche amewabana mpaka mikojo imewabana!! Hapo ndio mnatusaidia kutambua kuwa huyu ndiye anayetufaa. HECHE ALL THE WAY!!!!! Huraaaa..,...
Hoja za ubadhirifu za Heche hazifai kufumbiwa machoHuna akili hata ya kung'amua hiyo satire kibonde wewe! Unaunga tu hoja bila kujua kuwa umekejeliwa!
Chadema haifanyi kazi kwa kufuata umbea wa maccm mitandaoni. Pigeni kekele hadi mpasuke Heche yupo sana labda mumue kwani hilo ndiyo mnaloliweza tu.Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
******** kamtimue kwanza mamakoKuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Ila za samia tufunge macho! Utajinyonga yatakapojiri yale ya USA, EU na Commonwealth. Na mtaani kwako wanakuona bonge la mwenyeakili? Jishtukie, hao wanaokutuma uwapiganie humu wanaiwinda hiyo tigo yako!Hoja za ubadhirifu za Heche hazifai kufumbiwa macho