johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mtoa mada hajitambuiMbona Pharao na Adolf Hitler hawakumbukwi kwa mazuri yao.
Adolf Hitler umeenda mbali, je jirani yetu Iddi Amin Dada, mbona anatukanwa na kukumbukwa kwa mabaya yake tu kila kukicha na sio mazuri yake.Mnataka kutuambia hata Hitler alivyokuwa muuaji tusijadili ukatili wake kisa tu alijenga taifa imara la ujerumani kiuchumi?
Wamehojiwa yeye na Prof Lipumba kila mmoja akiwakilisha chama chake!Huyu Mwagito huko ni ukweni. Tusimsikilize sana maneno yake.
Mtoa mada hajitambui.Umemsahau jirani yetu Iddi Amin Dada, mbona anatukanwa na kukumbukwa kwa mabaya yake tu kila kukicha na sio mazuri yake.
johnthebaptist dogo, leo utakua umesahau kumeza zile dawa za milembe ulizopewa.
Wewe uko kidunia zaidi!Mabaya ndiyo yanafundisha zaidi ili watu wengine wasifanye hivyo ila tuta muenzi kwa mazuri pia
Mchungaji Msigwa ambaye amedai anaiwakilisha Chadema katika mazishi ya kijeshi ya hayati Magufuli kule Chato amesema mtu akifa kinachopaswa kujadiliwa ni mazuri aliyoyatenda ili yaendelexwe na kamwe si mabaya yake.
Mtumishi wa Mungu mchungaji Msigwa amesema hayati Magufuli ana mengi maxuri aliyotuachia ikiwemo mapambano ya rushwa na ufisadi, ulinzi wa rasilimali, nidhamu serikalini na dhana ya Kujitegemea ambavyo ni lazima vienziwe bila kujali itikadi za kisiasa, dini au kabila.
Source ITV habari
RIP Magufuli!
Nimemnukuu mwakilishi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe aliyeongea mubashara luningani ITV!Mtoa mada hajitambui.
Wataalamu wanasema kuchagua kuacha kuchambua kwa kina na kujifunza mabaya yaliyopita ni kujifurahisha kwa muda mfupi. Ila tukipitia na kuchambua yote mabaya na mazuri basi tunajijengea jamii itakayokuwa bora kwa muda mrefu ambayo itaepuka yale mabaya yaliyojadiliwa na kuhifadhiwa vizuri ktk historia ya jamii hiyo.Mchungaji Msigwa ambaye amedai anaiwakilisha Chadema katika mazishi ya kijeshi ya hayati Magufuli kule Chato amesema mtu akifa kinachopaswa kujadiliwa ni mazuri aliyoyatenda ili yaendelexwe na kamwe si mabaya yake.
Mtumishi wa Mungu mchungaji Msigwa amesema hayati Magufuli ana mengi maxuri aliyotuachia ikiwemo mapambano ya rushwa na ufisadi, ulinzi wa rasilimali, nidhamu serikalini na dhana ya Kujitegemea ambavyo ni lazima vienziwe bila kujali itikadi za kisiasa, dini au kabila.
Source ITV habari
RIP Magufuli!
Maana kufunika maovu ni kukaribisha mdhalimu kujitokeza siku za usoni. Hata vitabu vya imani kwa makusudi vimehifadhi mabaya na mazuri ktk vitabu vyao ili kuwafunua kiakili waumini wake. Ndani ya vitabu vya imani kumeandikwa hadithi na simulizi za shetani, uchawi, njama ovu, utapeli, mama kupanga njama za urithi na mwanae, Samsoni & Delila, utawala uliofitinika, uzinzi, umalaya, vita, watoza ushuru, wanyanganyi na majambazi n.k ili kuwajenga waumini wake vizuri kujua mema na mabaya.
Mchungaji Msigwa ambaye amedai anaiwakilisha Chadema katika mazishi ya kijeshi ya hayati Magufuli kule Chato amesema mtu akifa kinachopaswa kujadiliwa ni mazuri aliyoyatenda ili yaendelexwe na kamwe si mabaya yake.
Mtumishi wa Mungu mchungaji Msigwa amesema hayati Magufuli ana mengi maxuri aliyotuachia ikiwemo mapambano ya rushwa na ufisadi, ulinzi wa rasilimali, nidhamu serikalini na dhana ya Kujitegemea ambavyo ni lazima vienziwe bila kujali itikadi za kisiasa, dini au kabila.
Source ITV habari
RIP Magufuli!
Tena ujerumani wametengeneza na mtaala kujifunza kuhusu Hitler ili kusitokee kuimbe atakaye tawala km HitlerMnataka kutuambia hata Hitler alivyokuwa muuaji tusijadili ukatili wake kisa tu alijenga taifa imara la ujerumani kiuchumi?
Siyo kwa kuwa amefariki tu, hivyo ndivyo alivyokuwa dad siyo huo uzushi waliokuwa wanamzushia! Alafu siku nyingine unapoandika usiandike kichoko kwa kuweka x sehemu ya z mfyuuuuuu 😡!Mchungaji Msigwa ambaye amedai anaiwakilisha Chadema katika mazishi ya kijeshi ya hayati Magufuli kule Chato amesema mtu akifa kinachopaswa kujadiliwa ni mazuri aliyoyatenda ili yaendelexwe na kamwe si mabaya yake.
Mtumishi wa Mungu mchungaji Msigwa amesema hayati Magufuli ana mengi maxuri aliyotuachia ikiwemo mapambano ya rushwa na ufisadi, ulinzi wa rasilimali, nidhamu serikalini na dhana ya Kujitegemea ambavyo ni lazima vienziwe bila kujali itikadi za kisiasa, dini au kabila.
Source ITV habari
RIP Magufuli!
Siyo kwa kuwa amefariki tu, hivyo ndivyo alivyokuwa dad siyo huo uzushi waliokuwa wanamzushia! Alafu siku nyingine unapoandika usiandike kichoko kwa kuweka x sehemu ya z mfyuuuuuu 😡!Mchungaji Msigwa ambaye amedai anaiwakilisha Chadema katika mazishi ya kijeshi ya hayati Magufuli kule Chato amesema mtu akifa kinachopaswa kujadiliwa ni mazuri aliyoyatenda ili yaendelexwe na kamwe si mabaya yake.
Mtumishi wa Mungu mchungaji Msigwa amesema hayati Magufuli ana mengi maxuri aliyotuachia ikiwemo mapambano ya rushwa na ufisadi, ulinzi wa rasilimali, nidhamu serikalini na dhana ya Kujitegemea ambavyo ni lazima vienziwe bila kujali itikadi za kisiasa, dini au kabila.
Source ITV habari
RIP Magufuli!
Hiyo ni kanuni ya wapi?Mchungaji Msigwa ambaye amedai anaiwakilisha Chadema katika mazishi ya kijeshi ya hayati Magufuli kule Chato amesema mtu akifa kinachopaswa kujadiliwa ni mazuri aliyoyatenda ili yaendelexwe na kamwe si mabaya yake.