Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
Wafuasi wa chadema wana katabia fulani ivi Cha uchangudoa
Haaa! malipo ni hapahapa dunianiSasa kulikuwa hakuna room ya kudiscuss mabaya wakati yupo hai na hata ukionekana unasema mabaya basi bshite atatuma genge lake la wahuni kuja kukuteka.
Hawa hawa akina mmawia?!!Wafuasi wa chadema wana katabia fulani ivi Cha uchangudoa
Kuku! pyu pyu!, ila watu wasiojulikana noma wametamba sana awamu ya 5Sasa kulikuwa hakuna room ya kudiscuss mabaya wakati yupo hai na hata ukionekana unasema mabaya basi bshite atatuma genge lake la wahuni kuja kukuteka.
Johnthebaptist : Wosia wa Hayati Rais John Magufuli ataka somo la historia ya nchi yetu lifundishwe kwa usahihi na sote tujue yaliyotokea....
RAIS MAGUFULI ATAKA SOMO LA HISTORIA LIFUNDISHWE
Huo ni mtazamo wako!Jiwe hana mazuri yoyote , zaidi ya kuwa sliendesha nchi kwa propaganda za kudanganya umma , hakuna alichofanya zaidi ya kuharibu nchi na mahusiano ya kimataifa .
Mchungaji Msigwa ambaye amedai anaiwakilisha Chadema katika mazishi ya kijeshi ya hayati Magufuli kule Chato amesema mtu akifa kinachopaswa kujadiliwa ni mazuri aliyoyatenda ili yaendelexwe na kamwe si mabaya yake.
Mtumishi wa Mungu mchungaji Msigwa amesema hayati Magufuli ana mengi maxuri aliyotuachia ikiwemo mapambano ya rushwa na ufisadi, ulinzi wa rasilimali, nidhamu serikalini na dhana ya Kujitegemea ambavyo ni lazima vienziwe bila kujali itikadi za kisiasa, dini au kabila.
Source ITV habari
RIP Magufuli!
Mnataka kutuambia hata Hitler alivyokuwa muuaji tusijadili ukatili wake kisa tu alijenga taifa imara la ujerumani kiuchumi?
Kigololi kimekuzunguka weee, umeitaja Chadema sasa kimekushuka,haya wahi kwa polepole ukachukue mkate wako wa siku wanao waende chooni.Mchungaji Msigwa ambaye amedai anaiwakilisha Chadema katika mazishi ya kijeshi ya hayati Magufuli kule Chato amesema mtu akifa kinachopaswa kujadiliwa ni mazuri aliyoyatenda ili yaendelexwe na kamwe si mabaya yake.
Mtumishi wa Mungu mchungaji Msigwa amesema hayati Magufuli ana mengi maxuri aliyotuachia ikiwemo mapambano ya rushwa na ufisadi, ulinzi wa rasilimali, nidhamu serikalini na dhana ya Kujitegemea ambavyo ni lazima vienziwe bila kujali itikadi za kisiasa, dini au kabila.
Source ITV habari
RIP Magufuli!
Na siku hizi ameacha kumeza ARV wadudu wameanza kuchanganya kichwani,huwezi kumtofautisha na jingalao,yale madini aliyokuwa anatoa zamani yameathiriwa na virusi.Adolf Hitler umeenda mbali, je jirani yetu Iddi Amin Dada, mbona anatukanwa na kukumbukwa kwa mabaya yake tu kila kukicha na sio mazuri yake.
johnthebaptist dogo, leo utakua umesahau kumeza zile dawa za milembe ulizopewa.
Sasa lipumba naye wa kumtilia maanani?Wamehojiwa yeye na Prof Lipumba kila mmoja akiwakilisha chama chake!
Wafuasi wa CCM wako kimalaya malaya hivi,wana tabia za kimalaya malaya.Wafuasi wa chadema wana katabia fulani ivi Cha uchangudoa
Tunapaswa kujadili mabaya pia ili tuyaacheMchungaji Msigwa ambaye amedai anaiwakilisha Chadema katika mazishi ya kijeshi ya hayati Magufuli kule Chato amesema mtu akifa kinachopaswa kujadiliwa ni mazuri aliyoyatenda ili yaendelexwe na kamwe si mabaya yake.
Mtumishi wa Mungu mchungaji Msigwa amesema hayati Magufuli ana mengi maxuri aliyotuachia ikiwemo mapambano ya rushwa na ufisadi, ulinzi wa rasilimali, nidhamu serikalini na dhana ya Kujitegemea ambavyo ni lazima vienziwe bila kujali itikadi za kisiasa, dini au kabila.
Source ITV habari
RIP Magufuli!
Mchungaji Msigwa alimwakilisha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mazishi ya kijeshi!Kigololi kimekuzunguka weee, umeitaja Chadema sasa kimekushuka,haya wahi kwa polepole ukachukue mkate wako wa siku wanao waende chooni.
Mchungaji Msigwa ndio tumemtilia maanani bwashee!Sasa lipumba naye wa kumtilia maanani?
Yule hakuiwakilisha Chadema, yeye ni mwanafamilia ,hivyo alichosema ni mtazamo wake kama mwanafamilia,sema tu una hamu sana kuitajataja Chadema, Mbowe na Lissu.Mchungaji Msigwa alimwakilisha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mazishi ya kijeshi!