Chadema: Mtu akishakufa hatupaswi kujadili mabaya yake bali tunajadili mazuri yake ili tuyaendeleze

Wafuasi wa chadema wana katabia fulani ivi Cha uchangudoa
 
Johnthebaptist : Wosia wa Hayati Rais John Magufuli ataka somo la historia ya nchi yetu lifundishwe kwa usahihi na sote tujue yaliyotokea....

RAIS MAGUFULI ATAKA SOMO LA HISTORIA LIFUNDISHWE​

 
Kumbe alipambana na ufisadi!! Basi sawa.
 
Johnthebaptist : Wosia wa Hayati Rais John Magufuli ataka somo la historia ya nchi yetu lifundishwe kwa usahihi na sote tujue yaliyotokea....

RAIS MAGUFULI ATAKA SOMO LA HISTORIA LIFUNDISHWE​

Bwashee unataka kusema ushauri wa Chadema siyo mwafaka?
 
Jiwe hana mazuri yoyote , zaidi ya kuwa sliendesha nchi kwa propaganda za kudanganya umma , hakuna alichofanya zaidi ya kuharibu nchi na mahusiano ya kimataifa .
 
Umesahau alipofariki ndesamburo, serikali iyo haramu hata uwanja ilitunyima, kifupi kila mtu ashinde mechi zake, msitake favour wakati nyie wagumu kwa hilo
 
Kigololi kimekuzunguka weee, umeitaja Chadema sasa kimekushuka,haya wahi kwa polepole ukachukue mkate wako wa siku wanao waende chooni.
 
Adolf Hitler umeenda mbali, je jirani yetu Iddi Amin Dada, mbona anatukanwa na kukumbukwa kwa mabaya yake tu kila kukicha na sio mazuri yake.

johnthebaptist dogo, leo utakua umesahau kumeza zile dawa za milembe ulizopewa.
Na siku hizi ameacha kumeza ARV wadudu wameanza kuchanganya kichwani,huwezi kumtofautisha na jingalao,yale madini aliyokuwa anatoa zamani yameathiriwa na virusi.
 
Tunapaswa kujadili mabaya pia ili tuyaache
 
Kigololi kimekuzunguka weee, umeitaja Chadema sasa kimekushuka,haya wahi kwa polepole ukachukue mkate wako wa siku wanao waende chooni.
Mchungaji Msigwa alimwakilisha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mazishi ya kijeshi!
 
Mchungaji Msigwa alimwakilisha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mazishi ya kijeshi!
Yule hakuiwakilisha Chadema, yeye ni mwanafamilia ,hivyo alichosema ni mtazamo wake kama mwanafamilia,sema tu una hamu sana kuitajataja Chadema, Mbowe na Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…