The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
Pole kama hukuambulia kitu.Andika kwa kiswahili naona lugha ya mabeberu inakupa shida
Mimi niko kwa Charles unasema sijui ung'eng'e?
Pole kama hukuambulia kitu.Andika kwa kiswahili naona lugha ya mabeberu inakupa shida
Elewa kuwa Tanzania chochote kinawezekana. Mara ngapi sheria zimevunjwa waziwazi na hakuna anayejaliEnyi Majuha haiwezekani mtu akapelekwa gerezani moja kwa moja bila kupitia mahakamani nasisitiza haiwezekani utapokelewaje Remand Warrant ya Mahakama pekee ndo inakubalika na askari magereza acheni kuleta taharuki yapo manyumbu yanaona kweli hilo suala
Oya Hakimu akijichanganya tuu akaweka watu wawili kwenye Warrant moja hawapokelewi Polisi aliyewaleta anaondoka nao kwenda kurekebisha mahakamaniElewa kuwa Tanzania chochote kinawezekana. Mara ngapi sheria zimevunjwa waziwazi na hakuna anayejali
😆😁😆 WAZUNGU WAKITAFUTA MIFANO MIBAYA HUWA CASE STUDY NI AFRICA..ni muhimu sana mshukiwa wa ugaidi, mamluki au kibaraka wa mambwenyenye ya magharibi akachukuliwa hatua kali zaidi ili iwe fundisho kwa mamluki wenzake.
well done police forces![]()
Kama Hilo shankupe minyonyo Kiko ikulu bila ya kuchaguliwa unashangaa haya ya kukamatwa na kuwekwa magereza kwa njia haramu, hii nchi ya Tanganyika itaendelea kuburuzwa na Zanzibar mpaka majority ya Watanganyika watakapoanza kujitambua.Hii nchi inazidi kupotea kila kukicha , tunazidi kuingia gizani tusijue tutatokaje.
Wahuni wa CCM, wametudharau sana.
============
KUHUSU KUPELEKWA GEREZANI MWANACHAMA WETU DEOGRATIAS PIUS MUSHI KABLA YA KUFIKISHWA MAHAKAMANI.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tumepokea kwa mshtuko taarifa ya Mwanachama wetu Deogratius Pius Mushi, Mkazi wa Mbezi Kibanda cha Mkaa Jimbo la Kibamba aliyekamatwa tarehe 2 Novemba, 2025 na kupelekwa moja kwa moja gerezani kabla ya kufikishwa mahakamani.
Mushi aliyekamatwa nyumbani kwake Kibanda cha Mkaa, Jimbo la Kibamba Manispaa ya Ubungo amepelekwa gereza la Mkuza lililopo Kibaha mkoani Pwani.
Taarifa zetu zinaonesha kwamba, wako wananchi zaidi ya 30 wanashikiliwa Gereza la Mkuza lakini hawakuhukumiwa kwa mujibu wa sheria wala hawakuwahi kupelekwa mbele ya Mahakama.
Chadema tunamtaka Kamishina wa Magereza nchini kuueleza umma utaribu upi ulitumika kuwapokea na kuwahifadhi wananchi hao ambao hawakufikishwa Mahakamani.
Tunasisitiza wananchi hao kuachiwa mara moja na wote waliohusika na kuwashikilia kinyume na utaratibu wawajibishwe.
Imetolewa leo Jumamosi, tarehe 20 Desemba, 2025 na;
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
View attachment 3518347
Shithole comment.Wewe ndio uende English kozi. Hiyo lugha jamaa katumia ni C2 level. Wewe wa A1 hapo umeona nyota tu
Kuwa kwa Charles hakukufanyi kujua lugha ya mabeberu.Pole kama hukuambulia kitu.
Mimi niko kwa Charles unasema sijui ung'eng'e?
We unaona ni sawa?ni muhimu sana mshukiwa wa ugaidi, mamluki au kibaraka wa mambwenyenye ya magharibi akachukuliwa hatua kali zaidi ili iwe fundisho kwa mamluki wenzake.
well done police forces![]()
Mkuu umeandika nini sijaelewa?Ufalme unaianguka kwa kasi
Mnapitia moto,poleni!Hii nchi inazidi kupotea kila kukicha , tunazidi kuingia gizani tusijue tutatokaje.
Wahuni wa CCM, wametudharau sana.
============
KUHUSU KUPELEKWA GEREZANI MWANACHAMA WETU DEOGRATIAS PIUS MUSHI KABLA YA KUFIKISHWA MAHAKAMANI.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tumepokea kwa mshtuko taarifa ya Mwanachama wetu Deogratius Pius Mushi, Mkazi wa Mbezi Kibanda cha Mkaa Jimbo la Kibamba aliyekamatwa tarehe 2 Novemba, 2025 na kupelekwa moja kwa moja gerezani kabla ya kufikishwa mahakamani.
Mushi aliyekamatwa nyumbani kwake Kibanda cha Mkaa, Jimbo la Kibamba Manispaa ya Ubungo amepelekwa gereza la Mkuza lililopo Kibaha mkoani Pwani.
Taarifa zetu zinaonesha kwamba, wako wananchi zaidi ya 30 wanashikiliwa Gereza la Mkuza lakini hawakuhukumiwa kwa mujibu wa sheria wala hawakuwahi kupelekwa mbele ya Mahakama.
Chadema tunamtaka Kamishina wa Magereza nchini kuueleza umma utaribu upi ulitumika kuwapokea na kuwahifadhi wananchi hao ambao hawakufikishwa Mahakamani.
Tunasisitiza wananchi hao kuachiwa mara moja na wote waliohusika na kuwashikilia kinyume na utaratibu wawajibishwe.
Imetolewa leo Jumamosi, tarehe 20 Desemba, 2025 na;
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
View attachment 3518347
Yes,We unaona ni sawa?

Kombo yupo anajibebisha kwa mabwanyenye huko, cengeJingani muhimu sana mshukiwa wa ugaidi, mamluki au kibaraka wa mambwenyenye ya magharibi akachukuliwa hatua kali zaidi ili iwe fundisho kwa mamluki wenzake.
well done police forces![]()
tuliza mihemko mamlukiKombo yupo anajibebisha kwa mabwanyenye huko, cengeJinga

sure😆😁😆 WAZUNGU WAKITAFUTA MIFANO MIBAYA HUWA CASE STUDY NI AFRICA..
WHENEVER BAD EXAMPLES SAMPLES SPACE NI KATIKA DARK CONTINENT

relax mamluki,We mbulu kwann huna akili, wambulu wana history ya kupambana...unawaaibisha kwa njaa kali yako mwishoe uwe gasho!

@$$holeWataanza na wewe kwanza.
Hata kama wewe Tlaatlaah sio mkristu. Hebu soma kitabu cha agano la kale kiitwacho 'ecclesiastes ' kwa kuswahili kinaitwa "Mhubiri"Yes,
ni sawa na ni haki kwa mamluki kuchukuliwa hatua kali mno bila huruma tena kwa haraka zaidi![]()