Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
mimi ni mkristo mbatizwa gentleman,Hata kama wewe Tlaatlaah sio mkristu. Hebu soma kitabu cha agano la kale kiitwacho 'ecclesiastes ' kwa kuswahili kinaitwa "Mhubiri"
Kwenye Qur'an hakipo.
na nimefundishwa kusema ukweli tu, kwasababu ukweli huo ndio utanifanya kua huru na mwenye amani zaidi maishani.
siwezi kutetea mamluki, gaidi, kibaraka au muhalifu awaye yote hususani mwenye lengo la kuchochea uvunjifu wa amani, uharibifu, mafarakano, mapigano au vifo kama wale viongozi wa TEC n.k.
so,
watu waliokosa utii kwa mamlaka za dunia, hawana utii kwa Mungu pia, zawadi yao muhimu zaidi ni kuR.I.P

