Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Nawaza na kushauli pia, Lissu na Zitto waunganishe nguvu kwa maslahi mapana ya Nchi ili pamoja na mambo mengine, waikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
Mfano, Chadema wakubali kumuunga mkono Zitto awe Mgombea wa nafasi ya Rais. Vilevile wakubaliane kuachiana Majimbo kulingana na uungwaji wa Chama husika kwenye eneo husika.
Kwa hali halisi ilivyo, bado Chadema itavuna Wabunge wengi huku Muungano huo ukiwa na faida kwa kila upande.
Sioni sababu yeyote ya msingi ya kusubiri mtu atoke CCM ili awe Mgombea.
Ushauli.