Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Lissu na Zitto waunganishe nguvu kwa maslahi mapana ya Nchi ili pamoja na mambo mengine, waikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
Ndiyo.ACT ???????
Kwa kutambua hilo, ndiyo maana nimesema iwe hivyo kwa maslahi mapana ya Nchi na wao Upinzani kwa ujumla.Wana mitazamo tofauti, siasa zao zina malengo tofauti
Ni ngumu kuungana...
Zito ndo anatakiwa amunge mkono TAL kwwny nafasi ya RAIS hapo upinzani utapata wabunge wwngi tutaichalenge CCMNawaza na kushauli pia, Lissu na Zitto waunganishe nguvu kwa maslahi mapana ya Nchi ili pamoja na mambo mengine, waikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
Mfano, Chadema wakubali kumuunga mkono Zitto awe Mgombea wa nafasi ya Rais. Vilevile wakubaliane kuachiana Majimbo kulingana na uungwaji wa Chama husika kwenye eneo husika.
Kwa hali halisi ilivyo, bado Chadema itavuna Wabunge wengi huku Muungano huo ukiwa na faida kwa kila upande.
Sioni sababu yeyote ya msingi ya kusubiri mtu atoke CCM ili awe Mgombea.
Ushauli.
Mwambieni Lisu Asahau hiloNawaza na kushauli pia, Lissu na Zitto waunganishe nguvu kwa maslahi mapana ya Nchi ili pamoja na mambo mengine, waikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
Mfano, Chadema wakubali kumuunga mkono Zitto awe Mgombea wa nafasi ya Rais. Vilevile wakubaliane kuachiana Majimbo kulingana na uungwaji wa Chama husika kwenye eneo husika.
Kwa hali halisi ilivyo, bado Chadema itavuna Wabunge wengi huku Muungano huo ukiwa na faida kwa kila upande.
Sioni sababu yeyote ya msingi ya kusubiri mtu atoke CCM ili awe Mgombea.
Ushauli.
Lisu yuko vizuri sana kutengeneza future enemies mmojawapo wa Future enemies aliowatengeneza ni Zitto kabwe na Duni HajiZito ndo anatakiwa amunge mkono TAL kwwny nafasi ya RAIS hapo upinzani utapata wabunge wwngi tutaichalenge CCM
wanachama tupo tutachangiaLisu yuko vizuri sana kutengeneza future enemies mmojawapo wa Future enemies aliowatengeneza ni Zitto kabwe na Duni Haji
Sasa 2025 hii imefika anarukia kila tawi la mti hana hela za kampeni za uraisi anawinda pesa xa wapemba wa ACT wazalendo ili atoke baada ya kuona matajiri wa Chadema wagharamia chaguzi waliokuwa mtandao wa Mbowe hawana mpango wa kumpa hata mia
Lini na Chama kipi kiliwasaliti Chadema?Kila wakati CHADEMA ikiungana na chama kingine, mwisho wa siku hicho chama hukisaliti CHADEMA?
Sasa CHADEMA wafanyaje?
Sober up hivi umesikia ni Lissu ndio anamhitaji Zitto? Amka usingizini hayo unayokurupuka ni yako na chuki zako, tuonyeshe mchakati wote wa Zitto kigukuzwa CHADEMA tulikuwepo.Mwambieni Lisu Asahau hilo
Fitna aliyomfanyia Zitto Kabwe na Duni Haji akiwa mwanasheria na makamu Mwenyekiti wa Chadema hadi wakaondoka Chadema wakiwa Chadema mwambieni hawajasahau
Lisu apambane na hali yake
Lisu yuko vizuri sana kutengeneza future enemies mmojawapo wa Future enemies aliowatengeneza ni Zitto kabwe na Duni Haji