Chadema na ACT wakiungana ni wazi watapata mafanikio Uchaguzi ujao

ACT wakiweza kum convince Mbowe awape wafuasi wake watakwenda kuisumbua sana CHADEMA
 
Act ilishajifia ndio iungane na chadema?
 
Zitto ni PANDIKIZI na yuko kwenye payroll.. Atauza siri zote
 
Unaungana na wahuni ambao Chama Chao kipo hai Tunduru, Kigoma na Pemba ?

Unawezaje kukaa meza moja na Zitto na ukahisi uko salama ?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unataka kumrudisha Mbowe kijanja sio?
 
ACT ni tawi la CCM kama hawajipendi chadema wafanye hivyo.
 
Msaliti Zitto leo kawa mwema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…