Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kutangaza kujitoa kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani walizoshinda


Hatimaye umeonekana. Kwa hisani ya VPN ya mabeberu.

Long live mabeberu wote!

Down na mkoloni mweusi!
 
Naunga mkono hoja ya kujitoa ili kufanikisha shauku ya mfalme kurudi kuwa na mfumo wa chama kimoja.
Halafu tuone mapungufu ya nchi hasa ufukara uliotamalaki ccm itamsingizia nani kachelewesha.
 
Naona wana Lumumba mmeanzisha uzi na kuanza kualikana,kwani kama kujitoa ni faida kwenu na mnafuta Upinzani mbona mnachachawa?uzuri consequences za mnachoshangilia hauchagui Ufipa wala Lumumba
 
Matusi na kashfa katika huu uzi wako Ni mengi kuliko ujumbe uliokusudia kuuelezea. Nakushauri mambo haya ukawaambie jiwe, polepole, na bashiru. Yatawavutia mno kuliko humu.
 
Tuseme CDM kifutike. Wewe utanufaika na nini?
 
Tukibaki wenyewe tu tutakimbia sana. Nyie mlikuwa mnatuchelewesha
Mbona wapinzani walivyokuwa wakitoka bungeni mlikuwa mkibaki peke yenu mnapiga umbea tu?! hiyo ni tabia yenu, msijidanganye.
 
Inaweza ikaondoka Chadema au ACT lakini ni wapumbavu wachache wanaoweza kudhani eti wamemaliza upinzani nchini. Ukiufungia upinzani mlango wa kisiasa utakuja kwa mlango mwingine tofauti, unaweza kuwa mlango wa kheri au wa shari kwa sababu kwa nature ya wanadamu jinsi ilivyo lazima Upinzani uwepo.
 
hasira hasara ndiyo mjue kuwa hivyo siyo vyama mtu umehangaika kupiga kampeni umetumia garama halafu mpumbavu mmoja anakuja kukuambia ujivue ubunge uliopata karibuniccm wabunge wateule tutawarudisha tena bungeni
Leo mwaccm unamuonea huruma mbunge wa Chadema, hiyo ni huruma ya fisi.
 
Mbona kila siku mnajitapa tu sasa si mje na hiyo heri kenge nyinyi
 
Sasa tatizo liko wapi? Si mlihitaji ushindi? Waleteeni Watz maendeleo hatutaki visingizio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…