Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo ni wakati wa kukutana na kutoa tamko la pamoja nini kifanyike

Nadhani wengi wamo kwenye vizuizi maana matokeo ya kuwaacha huru yanajulikana.
 
Mimi nalia na Jaji Mugasha. Dhuluma yote hii ya kuibiwa kura ni juu yake.
 
tena wanaachwa na njaa huko ndani.
 
Anza we we uwe mfano kwa wenzio. Ule Uhuru wa kuropoka mwisho ulikuwa Oktoba 27, baada ya hapo ni kazi kazi. Jitokeze barabarani ujifanye kama unaandamana uone
Hata mwizi humwomba mungu wake ili afanikiwe. Akishaiba anaenda kufurahia na malaya zake.
 
Wapo in shock (kumbuka vipato vyao vimeguswa) wape mda pressure ipungue kidogo halafu hata hivyo low turn out imewavunja sana nguvu. Check body language ya TL utaelewa.
Low turnout gani wakati kuna sehemu wapakura walikuwa 165%.
 
Na mwaka huu 2020 bado hali ni hio hio wanawaahidi watawaletea chakula alafu hao wanaoratibu wenyewe wanaenda vamia vituo huko [emoji23] matokeo yake wanashinda njaa na ni rahisi kushawishiwa, unakuta wakala yupo lakini chama chake hakina kura hata moja ina maana hata yeye hajakipigia kura
 
Mmawia tindo BAK nawengine wamepoteana.
niliwaambia mvae pampers siku ya uchaguzi lazima yatashuka bila break.
Endeleeni kujidanganya, CDM humu jamnvini haiwezi kufa, we are even stronger than before. Yani hata ccm ikitawala milele bado tupo tu na tutawapa spana humu mpaka muombe msaada kwa mods, au mkitaka kaombeni msaada kwa polisi na tume kama walivyowasaidia kuiba kura
 
Viongozi wa juu wa ACT Wazalendo na CHADEMA Kesho, Jumamosi, Oct 31, watazungumza na vyombo vya habari saa nne asubuhi. Watakua Makao Makuu ya CHADEMA Kinondoni. @zittokabwe @freemanmbowetz @jjmnyika @SeifSharifHamad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…