CHADEMA na ACT-Wazalendo wametuonesha Umuhimu wa ile sheria ya Ushirikiano wa vyama wakati wa Uchaguzi

Sasa mbona Lisu na maalimu Seif hawakutumia hiyo sheria na wamefeli?
Kwani mapambano dhidi ya dhuluma yameisha??
"Some People Hurt by Words, Some by Actions, some by Silence. But the Biggest Hurt is that Someone ignoring Us when We Value Them alots"...
 
ulisha wahi kuiona hiyo sheria yenyewe,?
hebu tuwekee hapa ili tulinganishe na ukweli wa Bandiko lako hili.
kinyume chake itakuwa ni parakacha za chakacha.
 
Tunazungumza Kila Siku
Hakuna Upinzania Tanzania
Upinzani Wa ID fake JF
Upinzani wa Twitter!!
Upinzani wakuropoka hovyo
Upinzani Kila mmoja Mjuaji
upinzani Usio Jua Kipi Ikisimamie!
Unacho Kiomba Leo Ndicho Utakacho kipinga Kesho!
Wapo wapo Tu
Kama kungekuwa hakuna upinzani ungeandika haya? Umeandika kwa kuwa Kuna upinzani.
 
ACT wazalendo wamesema hawaendi Canada watabanana humu humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…