CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

Kama ni wezi mbona hawajakamatwa ?
 
Wewe unaemlaumu Mbowe wewe binafsi umeleta impact gani kuwazuia CCM kupora rasilimali za nchi?
 
Hapana. Wezi weusi ni wabaya sana. Wanatuchelewesha
Nilikuwa nadhani una akili kumbe hamna kitu. Watu wanazungumzia yaliyomo katika mkataba halafu wewe unakurupuka na uharo wako hapa.
 
Kwa hiyo Watanzania woote ni wezi kama unavyodai?

Nipe uhakika kuwa mgeni ataanza kuzingatia maslahi yako kabla ya kwake.

Unatukashifu kwa sababu mmeingia mkataba wa kipuuzi
 
Mwanaccm anayelalamika ni yule asiye na nyuma wala mbele....the rest wanaunga mkono.
 
Wewe mleta mada ni **ma ya mama yako!
Itoshe tu kukuambia hivyo!

Umeusoma huo mkataba na vipengele vyake au umepigwa kimoja ukatoka bila hata kuvaa c*u*i na kuja kuleta umalaya wako humu?
 
Wewe unatepinga bandari kubinafsisha ni mnufaika wa wizi unaoendelea bandarini. Yaani mtu mmoja anachote milioni 200 kwa siku moja halafu tuendelee kuwaangalia tu?? Haiwezekani.
Hivi unaakili kweli?badala ya kuweka mifumo imara ya kusimamia bandari nyie mnawapa waarabu kwa mkataba wa kimangungo.
 
Wewe unatepinga bandari kubinafsisha ni mnufaika wa wizi unaoendelea bandarini. Yaani mtu mmoja anachote milioni 200 kwa siku moja halafu tuendelee kuwaangalia tu?? Haiwezekani.
Watu hawapingi bandari kubinafsishwa. Kinachopingwa hapa ni utaratibu uliotumika kupata huyo mwekezaji na masharti yaliyokuwemo katika huo mkataba. Lakini sishangai. Mlisema CDM ni wanafik kwa kupinga ununuzi wa ndege wakati wao walipinga utaratibu uliotumika kununua hizo ndege!

Amandla...
 
Tangu lini mtu akajiita SEXLESS akawa na akili timamu?
 

Kitu cha heri, hata siku moja hakishawishiwi kwa rushwa. Kama ni jambo la heri, kwa nini mwekezaji awahonge wabunge na waandishi wa habari?

Hakuna mtu yeyote mwenye akili nzuri na dhamira njema anayeweza kupinga partnership ya aina yoyote yenye manufaa kwa pande zote.

Lakini hii proposed partnership ya bandari, hata bila ya kuangalia content yake, imeanza vibaya kwa kutanguliza rushwa kwa wafanya maamuzi. Kama dhamira ni njema, kabla ya lolote, kwa upande wa Tanzania, wabunge wote waliopokea rushwa wakamatwe na kupelekwa kwenye vyombo vya sheria. Kwa upabde wa nchi mwekezaji, wote waliohusika na utoaji rushwa wakamatwe na ithibitike wazi wamechukuliwa hatua na wasihusike kwa lolote kwenye mkataba. Baada ya hapo ndipo mazungumzo yaanze upya.
 
Bora waibe watanganyika kuliko bandari zetu zitajirishe waarabu
Uwekezaji ni win win situation......pande mbili lazima zinufaike...

Watatajirika Waarabu na waswahili
 
Watakamatwaje nawakati selkari ndio iliwapeleka Dubai [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…