CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

Wewe unatepinga bandari kubinafsisha ni mnufaika wa wizi unaoendelea bandarini. Yaani mtu mmoja anachote milioni 200 kwa siku moja halafu tuendelee kuwaangalia tu?? Haiwezekani.
Kama kuna watu wa namna hiyo, nani alitakiwa kuwachukulia hatua?

Kwa hiyo unataka kusema kuanzia sasa taasisi yote akipatikana mtendaji au msimamizi wa hiyo taasisi ameiba, suluhusho ni kiiuuza hiyo taasisi kwa wageni? Afisa wa TRA akiiba tuu, TRS iuzwe. Mahakama, jaji akila tu rushwa, mahakama iuzwe kwa wageni. Hispirali, nesi akiiba tu dawa, hospitali iuzwe! Ni mawazo duni sana.

Wevi wapo mataifa yote lakini sheria na usimamizi mzuri ndivyo vinawabana.
 
Ndani ya CCM bado kuna masalia ya wenye uzalendo wa dhati na nchi hii, hawa tutasimama nao.
 
Kwanini ? Uwekezaji sio ukoloni wala uwizi acheni uoga.
Swali zuri: haitawezekana watanzania kunufaika kwenyehuo mkataba Bali watakaonufaika niwatu wajuu mkataba ungekua wakutunufaisha usingekuja kipumbavu namasharti yakijinga kiasi hicho ukitaka kuprove haikuwepo sababu yakutumia rushwa kwamkataba utakaokua namanufaa kwe2
 
Hivyo vifaa hawezi kununuliwa je hao waarabu hawawezi kuiba?
 
Back
Top Bottom