Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hiyo 'gag order' kama ipo, inasemaje?
Kama kuna mtu anayo basi nitashukuru akiniwekea hapa verbatim.
Niliuliza hili swali sijajibiwa mpaka sasa. Watu wameenda mahakamani ku liveblog, Kurugenzi za habari zimeripoti hapa, ukiuliza the genuine article hupati.
Kutokufanya mikutano tafsiri yake ni kutokufanya moja kati ya shughuli za chama, uanachama wake kwa maana ya "status" haijaguswa wala kubadilishwa kwa namna yoyote. Na ndicho mahakama ilichoelekeza. Kujadili uanachama tafsiri yake ni kuhoji awe mwanachama au asiwe? uanachama wake ni halali au sio halali? Sidhani kama hili liliguswa na kikao hicho. Huu ni mtazamo wangu, lete wa kwako kwa hoja tuwekane sawa.Unapomzuia zitto kufanya mikutano unaongelea suala lake binafsi au uanachama wake?
Lissu anasema kuwa Zitto anaendelea kuwa Mwanachama na Mbunge wa CHADEMA kwasababu ya Mahakama tu na sio kwasababu ya mapenzi ya CHADEMA.
Kutokufanya mikutano tafsiri yake ni kutokufanya moja kati ya shughuli za chama, uanachama wake kwa maana ya "status" haijaguswa wala kubadilishwa kwa namna yoyote. Na ndicho mahakama ilichoelekeza. Kujadili uanachama tafsiri yake ni kuhoji awe mwanachama au asiwe? uanachama wake ni halali au sio halali? Sidhani kama hili liliguswa na kikao hicho. Huu ni mtazamo wangu, lete wa kwako kwa hoja tuwekane sawa.
Sijui Lissu alisoma cho gani.kitendo cha kuelezea hatima ya Zitto CHADEMA katika taarifa yake ya leo kitabadilisha maamuzi ya jaji.
lisu ni mlevi wa sheria na ameharibu mlengo wa kesi.
usiku mwema.
Mambo ya chadema hayakuhusu. Nenda kalalamike mahakamani na wewe.
mkuu mambo vipi?Soma maneno ya dr slaa ndio utaelewa nasema nini. kwa maneno ya dr slaa ni wazi wameujadili uanachama wa zitto.