CHADEMA na Godbless Lema jibuni kuhusu hili

Na hicho ndio hasa kinatengenezwa ili kujaribu kutafuta uungwaji mkomo toka kwa umma!

Ila ni bahati mbaya kwamba wananchi wa sasa ni waelewa wa kila kinachoendelea nchi hii.
Bt makindas kusema wananchi wafundishwe jinsi ya kubet Si sahihi.

Kama makindas kasema hivyo kupigwa na apigwe,

Mwigu kuwekeza ktk betting ni Hujuma Kwa vijana.

Tuyaangalie Kwa makini masuala haya.
 
Lema aangaliwe Kwa macho mawili,

Ameacha familia yake Canada anapima upepo.

Ni Kweli ktk baadhi ya masuala ana HOJA bt why watoto wake wasome Ulaya halafu aombe ridhaa ya kuongoza wananchi?

Je Atawapeleka pia watoto wa wananchi wakasome Ulaya sababu shule za kata zina elimu duni?

Uongozi ni vitendo, Nyerere, Magu watoto wao walisoma shule za Serikali .

Kwani akigombea ubunge Canada family yake ilipo hatochaguliwa?
 
Kuna wakati huwezi ona tofauti ya mouthpiece ya CHADEMA na JF
 
Bt makindas kusema wananchi wafundishwe jinsi ya kubet Si sahihi.

Kama makindas kasema hivyo kupigwa na apigwe,

Mwigu kuwekeza ktk betting ni Hujuma Kwa vijana.

Tuyaangalie Kwa makini masuala haya.
Suala la msingi hapa ni kuwa na wanasiasa wenye kuleta Dira na Maono ya kutuondoa kwenye haya Majanga.

Lakini tukiendelea kuwa na viongozi wanaoabudu katika mikopo na uwekezaji uchwara!

Kwamba anakuja mtu anayejiita muwekezajo nchini.
Tunampa raslimali zetu k8sha anaenda kuzikopea mapesa kwao huku tukimpa grace period ya mwaka mzima bila kulipa kodi.
Huu unaendelea kututesa na kuifidimiza nchi kiuvhumi.
Na hivyo kuendeleza wimbi la umaskini.
 
Kati ya Mimi na Lema ni nani anaepaswa kuwapatia Dira na Maono hao bodaboda?

Kati yangu na Lema ni nani anayenufaika na hao bodaboda?

Je!
Unajitoa ufahamu kwamba Bodaboda huwa wanahudhuria mikutano sio kama wafuasi bali wajasiriamali wa pikipiki zao.
Kwa kupewa mafuta pamoja na elfu kumikumi kila mmoja?

Mimi ni voicer of the Voiceless [emoji87] na ndio maana ninasema niyasemayo!
 
Nani anawalazimisha kwenda huko je ni Lema au wewe?

Na kama wanaenda huoni kuwa Lema ana hoja ya msingi?

Unatakiwa uwashawishi bodaboda kwa vitendo na hutowaona wakimkimbilia Lema kama mtetezi wao.
 
Nani anawalazimisha kwenda huko je ni Lema au wewe?

Na kama wanaenda huoni kuwa Lema ana hoja ya msingi?

Unatakiwa uwashawishi bodaboda kwa vitendo na hutowaona wakimkimbilia Lema kama mtetezi wao.
Nadhani unajitoa ufahamu makusudi maana nimekw8sha kukujibu rasmi kwamba Bodaboda huwa hawajipeleki huko bali wanapelekwa na Pesa za posho pamoja na kujaziwa mafuta.
Hivyo wanapata kianzio cha siku inayofuata.

Pia unapaswa kuelewa wazi kwamba hata asilimia ya Bodaboda wanaohudhuria na kupokea hizo posho.
Ni wale material za Chadema yenyewe.
Ambao ni asilimia ndogo kulingana na idadi ya bodaboda tulionao nchini.
 
Nadhani unajitoa ufahamu makusudi maana nimekw8sha kukujibu rasmi kwamba Bodaboda huwa hawajipeleki huko bali wanapelekwa na Pesa za posho pamoja na kujaziwa mafuta.
Hivyo wanapata kianzio cha siku inayofuata.
Basi anayeenda au kijipeleka kisa anajaziwa mafuta au kupewa pesa ili akatukanwe ni mpumbavu kwa hiyo mwenye makosa ni yule aliyekubali awekewe mafuta ili atukanwe.
 
Na hao wapuuzi ndio hao nilio waandika na kuwasema kwenye andiko langu!

Nimesema wazi kwamba Bodaboda wa Arusha ni watovu wa Nidhamu kuliko mikoa yote nchini.
Ni wahuni na hawafuati wala kutii sheria za vyombo vya usalama Barabarani.
Hawavai vifaa kinga na ni waixi wakitumia hizo Bodaboda.
Kwa hiyo kama wamelaaniwa ni hao gao wa Arusha kwa lema!
Ndio maana nikamwamnia Lema awakanye wanae kabla ya kuwatukana.
 
Nani anawalazimisha kwenda huko je ni Lema au wewe?

Na kama wanaenda huoni kuwa Lema ana hoja ya msingi?

Unatakiwa uwashawishi bodaboda kwa vitendo na hutowaona wakimkimbilia Lema kama mtetezi wao.
Ndio kusema kwamba Lema na Chadema mnatumia ujinga na njaa zao Bodaboda kuwa mtaji wenu kisiasa!
 
Kwa hiyo unataka kumaanisha wanaosimamia taswira ya nchi kupitia shughuli za Kiongozi mkuu wa nchi, Raisi, walipuuzia usalama na kuruhusu kuchanganya tabia hizi na majukumu yao?
 
Kwamba chama kilichopo madarakani hakina sera madhubuti ya vijana hujalijadili hilo.
kwamba kuna vijana wa bodaboda na wakizeeka watakuwa nani? hujalijadili hilo
kwamba hakuna bima kwa bodaboda hujalijadili hilo
kwamba hakuna mpango maalum wa kukopeshwa kama vikuni/mtu mmoja mmoja kwa sababu ya risk anazosema lema/wewe unaziita matusi hujazijadili hapa
jadili suala la bodaboda/ machangudoa/ukosefu wa ajira na matatizo yetu yote kwa mawanda yake bila kujificha kwenye unafiki wa kutukana bila kutaja aina ya tusi.
unakimbilia matusi ili uweze kushika akili za kundi hili lisiloweza kupambanua.
hata MKAPA ALIWAITA WAPINZANI MALOFA. JE HALIKUWA TUSI?
 
Hata kwenye biblia inasema amelaniwa yeye amtegemeae mwanadam je Kuna mtu ametukanwa hapo na biblia ni kitabu kitakatifu?
 
Wewe una dharau.
Hapana nimejibu kulingana na jibu lako la awali kwamba "wajinga ndio wanaomfuata Lema sababu ya ujinga wao"

Sababu eti anawatukana lakini bado wanamfuata!
 
Mimi nilivyo muelewa Lema ni kwamba serikali Ina hesabu Kama boda boda NI ajira rasmi ili Hali haijawa secured na inauwa au kuleta ulemavu saaana kwa vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…