CHADEMA na Godbless Lema jibuni kuhusu hili

CHADEMA na Godbless Lema jibuni kuhusu hili

Na hicho ndio hasa kinatengenezwa ili kujaribu kutafuta uungwaji mkomo toka kwa umma!

Ila ni bahati mbaya kwamba wananchi wa sasa ni waelewa wa kila kinachoendelea nchi hii.
Bt makindas kusema wananchi wafundishwe jinsi ya kubet Si sahihi.

Kama makindas kasema hivyo kupigwa na apigwe,

Mwigu kuwekeza ktk betting ni Hujuma Kwa vijana.

Tuyaangalie Kwa makini masuala haya.
 
Lema aangaliwe Kwa macho mawili,

Ameacha familia yake Canada anapima upepo.

Ni Kweli ktk baadhi ya masuala ana HOJA bt why watoto wake wasome Ulaya halafu aombe ridhaa ya kuongoza wananchi?

Je Atawapeleka pia watoto wa wananchi wakasome Ulaya sababu shule za kata zina elimu duni?

Uongozi ni vitendo, Nyerere, Magu watoto wao walisoma shule za Serikali .

Kwani akigombea ubunge Canada family yake ilipo hatochaguliwa?
 
Moderators at JamiiForums..naomba mnapobadili au kuondoa topic,muwe reasonable...hii ni mara ya tatu.
Naweka mnahamisha ..naweka mnafuta...why?
Kuweni fair na sio biased otherwise toweni "Ban" ili mtu anaachana nanyi na kuendelea na mambo Mengine kwingineko!
Mnaacha topic nyingi sana humu, tena zenye kutukana hadi Marehemu kinyume na maadili ya kitanzania!

Lakini mnaondoa baadhi ya topic zenye kuwahusu baadhi ya wale tunaoona kama mnawakingia ngao....kwa mfumo huu mtaiuwa hii platform yenu taratibu....

#Maxencemello na mwenzako lifanyieni kazi hili jambo..

Sisi ni watu wazima hivyo hatuko humu kama burudani.


" Lema Toa Elimu Badala ya kutukana!"

Ndugu Godbless Lema ambae ni Muishiwa Mbunge wa Arusha zamani.
(sio mheshimiwa)maana hana huo ubunge kwa sasa.
Anaendelea kuzunguka nchini akitukana makundi mbalimbali ya kijamii hususan Bodaboda!..kama kawaida yake.
Na sasa ameirudia tena kauli yake safari hii akiwa Mwanza!
Mwanza!
Ambako ni kitovu cha wavuvi katika ziwa Victoria.

Nimetafakari maneno yake kwamba ..
"Bodaboda walioko kazini sasa,na wanaoongezeka ni dalili ya umaskini nchini."
Kwamba watakufa kwa "Neumonia" ndani ya miaka ishirini ijayo...(kwa utabiri wake wa vifo vya wenzake).

Baada ya hapo nikatafari pia mazingira ya wavuvi wadogo wadogo wa nchi mbalimbali Duniani.
Ambao huingia ziwani na Bahari kuu zote usiku kucha na kurejea nchi kavu asubuhi.
Na hii ni Lifestyle yao ya kila siku miaka nenda miaka rudi.
Na Mazingira ya kukesha majini kila usiku,wakinyeshewa na mvua kubwa na tufani za upepo.ni magumu kuliko Bodaboda ambao wanaendesha pikipiki zao nchi kavu.
Tena wakiwa wamevaa vifaa kinga kama Helmet,Jackets na hata Gloves kwa wale waelewa zaidi.

Sasa kwa uelewa wa Lema kuhusu vifaa kinga ....ingawa hawezi kuwa na takwimu zitokanazo na vifo vya Neumonia kwa Bodaboda Duniani.

Pia atueleze wavuvi wangapi wanakufa kwa :Neumonia" Tanzania na Duniani,kwa uelewa wake.

Aje atuambie ni kundi gani liko hatarini zaidi kati ya haya mawili.
Badala ya kutembea akibwabwaja bila kuwa na maelezo ya kitaalamu!

Badala ya Lema kubwabwaja bila kutoa njia mpya za kuikomboa kiuchumi hiyo jamii anayoibeza!
Ili kwamba labda Chadema wanayo njia tofauti ya kuwapanulia ajira...na aiseme ili tuichambue na kuielewa.

Anawatukana Bodaboda huku akiendelea kuwatumia kwenye misafara ya chama chake,huku akiwafitinisha na serikali iliyoko madarakani.
Anawatumia Bodaboda kama sera!

Lema anapaswa kuambiwa na aelewe kwamba...

Kila kazi ni hatarishi endapo haitakuwa na vifaa kinga kwa mtu anayetoa huduma husika.

Ndio maana hata madaktari wanakuwa na "PPE."

Wavuvi wanakuwa na "life Jackets" pamoja na vifaa vinginevyo ili kujikinga na baridi kali majini.

Ndio maana ya Bodaboda pia kutakiwa kuvaa "Helmet" imara na bora zenye kuwa pia na matundu ya kuchujia hewa.
Pamoja na "Jackets" imara ili kuwakinga na Upepo na Baridi.

Ndio maana wafanyakazi migodini wanapaswa kuvaa "Helmets","Safety boots" na "Safety Glasses."

Ndio maana hata Malaya na wazinzi wote wanapaswa kuvaa "kondomu" nk.
Kila kazi inaweza kupelekea ajali ambayo itasababisha kifo, pale ambapo vifaa kinga na vigezo sheria havitatimizwa au kutumika.

Kwa hiyo Lema anaporopoka maneno yake labda tuseme anawaongelea Bodaboda wake wa Arusha.
Ambao kwa ujumla ni watovu wa nidhamu ikiwemo kutotii sheria za usalama Barabarani zinazowapasa kuvaa vifaa kinga.

Badala ya kuvaa [emoji858] Helmet.. wao huvaa kofia maarufa Arusha kama "Boshore"

Badala ya kuvaa ma Jackets wao wengi huvaa sweta na kisha kutoboa "Exhaust" za Pikipiki zao na kugeuka kero kwa jamii Barabarani kutokana na kelele mbaya za pikipiki zao.

Lema wakanye wanao kabla ya kuwatukana!
Kuna wakati huwezi ona tofauti ya mouthpiece ya CHADEMA na JF
 
Bt makindas kusema wananchi wafundishwe jinsi ya kubet Si sahihi.

Kama makindas kasema hivyo kupigwa na apigwe,

Mwigu kuwekeza ktk betting ni Hujuma Kwa vijana.

Tuyaangalie Kwa makini masuala haya.
Suala la msingi hapa ni kuwa na wanasiasa wenye kuleta Dira na Maono ya kutuondoa kwenye haya Majanga.

Lakini tukiendelea kuwa na viongozi wanaoabudu katika mikopo na uwekezaji uchwara!

Kwamba anakuja mtu anayejiita muwekezajo nchini.
Tunampa raslimali zetu k8sha anaenda kuzikopea mapesa kwao huku tukimpa grace period ya mwaka mzima bila kulipa kodi.
Huu unaendelea kututesa na kuifidimiza nchi kiuvhumi.
Na hivyo kuendeleza wimbi la umaskini.
 
Nakujibu kama ifuatavyo:-
1.Kwanza bodaboda wanaoenda kwenye mikutano yake hawana akili
2.Pili wewe unawasemea kama nani hao bodaboda wanaoenda kumsikiliza Lema.
3.Huenda kuna hoja za msingi ndiyo maana boda boda hata kama Lema anawaponda wanaenda kwa wingi.
4.Mimi ningependa kusikia ushauri wako badala ya kumkejeli Lema,unajua mawazo au wazo lolote la mtu aliyevuka miaka 18 linakuwaga na umuhimu kwa namna fulani.
5.Tumia hiyo nafasi kuimarisha chama chako kwa kuwanunulia bodaboda wengi pikipiki ili ziwasaidie katika maisha yao uone kama wataenda kumsikiliza Lema na Chadema.
Kati ya Mimi na Lema ni nani anaepaswa kuwapatia Dira na Maono hao bodaboda?

Kati yangu na Lema ni nani anayenufaika na hao bodaboda?

Je!
Unajitoa ufahamu kwamba Bodaboda huwa wanahudhuria mikutano sio kama wafuasi bali wajasiriamali wa pikipiki zao.
Kwa kupewa mafuta pamoja na elfu kumikumi kila mmoja?

Mimi ni voicer of the Voiceless [emoji87] na ndio maana ninasema niyasemayo!
 
Kati ya Mimi na Lema ni nani anaepaswa kuwapatia Dira na Maono hao bodaboda?

Kati yangu na Lema ni nani anayenufaika na hao bodaboda?

Je!
Unajitoa ufahamu kwamba Bodaboda huwa wanahudhuria mikutano sio kama wafuasi bali wajasiriamali wa pikipiki zao.
Kwa kupewa mafuta pamoja na elfu kumikumi kila mmoja?

Mimi ni voicer of the Voiceless [emoji87] na ndio maana ninasema niyasemayo!
Nani anawalazimisha kwenda huko je ni Lema au wewe?

Na kama wanaenda huoni kuwa Lema ana hoja ya msingi?

Unatakiwa uwashawishi bodaboda kwa vitendo na hutowaona wakimkimbilia Lema kama mtetezi wao.
 
Nani anawalazimisha kwenda huko je ni Lema au wewe?

Na kama wanaenda huoni kuwa Lema ana hoja ya msingi?

Unatakiwa uwashawishi bodaboda kwa vitendo na hutowaona wakimkimbilia Lema kama mtetezi wao.
Nadhani unajitoa ufahamu makusudi maana nimekw8sha kukujibu rasmi kwamba Bodaboda huwa hawajipeleki huko bali wanapelekwa na Pesa za posho pamoja na kujaziwa mafuta.
Hivyo wanapata kianzio cha siku inayofuata.

Pia unapaswa kuelewa wazi kwamba hata asilimia ya Bodaboda wanaohudhuria na kupokea hizo posho.
Ni wale material za Chadema yenyewe.
Ambao ni asilimia ndogo kulingana na idadi ya bodaboda tulionao nchini.
 
Nadhani unajitoa ufahamu makusudi maana nimekw8sha kukujibu rasmi kwamba Bodaboda huwa hawajipeleki huko bali wanapelekwa na Pesa za posho pamoja na kujaziwa mafuta.
Hivyo wanapata kianzio cha siku inayofuata.
Basi anayeenda au kijipeleka kisa anajaziwa mafuta au kupewa pesa ili akatukanwe ni mpumbavu kwa hiyo mwenye makosa ni yule aliyekubali awekewe mafuta ili atukanwe.
 
Wewe mapuuza hebu tuambie hawa Maafisa usafirishaji waliomsindikiza Mhe. Raisi kule Arusha bila kutumia Vifaa vya Usalama mbele ya Kiongozi Mkuu wa nchi, hii ndio 'Ajira' mnayoisema au ni tofauti na hii? View attachment 2552235View attachment 2552234View attachment 2552236
IMG_20230315_113229.jpg
 
Wewe mapuuza hebu tuambie hawa Maafisa usafirishaji waliomsindikiza Mhe. Raisi kule Arusha bila kutumia Vifaa vya Usalama mbele ya Kiongozi Mkuu wa nchi, hii ndio 'Ajira' mnayoisema au ni tofauti na hii? View attachment 2552235View attachment 2552234View attachment 2552236View attachment 2552237
Na hao wapuuzi ndio hao nilio waandika na kuwasema kwenye andiko langu!

Nimesema wazi kwamba Bodaboda wa Arusha ni watovu wa Nidhamu kuliko mikoa yote nchini.
Ni wahuni na hawafuati wala kutii sheria za vyombo vya usalama Barabarani.
Hawavai vifaa kinga na ni waixi wakitumia hizo Bodaboda.
Kwa hiyo kama wamelaaniwa ni hao gao wa Arusha kwa lema!
Ndio maana nikamwamnia Lema awakanye wanae kabla ya kuwatukana.
 
Nani anawalazimisha kwenda huko je ni Lema au wewe?

Na kama wanaenda huoni kuwa Lema ana hoja ya msingi?

Unatakiwa uwashawishi bodaboda kwa vitendo na hutowaona wakimkimbilia Lema kama mtetezi wao.
Ndio kusema kwamba Lema na Chadema mnatumia ujinga na njaa zao Bodaboda kuwa mtaji wenu kisiasa!
 
Na hao wapuuzi ndio hao nilio waandika na kuwasema kwenye andiko langu!

Nimesema wazi kwamba Bodaboda wa Arusha ni watovu wa Nidhamu kuliko mikoa yote nchini.
Ni wahuni na hawafuati wala kutii sheria za vyombo vya usalama Barabarani.
Hawavai vifaa kinga na ni waixi wakitumia hizo Bodaboda.
Kwa hiyo kama wamelaaniwa ni hao gao wa Arusha kwa lema!
Ndio maana nikamwamnia Lema awakanye wanae kabla ya kuwatukana.
Kwa hiyo unataka kumaanisha wanaosimamia taswira ya nchi kupitia shughuli za Kiongozi mkuu wa nchi, Raisi, walipuuzia usalama na kuruhusu kuchanganya tabia hizi na majukumu yao?
 
Wewe Kinoamiguu ndio chizi kwa sababu maandiko unayoweza kuyaelewa ni yale yenye matusi tu.

Jibu mambo ya msingi kuhusu PPE na vifaa kinga vya bodaboda badala ya kuleta Upumbavu wa matusi ya kichadema humu.

Tunawaambia kwamba hamna sera bali vituko na matusi tu.

Lema akiwa arusha si alitukana jukwaani akimwambia nabii yule eti... "Shit men" "Bodaboda ni laana" sio tusi?
'Vicoba ni laana" sio kejeli?

Wewe Kinoamiguu endelea kunoa miguu ili upendeze upate ubonge maalumu toka kwa Shea-Men!
Kwamba chama kilichopo madarakani hakina sera madhubuti ya vijana hujalijadili hilo.
kwamba kuna vijana wa bodaboda na wakizeeka watakuwa nani? hujalijadili hilo
kwamba hakuna bima kwa bodaboda hujalijadili hilo
kwamba hakuna mpango maalum wa kukopeshwa kama vikuni/mtu mmoja mmoja kwa sababu ya risk anazosema lema/wewe unaziita matusi hujazijadili hapa
jadili suala la bodaboda/ machangudoa/ukosefu wa ajira na matatizo yetu yote kwa mawanda yake bila kujificha kwenye unafiki wa kutukana bila kutaja aina ya tusi.
unakimbilia matusi ili uweze kushika akili za kundi hili lisiloweza kupambanua.
hata MKAPA ALIWAITA WAPINZANI MALOFA. JE HALIKUWA TUSI?
 
Huwezi kuelewa tusi maana wewe Kinoamiguu tayari ni tusi.

Na kwa sababu Chadema ni kutukana...
Basi hamuwezi kutofautisha tusi.
Itoshe tu kukwambia nimeelewa aina ya mtu anayejiita Kinoamiguu

Lazima yupo hapo kwenye huu msafara!View attachment 2552062
Hata kwenye biblia inasema amelaniwa yeye amtegemeae mwanadam je Kuna mtu ametukanwa hapo na biblia ni kitabu kitakatifu?
 
Wewe una dharau.
Hapana nimejibu kulingana na jibu lako la awali kwamba "wajinga ndio wanaomfuata Lema sababu ya ujinga wao"

Sababu eti anawatukana lakini bado wanamfuata!
 
Mimi nilivyo muelewa Lema ni kwamba serikali Ina hesabu Kama boda boda NI ajira rasmi ili Hali haijawa secured na inauwa au kuleta ulemavu saaana kwa vijana
 
Back
Top Bottom