Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 45
wapi nimetetea JK? soma pstings zangu,********mbowe, unanifanya nikichukie chama cha chadema kuwa na wafuasi wajinga.
Ndesamburo sio chairman na kaweza kumuweka mtoto wake kuwa mbunge
jee mhonga wakati anaingia ubunge alikuwa mke wa mtu na sasa ana mume gani?
Na wewe mbona ni ******* ya RO na umekuja kumtetea; kila mtu anajua na wewe ni****** RO na JK tangu ukiwa UK na hakuna anayesema kitu? Ni rushwa ya ngono ndio imekufikisha hapo. Ukinyoshea wengine kidole kimoja angalia vinne visikunyoshee wewe.
Wewe ndio mkabila namba moja humu.
Asante.
Ndesamburo kamuweka mwanae kuwa mbunge kama alivyokuwa anampa u-director kwenye kampuni zake. Sasa wanakosea nini wanaolalamika kuwa Chadema inaendeshwa kama kampuni ya binafsi?? WanaCHADEMA mko wapi msioyaona haya??
Bora anakula jasho lake sio mwizi kama MBowe aliyeiba B.O.T na Nssf.Nimemkuta huyu mzee leo akiwa Sinza anafanya biashara ya kuuza kalenda kwani jamani huwa hammpi chochote?
yaani na wewe una "kundi"? mwanamme unapenda kujivika ujiko hadi inatia aibu. Mwiteni rafiki yenu mswahili a.k.a chinga a.k.a mtalii aje ajibu hoja za ukabila wake hapa asikimbie.
asante.
Majibu yote yamejibiwa na Karugendo na wengine hapa na usianze kumsakama Asha bure maana hata wewe hujajibu swali kama ccm ni chama cha kiislam au la!
Mswahili na swahiba wako,
Jamani mbona nashindwa kuelewa madai yenu?...
Hawa watu mnaodai kuwa wameteuliwa Kikabila mara Rostam sio mwarabu na kadhalika mnakwenda wapi ktk kujieleza!
Hawa wabunge sita tena wanawake mnaowapigia kelele je mnaweza kunipa majina ya watu wengine wagombea ambao walitakiwa kuchukua nafasi hizo?
Sawa swala lewnu limenigusa kidogo lakini kama hakuna ushahidi nje ya dhana yenu nadhani tutakuwa hatuwezi kuijenga Chadema bali tunatafuti Fitna kujenga majungu yasiyokuwa na kipimo hali vyote nyie pamoja na familia zetu hamtaki kuingia Chadema kwa sababu ya mwenge wa Uhuru ulokwisha wamulika. Kila naposoma hoja zenu zinaelemea zaidi ktk ushabiki kiasi kwamba itafikia wakati hata timu ya Mpira ya Taifa itachaguliwa kutokana na makabila ya watu ama mikoa kwa sababu mwenye kuona ukabila siku zote huwazia Ukabila hata kama haupo...
Niashangaa imefikia hata kutoa ajira kwa mwanao ni Ukabila..hivi kweli tutaweza mfumo huu wa Ubepari kwa tafsiri za namna hii..
Hii ni muhimu unapoongelea alternative kwa wananchi lazima uwe na uhakika kuwa hiyo alternative ni safi ndo maana kama kuna lolote baya au zuri kwenye vyama vya upinzania lazima lijadiliwe sambamba na mabaya na mazuri ya CCM
LUCY OWENYA.
Ni mtoto wa Ndasamburo hivyo jumla wanakuwa wabunge watano toka kilimanjaro.
Nani atakukimbia changudoa kama wewe? hujui kama Mnyika alinikimbia kwenye Tamko la Chadema.anayependa ujiko ni Mbowe kujifanya kwenda kusoma huku kichwani mtupu. kuchukua mkopo NSSF na kushindwa kuulipa hadi mke wake akasombwa hadi mahakani.
Jambo moja ambalo Jaco na Kubwajinga wanapotosha ni hili:
1. Hawakosoi Chadema kusaidia taifa au kuatafuta alternative. Kama wangekuwa na nia hiyo wasingeiandama Chadema tu, bali wangezijadili TLP, CUF, NCCR-Mageuzi, UDP na vyama vingine. Sisi tunaijua kinachoendelea ndani ya system tunajua kazi wanayofanya hawa vijana. Kwa kujua au bila kujua, wanafanya KAZI CHAFU!!!!
2. Kwa kuwasoma vizuri (between the lines), mtu yeyote atagundua kwamba wana UKABILA ndani yao, ila wanaufunua kwa kushambulia makabila ya wengine. Ni bahati mbaya kwao kwamba Chadema kina NGUVU kubwa Kilimanjaro, Tarime, Karatu, Kigoma na Mpanda Kati. Ni bahati nzuri kwa CCM kwamba Chadema kina jimbo MOJA tu Uchagani - Moshi Mjini!
Jaco na Kubwajinga hawatazami personal charisma ya viongozi wa chama, wanatazama makabila yao. Hawaoni mweleko wa chaka kukua na kusambaa nchi nzima, wao wanaona kinajifinya tu kwenye Uchaga. Kikubwa kwao ni zile nafasi chache za uongozi zinazoshikiliwa na viongozi waliozaliwa (kwa mapenzi ya Mungu) Wachagga.
3. Sijui Kubwajinga ana maslahi gani na 'viti maalumu' vya Chadema, maana wanawake wenyewe waliokuwa wanavilalamikia (kina Chiku Abwao) walishanyamaza baada ya hasira za kukosa ubunge kuisha, hasa baada ya maelezo.
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa maelezo hayo yalishatolewa na Mnyika hapa hapa JF. Huyu anayelileta hili sasa na matatizo yake na malengo yake.
Hebu tuwajadili wabunge hao:
1. Ndesamburo alishinda kwenye kura. Tulitaka awe Mzaramo?
2. Zitto alishinda kwenye kura. Naye Mchagga?
3. Wangwe alishinda kwenye kura. Si Mkurya huku?
4. Said Arfi alishinda kwa kura. Naye ni Mchagga?
5. Dk. Slaa alishinda kwa kura. Mchagga?
VITI MAALUMU (kwa nafasi zao)
6. Grace Kiwelu. Aliteuliwa na mkutano mkuu wa Chadema kwa sifa moja. Alikuwa mbunge pekee wa kike wa chama hicho (2000-2005) ambaye alitoa mchango mkubwa wa muda na raslimali kukikuza chama na kukieneza nchi nzima. Hata kalbaya uchaguzi Mkuu, wajumbe wa mkutano mkuu waliahidi kwamba iwapo ingetokea mnafasi moja tu ya viti maalumu APEWE GRACE. Uchagga wake unaingiaje hapa?
7. Anna Komu: Alikuwa mgombea mwenza wa urais. Busara pekee inatosha kueleza kwa nini alipata ubunge. Uchagga uko wapi hapa? Tulitarajia kama tungekuwa na katiba ya maana, hata wagombea urais wote na wenyeviti wa vyama vyenye wabunge wangepaswa kuwa automatically bungeni. Walio wengi bungeni na wenye madaraka hawataki. Chadema waliona busara kumpa mgombea mwenza nafasi hiyo. Kuna ubaya gani?
VITI MAALUM (kwa kugombea).
Hapa ilitegemea idadi ya kura za jumla kutoka kila mkoa.
8. Kilimanjaro ilitoa kura nyingi zaidi: Mgombea alikuwa Lucy, akapata Ubunge. Ana kosa gani?
9. Mkoa uliofuata ulikuwa Kigoma. Mgombea aliyeshinda alikuwa Mhonga; akapa ubunge. Ana kosa gani?
10. Dar es Salaam ikafuata kwa wingi wa kura. Mgombea mshindi alikuwa Halima Mdee. Ana kosa gani?
11. Katika taasisi: Elimu ya Juu alikuwa Susan lyimo. Akapita.
Hii inaonyesha kwamba tunajua kinachoendelea. Tazama michango ya wabunge hawa Bungeni. Wanajadili na kuibua hoja za kitaifa au za kikabila?
Sasa wanaozungumzia ukabila, watuambie wabunge hawa waliletwa tu na kupewa au waliondolewa dada zao waliostahili wakapewa wao kwa sababu ya ukabila? Halafu ni vema ieleweke kwamba Chadema tunayoijadili leo haikuwa hivi kabla ya uchaguzi mkuu. Wakati watu walikuwa wakikimbilia kugombea CCM kwa sababu ya ukubwa wa chama, wengi walivikimbia vyama vidogo. Hawa waliojitokeza kugombea na kupata ni mashujaa ambao hata huko nyumba waliamua kuwekeza katika kuvijenga vyama hivi vidogo.
Kubwajinga acha spinning. Ina maslahi gani ya taifa kuharibu hata hicho kidogo kilichopatikana katika kuchek nguvu za CCM. Unawabomoa Chadema kwa faida ya nani? Eti tunaangalia alternative kwa spinning? Acga hizo! Mkubwa wewe!
mmmmh kusoma na kuandika tu ziwe qualification za kuingiza watu bungeni!? hiyo ni simplification iliyokithiri! bunge hili lenye mawaziri fisadi na wabunge partisan nadhani hiyo haitoshi. una point hapa na mie nakuunga mkono, lakini hayo ulosema hapo juu ni NO, big fat NO.....hatuhitaji "modern day" Mangungos bungeni! c'mon now....
YNIM,
Huyo Kubwajinga ni alikuwa mwanachama wa CUF ila uongozi wa juu ukamtenga kwa sababu alikuwa na mawazo ya kidini sana. Alikuwa anapinga sana wanaCUF ambao sio waislam kwa visingizio vingi tu na uongozi wa juu ulivyomfahamu wakamtenga.
Yeye hapendi yeyote ambaye si muislam (hata kama anajifanya hapa kukisema CUF). Kina Seif na Lipumba wamestukia na hawamtaki. Amekuwa na ugomvi na Lipumba kwa vile CUF wako kwenye makubaliano na vyama vingine kuwa wasimamishe mgombea mmoja mwaka 2010 na kuna uwezekano kuwa akawa mgombea wa CHADEMA na ndio maana ameanza kukishambulia CHADEMA.
Alikuwa anasupport sana CHADEMA miaka ile wanaungana na CUF kwenye uchaguzi mkuu lakini chuki zake za kidini hazimruhusu kukubali kipindi hiki CHADEMA nao waungwe mkono kwenye uchaguzi mkuu.
Usione kuwa anapinga suala la upinzani kusimamisha mgombea wa uraisi kwenye uchaguzi mkuu wa 2010. kuna sababu maalumu na kama ukisoma nilichoandika hapo juu yake basi utajua what is going on.
YNIM,
Huyo Kubwajinga ni alikuwa mwanachama wa CUF ila uongozi wa juu ukamtenga kwa sababu alikuwa na mawazo ya kidini sana. Alikuwa anapinga sana wanaCUF ambao sio waislam kwa visingizio vingi tu na uongozi wa juu ulivyomfahamu wakamtenga.
Yeye hapendi yeyote ambaye si muislam (hata kama anajifanya hapa kukisema CUF). Kina Seif na Lipumba wamestukia na hawamtaki. Amekuwa na ugomvi na Lipumba kwa vile CUF wako kwenye makubaliano na vyama vingine kuwa wasimamishe mgombea mmoja mwaka 2010 na kuna uwezekano kuwa akawa mgombea wa CHADEMA na ndio maana ameanza kukishambulia CHADEMA.
Alikuwa anasupport sana CHADEMA miaka ile wanaungana na CUF kwenye uchaguzi mkuu lakini chuki zake za kidini hazimruhusu kukubali kipindi hiki CHADEMA nao waungwe mkono kwenye uchaguzi mkuu.
Usione kuwa anapinga suala la upinzani kusimamisha mgombea wa uraisi kwenye uchaguzi mkuu wa 2010. kuna sababu maalumu na kama ukisoma nilichoandika hapo juu yake basi utajua what is going on.