asante ya nini ? umekubali udikteta wa chadema au ?
Mkuu Hesima mbele.
Kaka huonekani, umepotea
Karibu sana kwenye jamvi, kuna kahawa imeisha ulikuwa haujafika lakini usijali inatengenezwa nyingine tutashiriki pamoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante ya nini ? umekubali udikteta wa chadema au ?
Mkuu kuna mjadala wa Dr. Siraa kugombea uraisi, naomba comment zako maana sisi wote tunaangalia upande mmoja lakini naamini kuwa wewe utaangalia upande wa pili na kutufungua macho sisi tuliolala kuusiana na upande wa pili wa Dr. Siraaasante ya nini ? umekubali udikteta wa chadema au ?
Mkuu kuna mjadala wa Dr. Siraa kugombea uraisi, naomba comment zako maana sisi wote tunaangalia upande mmoja lakini naamini kuwa wewe utaangalia upande wa pili na kutufungua macho sisi tuliolala kuusiana na upande wa pili wa Dr. Siraa
Mkuu Hesima mbele.
Kaka huonekani, umepotea
Karibu sana kwenye jamvi, kuna kahawa imeisha ulikuwa haujafika lakini usijali inatengenezwa nyingine tutashiriki pamoja.
Huyu hana kabisa asili ya Kilimanjaro. Ni mzanzibar mwenye asili ya kingazija. Jirani yangu kabisa amezaliwa kwa Bijoha. Alihamia Kilimanjaro wakati fulani na kuolewa huko. Miaka kadhaa baadaye akarejea Zanzibar na akawa na makazi DSM. Alishaondoka Kilimanjaro zaidi ya miaka kumi iliyopita yuko Zanzibar. Kusema huyu ni wa Kilimanjaro ni kama kusema Fatma Maghimbi ni mbara kwa sababu tu aliolewa na Mbara. Kama hivyo ni kweli basi hata Mkapa ni mchaga kwa kuwa alioa mchaga au Salmin Amour naye kadhalika ni mchaga
Asha
![]()
Mhe. Maulidah Anna Komu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
![]()
Mhe. Susan Anslem Lyimo, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
![]()
Mhe. Halima James, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
![]()
Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2000-2010)
![]()
Mhe. Lucy Owenya, Kilimanjaro (Mtoto wa Ndesamburo)
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
![]()
Mhe. Mhonga Ruhwanya Said, Others
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Kwa nini isingekua kila mteuliwa akatoka mkoa tofauti?? Ugumu unatoka wapi hasa wanachama na wapenzi wanapolalamika??
Ndugu, Wana-Jf hoja ya Mzee Yusuf Halimoja inazidi kutupa mwanga juu ya chama ambacho tumekuwa tukitumia muda na akili zetu kuamini kuwa ni chama mbadala kwa CCM hususan kwa upande wa Tanzania bara mara baada ya vyama vilivyokuwa na nguvu ( NCCR mageuzi na TLP) kupoteza mwelekeo. Leo hii Halimoja anatuasa kwamba hatuna budi kukimulika CHADEMA kabla hatujaamua kukikabidhi nchi.
Wana-Jf wengi tumelalamika kuhusu CCM na Serikali yake na naona bado tunafanya makosa yale yale ya kukosoa chama cha siasa kinapofika Ikulu. Makosa haya hayajatusaidia wengi wakati wa kupiga kura kukichagua chama kilicho bora zaidi kuongoza nchi.
Kimsingi, wenzetu huko Ulaya na Amerika wana kawaida ya kuchunguza kwa kina tabia na mwenendo wa vyama na wagombea wake. Hali hii imewasaidia kuchagua chama na viongozi safi wanaoweza kutetea maslahi ya taifa.
Ni kweli kwamba, pamoja na CHADEMA kuonekana ni chama imara, upo ushahidi dhahiri kuwa kina matatizo makubwa kiungozi na ufisadi hasa katika ofisi za makao makuu yake ambayo ndio Ikulu ya Mwenyekiti MBOWE. Mzee Halimoja amesita kusema bayana ukabila uliopo katika chama hicho. Ukweli ni kwamba Uchaga ndio umetawala CHADEMA. Nafasi nyingi muhimu na nyeti za chama hicho ziko chini ya Wachaga, kabila analotoka MBOWE. Ni ukweli kwamba kati ya wabunge sita wa viti maalum wa CHADEMA wanatoka mkoa wa Kilimanjaro na tukifahamu kwamba Tanzania ina mikoa 26 hivi sasa. Je kama hiki chama ni cha watanzania wote MBOWE haoni hapa kuna walakini?!!!! Laiti ingekuwa ni viti vya majimbo ya mkoa wa Kilimanjaro isingekuwa jambo la ajabu lakini ni ajabu kwa sababu ni viti maalum ambavyo vinatakiwa kutawanywa zaidi ya mkoa wa Kilimanjaro. Chama kinachotaka kuungwa mkono na watanzania wote hakina budi kupiga vita ukabila, udini, ubaguzi wa jinsia na rangi ili kikubalike katika nchi nzima.
Baadhi ya wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanakiri kwamba, Rais KIKWETE amejaribu kuzingatia uwiano wa kikanda alipoteua Baraza la Mawaziri ingawa siyo rahisi kuteua waziri kutoka kila mkoa. Baraza la mawaziri ambalo ni chombo cha juu cha maamuzi serikalini lina sura hiyo wakati MBOWE anaruhusu nafasi nyingi muhimu za maamuzi katika CHADEMA kuwa ni za wachaga. Suala hili ndilo lilikuwa kikwazo kikubwa cha CHACHA WANGWE wakati anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA hususan mtazamo wake na kauli mbiu yake ya kusafisha ufisadi na ukabila ndani ya CHADEMA makao makuu.
.. Yusuf Halimoja ameleta changamoto mpya ambayo kwayo tunapaswa kujiuliza, je badala ya CCM ni chama kipi kinaonyesha kukidhi mahitaji ya watanzania? Kama kipo basi tukimulike mapema kabla hatujakipeleka Ikulu.
Wewe unahitaji kupimwa akili!
Dua,
Shukuran kutufungua macho... kama hili lina ukweli basi nadhani Chadema wataweza kulifanyia kazi unless kuna sababu muhimu ya kutofanya hivyo...Hasa tukizingatia kuwa hawa wote ni kina Mama na hatufahamu wapo wangapi ndani ya uongozi wa Chadema.
Pili, yawezekana pia kuwa sehemu wanazo wakilisha ndizo zinahusiana na makazi yao badala ya kabila..
Tatu, ningeomba kama utaweza kutupa makabila yao (mathalan Mchagga wa Machame)badala ya kutumia neno Kilimanjaro!
Mkuu Mkandara,
Hili ndio nililokuwa ninalipigia kelele, kuwa Chadema waliangalie na kulishugulikia. Lakini unaposema hivyo, wengine huchukulia ushabiki na kutoangalia tatizo lenyewe. Chadema ina future nzuri kwani imepata umaarufu, kinachotakiwa hivi sasa ni kukiondoa kwenye control ya wachache na kukifanya chama cha wote. Otherwise yale yaliyoifika NCCR ya Mrema, yatajirudia tena.
mmh.. hapa naona kuna vituko. Mbona huyo aliyetoa hizo tuhuma na yeye anatuhumiwa kuhusu ukabila wake pale Foreign na hajaja kujibu? Wakati tunamsubiri mwanakjj kujibu mimi naona na mtoa tuhuma naye ajibu tuhuma nilizotoa dhidi yake kuwa ni mkabila, anatumia cheo chake vibaya na anatishia wachagga walio chini yake pale foreign kwa sababu ya ukaribu wake na muungwana. aje na yeye ajibu tuhuma hizo.
Ila hapo sijaelewa mbona hizo habari za mwanakijiji kugombanisha chadema hazijasemwa popote? Kwani yeye ana nguvu gani za kuweza kuchonganisha chama hicho. Nadhani mnataka kumpa nguvu asizokuwanazo! Hana ujiko wa kuweza kugombanisha viongozi wa chama kama Chadema.
Mwisho mtataka kusema ni yeye ndiye anaanzisha migogoro ndani ya CCM!
Asanteni.
Mwafrika wa Kike,
Simple and clear uliyoitaka hii hapa. 4 out of 6 "wa kuteuliwa" ni Kilimanjaro-line. Nasubiri uzue jingine.
![]()
Mhe. Maulidah Anna Komu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
![]()
Mhe. Susan Anslem Lyimo, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
![]()
Mhe. Halima James, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
![]()
Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2000-2010)
![]()
Mhe. Mhonga Ruhwanya Said, Others
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
![]()
Mhe. Lucy Owenya, Others
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Kwa nini isingekua kila mteuliwa akatoka mkoa tofauti?? Ugumu unatoka wapi hasa wanachama na wapenzi wanapolalamika??
Asha,
Kwa kuongezea tu ni kuwa, kati ya wabunge 6 wa kuteuliwa, ni 5 walio na asili ya Kilimanjaro. Lucy Owenya naye ni wa Kilimanjaro (mtoto wa Ndesamburo), huwa tunamsahau mara kwa mara. Muhimu ni kukubali kuwa kuna element za kikabila ndani ya CHADEMA, either iwe Ki-Kilimanjaro, Ki-Kigoma au vyovyote vile, hiyo sio demokrasia. Haya yanahitaji kukarabatiwa haraka iwezekanavyo ili chama kisije kikameguka. Mama Komu ni wa Kilimanjaro, ameandika mwenyewe hivyo, na ndio maana kalipenda jina la Komu. Hayo mengine ni porojo za kutetea huu uvundo na hakuna uthibitisho.
Naiweka tena hii list ili ionekane wazi. Wabunge 5 out of 6 "wa kuteuliwa" ni Kilimanjaro-line.
Nadhani sasa Komu aondolewe kwa uchaga .Maana Komu kwao ni Zanzibar na alikuwa Mgombea mwenza toka Zanzibar sheria inaruhusu hili .Anna Kilango ni Same lakini anaishi Dodoma kwa mumewe na hili sioni tatizo hadi Komu awe mchaga .
Nafasi zingine nadhani tuwe makini na kujua vigezo vya Chadema kabka hatujaanza kulaumu .
Mhonga Said ni godoro la Mwenyekiti wa Chadema Taifa.unaweza kusema kuwa rushwa ya ngono ndio imempa ubunge.
Huwezi kumuondoa Mama Komu maana hata ila tunaweza kuweka Kilimanjaro*. Kilichofanyika hapa ni kwa kutoa hizi zafasi za ubunge kwa wanafamilia, wanakilimanjaro au close symphthisers wa wanaKilimanjaro. Sidhani kama chama kikiwa na muundo kama huu kitafaa kui-replace CCM. CHADEMA has to change first.
here we go again Kifimbo .Muhongwa ni godoro la Cheimani .Je mwenyekiti ndiye aliyekuwa na maamuzi pekee ya kuwateua hawa ama ni Chama ? Yaani akina Slaa wote walidiwa nguvu na Mbowe ? Kama kuna maeneo ambayo hayapokei upinzani na hayana watu wa kuweza kuchukua nafasi bado wakachukulie mtaani ?Watu wote hawa wana historia na Chama .Hebu muone Mdee na Zitto kwa mfano .
here we go again Kifimbo . .Je mwenyekiti ndiye aliyekuwa na maamuzi pekee ya kuwateua hawa ama ni Chama ? Yaani akina Slaa wote walidiwa nguvu na Mbowe ? Kama kuna maeneo ambayo hayapokei upinzani na hayana watu wa kuweza kuchukua nafasi bado wakachukulie mtaani ?Watu wote hawa wana historia na Chama .Hebu muone Mdee na Zitto kwa mfano .
Mhonga Said unaweza kusema kuwa rushwa ya ngono ndio imempa ubunge.
Na wewe mbona ni ***** ya RO na umekuja kumtetea; kila mtu anajua na wewe ni ****** RO na JK tangu ukiwa UK na hakuna anayesema kitu? Ni rushwa ya ngono ndio imekufikisha hapo. Ukinyoshea wengine kidole kimoja angalia vinne visikunyoshee wewe.
Wewe ndio mkabila namba moja humu.
Asante.