CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

Ulirudishwa kwa ufisadi sasa utakoma kuringa maana kesi dhidi yako inaandaliwa! Watu kama wewe mnatumainiwa na serikali na kuwekwa nchi za nje kisha mnaaibisha watanzania.... grrrrr

bi mdogo kumbe na wewe unajua? utamkimbiza dada wa watu. Mwache atetee unga wake; anayetetea mafisadi na yeye ni fisadi. Haya carry on.
 
Good points, bado CHADEMA hawajashika usukani kwa hiyo issue zao sio nzito kama zile zilizoibuliwa na Slaa, Zito na wengine. Vile vile sio guarantee kwamba watashinda uchaguzi ujao.

Tatizo ni hawa vibaka ambao wanakula pesa ya walipa kodi kwa ridhaa ya CCM.

Dua hii ni kweli ingawa pia ni vyema kuwa na kibano ambacho kina base ndani yake. Chadema imekuwa inabanwa hapa kihalali kila mara na hakuna mtu ambaye ana tatizo na hilo.

Hili la kuleta madai kama haya anayotoa Kubwajinga hapa kuwa kuna ukabila chadema na nikimuuliza ataje majina ya wabunge wa kuteuliwa ambao yeye anadai ni wa kutoka Kilimanjaro anaishia mtini ni uzembe wa hali ya juu.

Kitu kingine ni kudai kuwa chama ni cha kikabila bila kuwa na msingi wowote ni uzembe wa akili na kila mara watu kama hawa watakuwa confroted hadi waipate sawasawa.

Yale mambo waliyoleta wakati wa uchaguzi wa ccm mwaka 1995 ya kumkataa Salim ati kwa vile ni mpemba hayatakubaliwa hapa JF!
 
bi mdogo kumbe na wewe unajua? utamkimbiza dada wa watu. Mwache atetee unga wake; anayetetea mafisadi na yeye ni fisadi. Haya carry on.

Yeye mambo yake yote yanajulikana hapa JF na amekuwa anatunziwa heshima kwa muda mrefu ila sasa hivi atakuwa exposed na kesi yake itakapoanza ndipo atajua kuwa hot dogs sio snacks!
 
Mimi nimekuuliza swali rahisi sana lakini naona unakimbia kama vile sijui nini. Nimekuomba utaje majina ya wabunge wa kuteuliwa wa CHADEMA, kisha utaje mikoa au makabila yao maana mimi sina utaalamu huo wa kujua hili.

Simple and clear

Mwafrika wa Kike,
Simple and clear uliyoitaka hii hapa. 4 out of 6 "wa kuteuliwa" ni Kilimanjaro-line. Nasubiri uzue jingine.

maulid_sk.gif

Mhe. Maulidah Anna Komu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

lyimo.gif

Mhe. Susan Anslem Lyimo, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

mdee_sk.jpg

Mhe. Halima James, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

grace3_sk.jpg

Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2000-2010)

mhon2_sk.jpg

Mhe. Mhonga Ruhwanya Said, Others
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

lucy.gif

Mhe. Lucy Owenya, Others
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

Kwa nini isingekua kila mteuliwa akatoka mkoa tofauti?? Ugumu unatoka wapi hasa wanachama na wapenzi wanapolalamika??
 
hapa sasa ndipo umeingia kwenye mtego niliokutega, Watatu kati ya hao unaotaja kuwa wametoka Kilimanjaro sio wa kutoka Kilimanjaro hata kidogo. Ni wakazi wa Dar es salaam na miaka yote wamefanya maisha yao kama wakazi wa Dar es salaam.

Ungesema kuwa Dar es salaam imependelewa ningekuelewa ila kwa hili la kusema Kilimanjaro umechemsha big tyme.

Leta lingine kwa vile hili sio hoja...

Next ......
 
Good points, bado CHADEMA hawajashika usukani kwa hiyo issue zao sio nzito kama zile zilizoibuliwa na Slaa, Zito na wengine. Vile vile sio guarantee kwamba watashinda uchaguzi ujao.

Tatizo ni hawa vibaka ambao wanakula pesa ya walipa kodi kwa ridhaa ya CCM.

Dua,
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa CCM kuna uozo mkubwa unaotuhitaji tupambane nao, whether tuwe wana CHADEMA, CCM, TLP au hata NOTHING. Lakini tusiwaachie wale tunaotegemea kuwaondoa CCM madarakani wakaingia wakiwa hawajanawa mikono. Tusije tukawa kama Zambia walipompa nchi Chiluba. Ghana, Yes, a good example.
 
Wewe unachuki za kikabila ambazo zitakufanya utetee sisiemu kwa chochote kile mkuu. Katika hili jenga credibility kwanza maana unatia aibu!
 
hapa sasa ndipo umeingia kwenye mtego niliokutega, Watatu kati ya hao unaotaja kuwa wametoka Kilimanjaro sio wa kutoka Kilimanjaro hata kidogo. Ni wakazi wa Dar es salaam na miaka yote wamefanya maisha yao kama wakazi wa Dar es salaam.

Ungesema kuwa Dar es salaam imependelewa ningekuelewa ila kwa hili la kusema Kilimanjaro umechemsha big tyme.

Leta lingine kwa vile hili sio hoja...

Next ......

MwK,

Kwii! kwii! kwiiiiiii!!

Umenifurahisha kweli. Kama huo ndio mtego uliokuwa unatega, tafuta mwingine maana ni wa kitoto na mtandaoni naona watakuwa wanashika mbavu zao kwa kicheko.

Wabunge wa TZ karibu wote 200 na ushee, makazi yao ni nje ya maeneo yao ya asili au hata nje ya majimbo yao, ambako uadilifu wao ndio uliko. Wengi wanaishi Dar, hata Pinda jimboni kwake anatembelea tu. Mwanakijiji yeye kaweka makao yake US, lakini bado ni mTZ mkereketwa, na akipewa ubunge "wa kuteuliwa", hataiwakilisha US. Kwa hiyo hao watatu unaosema kuwa wamejikita Dar, ni kwa maslahi tu, lakini wakati wa kuchagua ukifika, inaeleweka wapi roho zao zitalala. Au labda utupe maelezo zaidi ya jinsi ya hawa Kilimanjaro-line watakavyopigania openely au kichinichini, maslahi ya Mbeya, Mtwara, Dodoma n.k., wasipopajua, kabla ya Kilimanjaro ambako sio ajabu roho zao ndio zitapumzikia. Hebu tuelezee hili kwenye next porojo, p'se.
 
MwK,

Kwii! kwii! kwiiiiiii!!

Umenifurahisha kweli. Kama huo ndio mtego uliokuwa unatega, tafuta mwingine maana ni wa kitoto na mtandaoni naona watakuwa wanashika mbavu zao kwa kicheko.

Hapa tulipo sisi tunakucheka namna ninavyokuzungusha all over the map na kukuchezesha kama doli vile. Unajibu kile ninachotaka kwa terms zangu na kuendelea kujiabisha!

Wewe endelea na explosions mkuu...... hapa ndio kwanza nimeanza hii game! Wanaccm wote wamekuacha uendelee kujiabisha na miye kama kawaida yangu nakuvuruga ninavyopenda.

Wabunge wa TZ karibu wote 200 na ushee, makazi yao ni nje ya maeneo yao ya asili au hata nje ya majimbo yao, ambako uadilifu wao ndio uliko. Wengi wanaishi Dar, hata Pinda jimboni kwake anatembelea tu.

Ona jinsi unavyojichanganya hapa kwa kutoa majibu yanayokufunga mwenyewe.

Mwanakijiji yeye kaweka makao yake US, lakini bado ni mTZ mkereketwa, na akipewa ubunge "wa kuteuliwa", hataiwakilisha US.

Kwi kwi kwi kwi,

Yaani hapa ndio nimechoka na mbavu zinauma kabisa, yaani kuna mtu anaweza kuwakilisha US kwenye bunge la Tanzania? Babu wewe umekula nini for lunch?

Kwa hiyo hao watatu unaosema kuwa wamejikita Dar, ni kwa maslahi tu, lakini wakati wa kuchagua ukifika, inaeleweka wapi roho zao zitalala. Au labda utupe maelezo zaidi ya jinsi ya hawa Kilimanjaro-line watakavyopigania openely au kichinichini, maslahi ya Mbeya, Mtwara, Dodoma n.k., wasipopajua, kabla ya Kilimanjaro ambako sio ajabu roho zao ndio zitapumzikia. Hebu tuelezee hili kwenye next porojo, p'se.

Masilahi gani hayo unayosema? Nilikwambia kuwa una kiroho cha chuki za kikabila na sasa mwenyewe unathibitisha hapa kabisaaa.

Yaani Tanzania ni moja na watanzania wanajenga na kuishi popote pale wanapotaka lakini wewe kwa mtizamo wako ukipewa nafasi ya kuongoza nchi utajali "asili yako"?

Mtu kama wewe ni wa kuogopwa kama ukoma......

Next..........
 
Hapa tulipo sisi tunakucheka namna ninavyokuzungusha all over the map na kukuchezesha kama doli vile. Unajibu kile ninachotaka kwa terms zangu na kuendelea kujiabisha!

Unfortunately unajizungusha mwenyewe, kwa kujaribu kubadilisha goal post. Keep it up, nitakusubiri.

Wewe endelea na explosions mkuu...... hapa ndio kwanza nimeanza hii game! Wanaccm wote wamekuacha uendelee kujiabisha na miye kama kawaida yangu nakuvuruga ninavyopenda.

Kwi kwi kwi kwiiii. Hongera na game yako, angalia tu usijifungishe.

Masilahi gani hayo unayosema? Nilikwambia kuwa una kiroho cha chuki za kikabila na sasa mwenyewe unathibitisha hapa kabisaaa.

Yaani Tanzania ni moja na watanzania wanajenga na kuishi popote pale wanapotaka lakini wewe kwa mtizamo wako ukipewa nafasi ya kuongoza nchi utajali "asili yako"?

MwK,
Ni vema ukaacha kutumia umoja wetu kutufumba macho wakati kundi fulani, ambalo ni la kibaguzi, likijilimbikizia madaraka na hawataki kusikia la mtu. Kwa nini ratio isingefanana angalu sawa kidogo na ya sekretarieti? Au ubunge ni wa Kilimanjaro tu??

Hata kama ukiwahamishia Dar baadhi ya hao wabunge wa Kilimanjaro, bado haitatosha kueleza kwa nini hata wakitokea Dar wanakua na asili ya Kilimanjaro na sio Mbeya, Dodoma, Rukwa, Mtwara n.k.?? Chadema kuna mambo.

Hapa chini naipost tena ile list uliyoihitaji kwa ajili ya kumbukumbu.

Mimi nimekuuliza swali rahisi sana lakini naona unakimbia kama vile sijui nini. Nimekuomba utaje majina ya wabunge wa kuteuliwa wa CHADEMA, kisha utaje mikoa au makabila yao maana mimi sina utaalamu huo wa kujua hili.

Simple and clear

Mwafrika wa Kike,
Simple and clear uliyoitaka hii hapa. 4 out of 6 "wa kuteuliwa" ni Kilimanjaro-line. Nasubiri uzue jingine.

maulid_sk.gif

Mhe. Maulidah Anna Komu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

lyimo.gif

Mhe. Susan Anslem Lyimo, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

mdee_sk.jpg

Mhe. Halima James, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

grace3_sk.jpg

Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2000-2010)

mhon2_sk.jpg

Mhe. Mhonga Ruhwanya Said, Others
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

lucy.gif

Mhe. Lucy Owenya, Others
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

Kwa nini isingekua kila mteuliwa akatoka mkoa tofauti?? Ugumu unatoka wapi hasa wanachama na wapenzi wanapolalamika??
 
KubwaJ said:
Dua,
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa CCM kuna uozo mkubwa unaotuhitaji tupambane nao, whether tuwe wana CHADEMA, CCM, TLP au hata NOTHING. Lakini tusiwaachie wale tunaotegemea kuwaondoa CCM madarakani wakaingia wakiwa hawajanawa mikono. Tusije tukawa kama Zambia walipompa nchi Chiluba. Ghana, Yes, a good example.

Wewe unachuki za kikabila ambazo zitakufanya utetee sisiemu kwa chochote kile mkuu. Katika hili jenga credibility kwanza maana unatia aibu!

Kwi kwi kwiiiiii!! No comment.
 
Ndugu, Wana-Jf hoja ya Mzee Yusuf Halimoja inazidi kutupa mwanga juu ya chama ambacho tumekuwa tukitumia muda na akili zetu kuamini kuwa ni chama mbadala kwa CCM hususan kwa upande wa Tanzania bara mara baada ya vyama vilivyokuwa na nguvu ( NCCR mageuzi na TLP) kupoteza mwelekeo. Leo hii Halimoja anatuasa kwamba hatuna budi kukimulika CHADEMA kabla hatujaamua kukikabidhi nchi.

Wana-Jf wengi tumelalamika kuhusu CCM na Serikali yake na naona bado tunafanya makosa yale yale ya kukosoa chama cha siasa kinapofika Ikulu. Makosa haya hayajatusaidia wengi wakati wa kupiga kura kukichagua chama kilicho bora zaidi kuongoza nchi.

Kimsingi, wenzetu huko Ulaya na Amerika wana kawaida ya kuchunguza kwa kina tabia na mwenendo wa vyama na wagombea wake. Hali hii imewasaidia kuchagua chama na viongozi safi wanaoweza kutetea maslahi ya taifa.

Ni kweli kwamba, pamoja na CHADEMA kuonekana ni chama imara, upo ushahidi dhahiri kuwa kina matatizo makubwa kiungozi na ufisadi hasa katika ofisi za makao makuu yake ambayo ndio Ikulu ya Mwenyekiti MBOWE. Mzee Halimoja amesita kusema bayana ukabila uliopo katika chama hicho. Ukweli ni kwamba Uchaga ndio umetawala CHADEMA. Nafasi nyingi muhimu na nyeti za chama hicho ziko chini ya Wachaga, kabila analotoka MBOWE. Ni ukweli kwamba kati ya wabunge sita wa viti maalum wa CHADEMA wanatoka mkoa wa Kilimanjaro na tukifahamu kwamba Tanzania ina mikoa 26 hivi sasa. Je kama hiki chama ni cha watanzania wote MBOWE haoni hapa kuna walakini?!!!! Laiti ingekuwa ni viti vya majimbo ya mkoa wa Kilimanjaro isingekuwa jambo la ajabu lakini ni ajabu kwa sababu ni viti maalum ambavyo vinatakiwa kutawanywa zaidi ya mkoa wa Kilimanjaro. Chama kinachotaka kuungwa mkono na watanzania wote hakina budi kupiga vita ukabila, udini, ubaguzi wa jinsia na rangi ili kikubalike katika nchi nzima.

Baadhi ya wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanakiri kwamba, Rais KIKWETE amejaribu kuzingatia uwiano wa kikanda alipoteua Baraza la Mawaziri ingawa siyo rahisi kuteua waziri kutoka kila mkoa. Baraza la mawaziri ambalo ni chombo cha juu cha maamuzi serikalini lina sura hiyo wakati MBOWE anaruhusu nafasi nyingi muhimu za maamuzi katika CHADEMA kuwa ni za wachaga. Suala hili ndilo lilikuwa kikwazo kikubwa cha CHACHA WANGWE wakati anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA hususan mtazamo wake na kauli mbiu yake ya kusafisha ufisadi na ukabila ndani ya CHADEMA makao makuu.

…….. Yusuf Halimoja ameleta changamoto mpya ambayo kwayo tunapaswa kujiuliza, je badala ya CCM ni chama kipi kinaonyesha kukidhi mahitaji ya watanzania? Kama kipo basi tukimulike mapema kabla hatujakipeleka Ikulu.
 
Wewe unahitaji kupimwa akili!
 
Kama Busara zenyewe ndiyo hizi basi kuna shuda kubwa ya kuitwa mzee wa Busara .Unaongea hadithi na unapingana na facts ziliko hapa ? umesoma ama umekurupuka ?Ongea kwa data wewe wacha kuelezea hadithi.Uchaga elezea badala ya kusema inasemekana .na mengine yote weka data hapa .Kikwazo kwa Chacha Wangwe then akakiondoa nani ? Mbona sasa ni makamu tena si wa kuteuliwa kama kule CCM bali wa kuchaguliwa ? wacha walishindwa nini ? Kesha safisha wapi hadi sasa ?
 
Kama Busara zenyewe ndiyo hizi basi kuna shuda kubwa ya kuitwa mzee wa Busara .Unaongea hadithi na unapingana na facts ziliko hapa ? umesoma ama umekurupuka ?Ongea kwa data wewe wacha kuelezea hadithi.Uchaga elezea badala ya kusema inasemekana .na mengine yote weka data hapa .

Achana naye huyu ameona arudishe watu kwenye udaku baada ya kuona vigogo wa ccm wanadondoka mmoja baada ya mwingine
 
Ndugu, Wana-Jf hoja ya Mzee Yusuf Halimoja inazidi kutupa mwanga juu ya chama ambacho tumekuwa tukitumia muda na akili zetu kuamini kuwa ni chama mbadala kwa CCM hususan kwa upande wa Tanzania bara mara baada ya vyama vilivyokuwa na nguvu ( NCCR mageuzi na TLP) kupoteza mwelekeo. Leo hii Halimoja anatuasa kwamba hatuna budi kukimulika CHADEMA kabla hatujaamua kukikabidhi nchi.

Wana-Jf wengi tumelalamika kuhusu CCM na Serikali yake na naona bado tunafanya makosa yale yale ya kukosoa chama cha siasa kinapofika Ikulu. Makosa haya hayajatusaidia wengi wakati wa kupiga kura kukichagua chama kilicho bora zaidi kuongoza nchi.

Kimsingi, wenzetu huko Ulaya na Amerika wana kawaida ya kuchunguza kwa kina tabia na mwenendo wa vyama na wagombea wake. Hali hii imewasaidia kuchagua chama na viongozi safi wanaoweza kutetea maslahi ya taifa.

Ni kweli kwamba, pamoja na CHADEMA kuonekana ni chama imara, upo ushahidi dhahiri kuwa kina matatizo makubwa kiungozi na ufisadi hasa katika ofisi za makao makuu yake ambayo ndio Ikulu ya Mwenyekiti MBOWE. Mzee Halimoja amesita kusema bayana ukabila uliopo katika chama hicho. Ukweli ni kwamba Uchaga ndio umetawala CHADEMA. Nafasi nyingi muhimu na nyeti za chama hicho ziko chini ya Wachaga, kabila analotoka MBOWE. Ni ukweli kwamba kati ya wabunge sita wa viti maalum wa CHADEMA wanatoka mkoa wa Kilimanjaro na tukifahamu kwamba Tanzania ina mikoa 26 hivi sasa. Je kama hiki chama ni cha watanzania wote MBOWE haoni hapa kuna walakini?!!!! Laiti ingekuwa ni viti vya majimbo ya mkoa wa Kilimanjaro isingekuwa jambo la ajabu lakini ni ajabu kwa sababu ni viti maalum ambavyo vinatakiwa kutawanywa zaidi ya mkoa wa Kilimanjaro. Chama kinachotaka kuungwa mkono na watanzania wote hakina budi kupiga vita ukabila, udini, ubaguzi wa jinsia na rangi ili kikubalike katika nchi nzima.

Baadhi ya wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanakiri kwamba, Rais KIKWETE amejaribu kuzingatia uwiano wa kikanda alipoteua Baraza la Mawaziri ingawa siyo rahisi kuteua waziri kutoka kila mkoa. Baraza la mawaziri ambalo ni chombo cha juu cha maamuzi serikalini lina sura hiyo wakati MBOWE anaruhusu nafasi nyingi muhimu za maamuzi katika CHADEMA kuwa ni za wachaga. Suala hili ndilo lilikuwa kikwazo kikubwa cha CHACHA WANGWE wakati anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA hususan mtazamo wake na kauli mbiu yake ya kusafisha ufisadi na ukabila ndani ya CHADEMA makao makuu.

…….. Yusuf Halimoja ameleta changamoto mpya ambayo kwayo tunapaswa kujiuliza, je badala ya CCM ni chama kipi kinaonyesha kukidhi mahitaji ya watanzania? Kama kipo basi tukimulike mapema kabla hatujakipeleka Ikulu.

Nikitumia nadharia yako ya "Chombo cha Juu ya Maamuzi", na mfano wako wa Baraza la Mawaziri la Kikwete:
- Chombo cha juu kabisa ni mkutano mkuu ambao umejaa watu wenye asili ya Kigoma.
-Chombo kinachofuata ni baraza kuu ambalo sijui kabila gani ni wengi zaidi lakini nina hakika si wachaga, given mkutano mkuu tayari wengi ni wenye asili ya Kigoma na wajumbe wote wa baraza kuu wanaingia mkutano mkuu.
-Chombo kinachofuatwa na chenye nguvu na mara nyingi huamua mambo mengi kuliko mkutano mkuu ni Kamati Kuu ambayo nayo wenye asili ya Kigoma ni wengi zaidi. Wachaga ni Mbowe, Mtei, Lyimo na Mbunge Kiwelu pekee.
-Chombo cha utendaji wa kila siku ambacho ndio kama baraza la mawaziri; sekretariati ya chama taifa ambacho ndio makao makuu ya chama kimejaa wasukuma wakina Mnyika, Tumbo, Shija, Sabula nk. Hata Msafiri Mtemelwa ana asili ya Tabora pamoja na kuwa mzazi wake mmoja ni wa rufiji. Na mtaona nimeona kwenye habari moja kwamba sasa yuko Urambo jimbo la Samuel Sitta akijijenga kisiasa kwa ajili ya kumng'oa 2010. Kwa hiyo wachaga wananguvu gani hapo?

Hao wabunge wa viti maalumu ni chombo gani cha maamuzi zaidi ya kuwa wabunge?

Jina lako la kizee linahitaji useme mambo kwa busara jamani.

Asha
 
Mwafrika wa Kike,
Simple and clear uliyoitaka hii hapa. 4 out of 6 "wa kuteuliwa" ni Kilimanjaro-line. Nasubiri uzue jingine.

maulid_sk.gif

Mhe. Maulidah Anna Komu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

??[/COLOR][/SIZE][/B]

Huyu hana kabisa asili ya Kilimanjaro. Ni mzanzibar mwenye asili ya kingazija. Jirani yangu kabisa amezaliwa kwa Bijoha. Alihamia Kilimanjaro wakati fulani na kuolewa huko. Miaka kadhaa baadaye akarejea Zanzibar na akawa na makazi DSM. Alishaondoka Kilimanjaro zaidi ya miaka kumi iliyopita yuko Zanzibar. Kusema huyu ni wa Kilimanjaro ni kama kusema Fatma Maghimbi ni mbara kwa sababu tu aliolewa na Mbara. Kama hivyo ni kweli basi hata Mkapa ni mchaga kwa kuwa alioa mchaga au Salmin Amour naye kadhalika ni mchaga

Asha
 
Nikitumia nadharia yako ya "Chombo cha Juu ya Maamuzi", na mfano wako wa Baraza la Mawaziri la Kikwete:
- Chombo cha juu kabisa ni mkutano mkuu ambao umejaa watu wenye asili ya Kigoma.
-Chombo kinachofuata ni baraza kuu ambalo sijui kabila gani ni wengi zaidi lakini nina hakika si wachaga, given mkutano mkuu tayari wengi ni wenye asili ya Kigoma na wajumbe wote wa baraza kuu wanaingia mkutano mkuu.
-Chombo kinachofuatwa na chenye nguvu na mara nyingi huamua mambo mengi kuliko mkutano mkuu ni Kamati Kuu ambayo nayo wenye asili ya Kigoma ni wengi zaidi. Wachaga ni Mbowe, Mtei, Lyimo na Mbunge Kiwelu pekee.
-Chombo cha utendaji wa kila siku ambacho ndio kama baraza la mawaziri; sekretariati ya chama taifa ambacho ndio makao makuu ya chama kimejaa wasukuma wakina Mnyika, Tumbo, Shija, Sabula nk. Hata Msafiri Mtemelwa ana asili ya Tabora pamoja na kuwa mzazi wake mmoja ni wa rufiji. Na mtaona nimeona kwenye habari moja kwamba sasa yuko Urambo jimbo la Samuel Sitta akijijenga kisiasa kwa ajili ya kumng'oa 2010. Kwa hiyo wachaga wananguvu gani hapo?

Hao wabunge wa viti maalumu ni chombo gani cha maamuzi zaidi ya kuwa wabunge?

Jina lako la kizee linahitaji useme mambo kwa busara jamani.

Asha

Ukisha kuwa mwana CCM na kila kukicha ukaona wanaboronga lazima upate msongo wa akili .Kama ni mkweli ama unakula njia ya CCM lazima upate kichaa .Sasa akili ikisha chafuka uko ghorofani lazima ulete zile za Hitler kwamba aliwaua askari wake kwa kuchapa garwaide juu ya ghorofa wakifika mwisho lazima waje chini na wakifika wamekufa.Huyu Mtu wa Burasa ana msongo wa akili na amekurupuka ku prove maneno yangu .Kama anapinga namuomba aweke data za madai yake hapa nami nita withdraw statement yangu .
 
Back
Top Bottom