Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuongezea tu watanzania waonyeshe uzalendo nchi jirani wanamkubali why not us pili hii ni zile roho mbaya za ktz hata kwenye kusaidiana kupasiana ajira kimataifa hawataki kama nchi zingineCHADEMA NA WANAHARAKATI KUONYESHA CHUKI DHIDI YA DIAMOND NI UKOSEFU WA AGENDA
Natumaini mko wazima.
Kwa wiki hii mitandaoni kumetokea vituko vya wanaharakati pamoja na baadhi ya viongozi wa CHADEMA kuongoza kampeni ya kuhakikisha mwanamuziki komredi Diamond Platnumz hashindi kwenye tuzo za BET huko Marekani. Wakati nikishangaa nikaanza kupokea simu za members wengi wa JF pamoja na watanzania wengine wakinisihi nitoe neno ili kutuliza huu upepo. Kabla ya kuanza kuandika nikaona nipitie sababu kuu zinazotolewa na wanaopinga Komredi Diamond kupata tuzo. Nia ni kutaka kujua kama hoja zao zina mashiko.
Sababu kubwa kuliko zote inayotajwa ni kuwa Diamond hajawahi kushiriki kuwasemea watanzania pale haki zao zinapominywa na kwamba amekuwa akiwa upande wa "wakandamiza haki". Hii hoja ni ya kupuuzwa na mtu yeyote mwenye akili. Sio watu wote tumezaliwa ili kuwa wanaharakati na kutoa matamko. Hata biblia inasema Nabii Musa aliyewatoa waisrael utumwani alikuwa mtu mpole kuwahi kutokea na hakuwa mwongeaji. Alikuwa na msemaji wake aitwae Haruni. Kwahiyo hata Diamond imeonekana wazi sio muongeaji sana zaidi ya kufanya mambo yake ya muziki. Labda hoja inaweza kujengwa hoja mbona Bob Marley, Lucky Dube, Tupac na baadhi ya wanamuziki walikuwa wakitunga nyimbo za kudai haki? Jibu ni kwamba wanamuziki pia wamegawanyika... wapo wanaotoa nyimbo za kiuanaharakati, mapenzi, biashara, na mambo mengine mbalimbali kwenye jamii. So, huenda Diamond sio wito wake kutoa nyimbo za aina hiyo.
Pia Diamond kwenye siasa na harakati ni mdogo sana.. mambo ya kwenye siasa sio ya kwenye muziki. Sasa kuna haja gani kujihusisha na mambo yaliyo juu ya uwezo wake? Nchi hii kuna vijana wanasiasa kama kina Abdul Nondo.. hao wasipoongelea siasa wanapaswa kulaumiwa. Na sio mambo ya siasa kwenda kulazimisha kina Diamond, Frank Knows, na wengine wasio wanasiasa kuyaongelea. Nje ya muziki pia kijana ana familia inayomtegemea kwahiyo sio vema kukwaruzana na mamlaka wakati kwenye mafanikio yake hakuna hata shilingi tano aliyochangiwa na CHADEMA. Hata Diamond asipoongea matendo yake mema kwa jamii yatamtetea. Ni msanii pekee aliyetoa mchango wa madawati mia sita (600) kwa ajili ya shule za Dsm wakati wa uongozi wa Field Marshal Makonda. Huko kwao ndo katoa michango mingi zaidi ya kijamii. Isitoshe kuwapigania CHADEMA ni kucheza kamari mbaya sana kwasababu ya viongozi wao wengi kuwa wasaliti (kuunga juhudi).
Sababu nyingine inayotolewa hasa na wasanii wenzake ni kwamba huwa hasapoti kazi za wenzake. Hii ni sababu ya kipuuzi sana kuwahi kutamkwa. Diamond Platinumz ni mfano halisi wa msanii anayesapoti wenzake. Kampuni yake ya Wasafi imekuza nyota wengi wanaotamba hapa nchini. Hata nje ya wasafi kuna wasanii wengi ambao tunaweza sema ni members wa wasafi kasoro usajili rasmi. Halafu wasanii wengi kabla ya kusaidiwa wanatakiwa wajisaidie wenyewe kwanza. Wasanii wengi ni wavivu na hawapendi kazi. Husubiri kubebwa na media pamoja na watu binafsi. Ndo chimbuko kuu la watu waitwao Chawa. Waige mfano kwa Diamond kwa kuchapa kazi.
Wito wangu kwa wote wanaochukia mafanikio ya huyu kijana ni kuacha mara moja hiyo tabia. Pia wajikite zaidi kwenye shughuli za uzalishaji mali ili kuupata utajiri. Kupata au kukosa hiyo tuzo kwa komredi Diamond ni matokeo tu. CHADEMA kijikite kuongeza wanachama wake na kudai katiba bora hapa nchini. Kumzungumzia Diamond kwa chama kinachotajwa kama mbadala wa CCM ni kupoteza muda na kuua matumaini ya wapenda mabadiliko.
Unaposema hajihusishi na siasa wakati alipanda majukwaani kuwanadi na kuwaimbia sifa, hapo hajihusishi na siasa?CHADEMA NA WANAHARAKATI KUONYESHA CHUKI DHIDI YA DIAMOND NI UKOSEFU WA AGENDA

Na kujihakikishia usalama wake.Ana njaa Bill Gates jombi. Kwani kwenye kampeni wewe ulidhani kulikuwa bure?
Kauli gani rasmi imetolewa na chadema kumpiga vita?CHADEMA NA WANAHARAKATI KUONYESHA CHUKI DHIDI YA DIAMOND NI UKOSEFU WA AGENDA

Wew ndugu kuwa muelewa. Ni lini Chadema imetangaza hayo unayoyasema? Ni kikao gani kilikaa na kuamua kama madai yako hapa?CHADEMA NA WANAHARAKATI KUONYESHA CHUKI DHIDI YA DIAMOND NI UKOSEFU WA AGENDA

Chama kikemee viongozi wake wanaoharibu taswira ya chama kwa kujihusisha na vitu vidogo. Viongozi waandamizi zaidi ya mmoja wanapojitokeza kuongelea tuzo ya BET ni dalili ya uongozi mbovu na kushusha hadhi ya chama. Mambo kama haya ni aibu kwa mtu kama Lissu, Msigwa na Lem kuyaongelea. Wangewaachia kina Malisa, Yeriko, Nanyaro na vijana wengine machachari wa CHADEMA.Wew ndugu kuwa muelewa. Ni lini Chadema imetangaza hayo unayoyasema? Ni kikao gani kilikaa na kuamua kama madai yako hapa?
Chadema ni taasisi na inaongozwa na sheria na taratibu ikiwemo katiba. Mwanachama na hata viongozi ni raia wa nchi na wanahaki ya kutoa maoni yao juu ya jambo lolote na yasiwe maoni ya chama. Kauli ya chama hutolewa na msemaji wa Chama na kauli hutolewa baada ya vikao vya kikatiba vya chama kuamua. Hivyo brother acha kukihusisha chama na hili suala la Diamond.
Kwani alkiba hana wimbo wa magufuli, au hamonize hana wimbo wa CCM? Ni msanii gani mkubwa ambae hajawahi kushiriki shughuli za kisiasa hapa nchini?Huyu unayempigia debe ndiyo mwenye ule wimbo wa "magu baba lao?"
Yawezekana unaowashutumu leo hawana haja ya haramu na yote yahusikanayo na haramu hiyo.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Unasema uongo,ndg yangu.Huyu unayempigia debe ndiyo mwenye ule wimbo wa "magu baba lao?"
Yawezekana unaowashutumu leo hawana haja ya haramu na yote yahusikanayo na haramu hiyo.
Au nasema uongo ndugu zangu?
CHADEMA NA WANAHARAKATI KUONYESHA CHUKI DHIDI YA DIAMOND NI UKOSEFU WA AGENDA
Natumaini mko wazima.
Kwa wiki hii mitandaoni kumetokea vituko vya wanaharakati pamoja na baadhi ya viongozi wa CHADEMA kuongoza kampeni ya kuhakikisha mwanamuziki komredi Diamond Platnumz hashindi kwenye tuzo za BET huko Marekani. Wakati nikishangaa nikaanza kupokea simu za members wengi wa JF pamoja na watanzania wengine wakinisihi nitoe neno ili kutuliza huu upepo. Kabla ya kuanza kuandika nikaona nipitie sababu kuu zinazotolewa na wanaopinga Komredi Diamond kupata tuzo. Nia ni kutaka kujua kama hoja zao zina mashiko.
Sababu kubwa kuliko zote inayotajwa ni kuwa Diamond hajawahi kushiriki kuwasemea watanzania pale haki zao zinapominywa na kwamba amekuwa akiwa upande wa "wakandamiza haki". Hii hoja ni ya kupuuzwa na mtu yeyote mwenye akili. Sio watu wote tumezaliwa ili kuwa wanaharakati na kutoa matamko. Hata biblia inasema Nabii Musa aliyewatoa waisrael utumwani alikuwa mtu mpole kuwahi kutokea na hakuwa mwongeaji. Alikuwa na msemaji wake aitwae Haruni. Kwahiyo hata Diamond imeonekana wazi sio muongeaji sana zaidi ya kufanya mambo yake ya muziki. Labda hoja inaweza kujengwa hoja mbona Bob Marley, Lucky Dube, Tupac na baadhi ya wanamuziki walikuwa wakitunga nyimbo za kudai haki? Jibu ni kwamba wanamuziki pia wamegawanyika... wapo wanaotoa nyimbo za kiuanaharakati, mapenzi, biashara, na mambo mengine mbalimbali kwenye jamii. So, huenda Diamond sio wito wake kutoa nyimbo za aina hiyo.
Pia Diamond kwenye siasa na harakati ni mdogo sana.. mambo ya kwenye siasa sio ya kwenye muziki. Sasa kuna haja gani kujihusisha na mambo yaliyo juu ya uwezo wake? Nchi hii kuna vijana wanasiasa kama kina Abdul Nondo.. hao wasipoongelea siasa wanapaswa kulaumiwa. Na sio mambo ya siasa kwenda kulazimisha kina Diamond, Frank Knows, na wengine wasio wanasiasa kuyaongelea. Nje ya muziki pia kijana ana familia inayomtegemea kwahiyo sio vema kukwaruzana na mamlaka wakati kwenye mafanikio yake hakuna hata shilingi tano aliyochangiwa na CHADEMA. Hata Diamond asipoongea matendo yake mema kwa jamii yatamtetea. Ni msanii pekee aliyetoa mchango wa madawati mia sita (600) kwa ajili ya shule za Dsm wakati wa uongozi wa Field Marshal Makonda. Huko kwao ndo katoa michango mingi zaidi ya kijamii. Isitoshe kuwapigania CHADEMA ni kucheza kamari mbaya sana kwasababu ya viongozi wao wengi kuwa wasaliti (kuunga juhudi).
Sababu nyingine inayotolewa hasa na wasanii wenzake ni kwamba huwa hasapoti kazi za wenzake. Hii ni sababu ya kipuuzi sana kuwahi kutamkwa. Diamond Platinumz ni mfano halisi wa msanii anayesapoti wenzake. Kampuni yake ya Wasafi imekuza nyota wengi wanaotamba hapa nchini. Hata nje ya wasafi kuna wasanii wengi ambao tunaweza sema ni members wa wasafi kasoro usajili rasmi. Halafu wasanii wengi kabla ya kusaidiwa wanatakiwa wajisaidie wenyewe kwanza. Wasanii wengi ni wavivu na hawapendi kazi. Husubiri kubebwa na media pamoja na watu binafsi. Ndo chimbuko kuu la watu waitwao Chawa. Waige mfano kwa Diamond kwa kuchapa kazi.
Wito wangu kwa wote wanaochukia mafanikio ya huyu kijana ni kuacha mara moja hiyo tabia. Pia wajikite zaidi kwenye shughuli za uzalishaji mali ili kuupata utajiri. Kupata au kukosa hiyo tuzo kwa komredi Diamond ni matokeo tu. CHADEMA kijikite kuongeza wanachama wake na kudai katiba bora hapa nchini. Kumzungumzia Diamond kwa chama kinachotajwa kama mbadala wa CCM ni kupoteza muda na kuua matumaini ya wapenda mabadiliko.
Ila mkuu si unaifaham ile ngoma yake aliyo imba WACHA NIKAE KIMYA nadhani tutaelewana kidogo kidogo.CHADEMA NA WANAHARAKATI KUONYESHA CHUKI DHIDI YA DIAMOND NI UKOSEFU WA AGENDA

Unasema uongo,ndg yangu.
Tatizo ni wimbi wa Magufuli? Elewa swali - hili lilikuwa na maana halisi tu ya kumtambua mpigiwa chapuo nothing more nothing less.Kwani alkiba hana wimbo wa magufuli, au hamonize hana wimbo wa CCM? Ni msanii gani mkubwa ambae hajawahi kushiriki shughuli za kisiasa hapa nchini?
Ni baba wa mapinduzi ya kidemokrasia nchini
Wananikera hapo tu.kuhusisha huu upuuz na chadema..aje ajibu hili swali lakoNi kikao gani cha chama kilikaa kikatoa hiyo hoja?.
Wananikera hapo tu.kuhusisha huu upuuz na chadema..aje ajibu hili swali lako
[/QUOTE
Huyo jamaa uvccm namjua vizuri,anaandika bila kuwa na uhakika na asemacho.na ni diwani Wa ccm.