CHADEMA na Wanaharakati kuonesha chuki dhidi ya Diamond ni ukosefu wa ajenda

Wananikera hapo tu.kuhusisha huu upuuz na chadema..aje ajibu hili swali lako
Kwa asilimia kubwa au zote agenda ya kumpinga Diamomd imebebwa na wanachadema, sasa hilo nalo linahitaji kikao cha chama kusema kwamba Wanachadema wapo kwenye hili ?
 
mimi ni CCM damu damu na shabiki mkuu wa nyimbo na shoo za diamond ila nmeungana na watanzania kulaani vitendo/kitendo cha diamond kupuuza jamii yake hususani wasanii wenzake waliopatwa na kadhia za watawala. #NoBETawardfordiamond
 
Kumlazimisha Diamond kufanya mnayopenda ni kuingilia uhuru wake. Acheni afanye anachotaka bila kuvunja sheria
 
Hivi wanapotajwa Lema, Msigwa, Lissu huwa unapata picha gani kwa haraka kichwani? Jibu ni CHADEMA. Sasa chama kikemee makada waandamizi kuharibu taswira ya chama. Mbona Mbowe ana busara, nyie wafuasi mnakwama wapi?
Ishu ya diamond ni beef zenu msihusishe na chadema...
 
Unahakika kuwa hoja za wanaolalamika zafaa kupuuzwa,mtu asiyekuwa tayari kutetea utu na haki,iweje atake kuungwa mkono na wale alioshindwa kuwatetea kwa ajili ya manufaa take binafsi.Je huoni kupewa nafasi zaidi atawaangamiza hawa alioshindwa na kuthibitisha kutokuwa tayari kuwatetea.
 
Mnajua madhara kwa CHADEMA endapo Diamond atashinda hii tuzo? Litakuwa anguko lingine baada ya lile la 2015 mlipobadili gia angani. Bado mna nafasi ya kuomba radhi umma wa wazalendo kwa matendo mnayoyafanya dhidi ya kijana mdogo wa kitanzania.
 
Hivi wanapotajwa Lema, Msigwa, Lissu huwa unapata picha gani kwa haraka kichwani? Jibu ni CHADEMA. Sasa chama kikemee makada waandamizi kuharibu taswira ya chama. Mbona Mbowe ana busara, nyie wafuasi mnakwama wapi?
Huo nauita ubaguzi wa kiitikadi,jifunze kutofautisha mawazo ya mtu binafsi na mtazamo wa taasisi.
 
Mnajua madhara kwa CHADEMA endapo Diamond atashinda hii tuzo? Litakuwa anguko lingine baada ya lile la 2015 mlipobadili gia angani. Bado mna nafasi ya kuomba radhi umma wa wazalendo kwa matendo mnayoyafanya dhidi ya kijana mdogo wa kitanzania.
Nasema hivi,watanzania hatuna ubaguzi wa kiitikadi kama unavyojaribu kuupandikiza,ama hata wa kikabila au ukanda kama baadhi yenu mlivyojaribu kuligawa taifa kwa vigezo hivyo Duni.
 
Hebu tuowekee hapa screenshot ya official page ya Chadema ambayo inaendesha hiyo campaign, nimejaribu kufatilia official page za chadema zote sijaona hilo bandiko wala sijaona kama wameretweet, ambacho nimeona ni baadhi ya wanaharakati ambao wengine ni wafuasi wa CHADEMA wakivalia bango hilo andiko lakini hii haimaanishi kwamba ndio msimamo wa chama, na naamini chama kinaheshimu demokrasia, hakiwezi kuwafumba wafuasi wake midomo kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kuzungumza na kuchagua upande wake wa burudani kwa utashi wale binafsi, hata baadhi ya ccm wamesign hilo bandiko na baadhi ya chawa wa daimond sembuse wafuasi wa chadema, kama unabisha muulize babalevo kwa nini amesign ile petition
 
eti ailipigiwa simu na magu akiwa jukwaani kigoma sasa kura awaombe CCm wenzie upuuzi hatutaki na si hivyo kila msanii abebe zigo lake la mavi shenz type...inawrzekana vipi wasanii na waigizaji wote mue mnatetea upuuzi wa watawala sasa basi nendeni kwa makonda ovyo..
 
Chadema wamejivua nguo kwa hili
Wote wenye mtazamo kama wako wakibaguzi kwa msingi wowote ule uwe wakiitikadi amavinginevyo yafaa kwa umoja wetu tumpinge kama alivyopingwa kaburu,kwa ukatili dhidi ya utu na ubaguzi.
 
Wote wenye mtazamo kama wako wakibaguzi kwa msingi wowote ule uwe wakiitikadi amavinginevyo yafaa kwa umoja wetu tumpinge kama alivyopingwa kaburu,kwa ukatili dhidi ya utu na ubaguzi.
I stand with Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…