CHADEMA na Wanaharakati kuonesha chuki dhidi ya Diamond ni ukosefu wa ajenda

Wote wenye mtazamo kama wako wakibaguzi kwa msingi wowote ule uwe wakiitikadi amavinginevyo yafaa kwa umoja wetu tumpinge kama alivyopingwa kaburu,kwa ukatili dhidi ya utu na ubaguzi.
Sasa kati yetu ni nani mwanzilishi wa ubaguzi?
 
Huu utetezi wako ni wa kawaida sana kwenye hicho chama. Mnakuja kujuta baadae. Hicho chama kila mtu ni msemaji. Viongozi waandamizi wangewaachia vijana mambo kama haya. CCM huwezi kuta viongozi kama Mangula na wakubwa wengine wanajihusisha na mambo madogo kama haya ya Diamond.
 
Halaf we jamaa bhana
Unazungumzia chama ambacho hakina hata ofisi 🤣😂
 
Hata ccm na michepuko kugombea misiba sio sawa, unajua kitendo walichofanya ccm kuvamia msiba hakifai
 
NIMESOMA HIZI TAKATAKA MARA MBILI TATU, NIKAONA NIKUJIBU:

  • MAWAZO NA MAONI YA MWANACHAMA WA CHADEMA SIO AZIMIO/MSIMAMO WA CHAMA KIZIMA!!!??
  • UNAFIKIA HATUA YA KUNUU BIBLIA (BILA KUTAJA KIFUNGU) ILI KUWAAMINISHA WATU?? NA BADO UNAJIONA WEWE NDIO UNAJITAMBUA!!!
  • ETI DIAMOND IMEONEKANA WAZI SIO MUONGEAJI SANA ZAIDI YA KUFANYA MAMBO YAKE YA MUZIKI!!! KWENYE ENEO HILI HAKUNA MWANAMUZIKI WA HOVYO KAMA HUYU, WATU WANAO FANYA MAMBO YAO HUWEZI JUA MAMBO YAO YA NDANI. LEO UNAJUA BABA ANAT.IA NANI? MAMA ANATI.WA NA NANI?!!? DADA AN.ATIWA NA NANI? YEYE AN.ATIA NANI?!
  • MAMBO YA KWENYE SIASA SIO YA KWENYE MUZIKI, HAPA UKO SAHIHI. ACHA WATU WA SIASA WAFANYE SIASA , WA MUZIKI WAFANYE MUZIKI, WA DINI WAFANYE DINI. SASA HUYU ANAPATA UPINZANI SASA KWA KUFANYA SIASA WAKATI SIO ENEO LAKE. JE HILI ULIJUI?
  • "HUKO KWAO NDO KATOA MICHANGO MINGI ZAIDI YA KIJAMII" UNAWEZAJE KUTOA MISAADA MINGI KWA JAMII HUKU UKISHINDWA KUMSAIDIA ALIYEKULEA (BABA)?? JE HILI ULIJUI?
  • "WANAOCHUKIA MAFANIKIO YA HUYU KIJANA NI KUACHA MARA MOJA HIYO TABIA". KAA UKIJUA KUNA WENGI VIJANA WANA MAFANIKIO MAKUBWA KULIKO HATA HUYO KIJANA, SEMA WAKO KIMYA KWANI KANUNI MOJA WAPO YA KUFANIKIWA NI KUTOWEKA WAZI MIPANGO YAKO. KIKUBWA YEYE AENDELEE KUCHAPA KAZI BILA MSAADA WA KURA TOKA KWA WATANZANIA.
 
Nimevutiwa na jinsi ulivyopanga maandishi yako. Yanavutia kusoma. Ila nashindwa kuelewa unawezaje kupangilia maandishi hivi halafu point ni ushuzi mtupu? Siku nyingine usicomment bali bonyeza tu kitufe cha Like au dislike ili kuficha aibu kama hii
 
Nimevutiwa na jinsi ulivyopanga maandishi yako. Yanavutia kusoma. Ila nashindwa kuelewa unawezaje kupangilia maandishi hivi halafu point ni ushuzi mtupu? Siku nyingine usicomment bali bonyeza tu kitufe cha Like au dislike ili kuficha aibu kama hii
🤣🤣🤣
 
Chadema imehusikaje ?
 
Hivi wanapotajwa Lema, Msigwa, Lissu huwa unapata picha gani kwa haraka kichwani? Jibu ni CHADEMA. Sasa chama kikemee makada waandamizi kuharibu taswira ya chama. Mbona Mbowe ana busara, nyie wafuasi mnakwama wapi?
Kama Lema alikuwa jambazi wa Magari, unategemea atakuwa na busara kama Mbowe ?
Lissu anajulikana ni mtu wa kukurupuka kama Magufuli. Nadhani hata Mbowe atakuwa alishukuru watz walivyokataa kuunga mkono maandamano ya lissu
 
Kama Lema alikuwa jambazi wa Magari, unategemea atakuwa na busara kama Mbowe ?
Lissu anajulikana ni mtu wa kukurupuka kama Magufuli. Nadhani hata Mbowe atakuwa alishukuru watz walivyokataa kuunga mkono maandamano ya lissu
Hata Msigwa nae kajiingiza kwenye hili suala. Ni aibu mno.
 
Yeye alisahau kuwa anawapenzi wa vyama mbalimbali,Sasa kawaudhi wapenzi wake ambao kisiasa wapo vyama upinzani na ndo hao wanamkalia kooni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…