CHADEMA: Namba ya simu ya Brenda Rupia iliyokuwa ikitumika kuchangisha michango imefungiwa na kampuni ya Airtel

NIsome Tena Vizuri, Regulator yupo kote isipokuwa Kuna mitandao ni ngumu Kufanya twisting kwasababu majority wako owned na Kampuni kubwa za nje ambazo Kuna namna Fulani hata TCRA hawezi kuwazingua kama atakavyomzingua Airtel, TTC au Zantel
uko timamu? unajua maana ya kusajiliwa tanzania?
 
kwan mitandao mingine serikali haisimamii? hizo ni cheap politics
Wewe unadhani The way Serikali ata treat Vodacom au Yas ni same way ata treat Zantel, TTC na Airtel?

Serikali inajua izo Kampuni kama Vodacom ni strong na hapa ni subsidiary tu ila zimejipanga kwenye Legal affairs
 
NIsome Tena Vizuri, Regulator yupo kote isipokuwa Kuna mitandao ni ngumu Kufanya twisting kwasababu majority wako owned na Kampuni kubwa za nje ambazo Kuna namna Fulani hata TCRA hawezi kuwazingua kama atakavyomzingua Airtel, TTC au Zantel
Kumbe hapa nikkuhamia voda
Lakini tigo nao walimfanyia uhuni Lissu akawashtaki na kuwadai mabilion ya dollars ndo maana wakajiita Yass
 
Airtel unakuwa amefunga hio namba Kwa maelezo ya simu tu Bila hata written memo ya Authorities
 
Wewe unadhani The way Serikali ata treat Vodacom au Yas ni same way ata treat Zantel, TTC na Airtel?

Serikali inajua izo Kampuni kama Vodacom ni strong na hapa ni subsidiary tu ila zimejipanga kwenye Legal affairs
hakuna kampuni ilio juu ya serikali ndan ya jamhuri
 
Kumbe hapa nikkuhamia voda
Lakini tigo nao walimfanyia uhuni Lissu akawashtaki na kuwadai mabilion ya dollars ndo maana wakajiita Yass
hakuna mtandao uko juu ya serikali zote ziko sawa
 
Kumbe hapa nikkuhamia voda
Lakini tigo nao walimfanyia uhuni Lissu akawashtaki na kuwadai mabilion ya dollars ndo maana wakajiita Yass
Wataongeza umakini kwenye legal issues, Yas amejifunza mambo mengi hizi mambo za maelekezo ya simu tu watu Wana implement sio Kabisa, Vodacom yeye hutazama mambo Kwa angle kubwa ya kisheria kabla ya Ku impose issue, especially issue za Public attention kama izo
 
Wewe unadhani The way Serikali ata treat Vodacom au Yas ni same way ata treat Zantel, TTC na Airtel?

Serikali inajua izo Kampuni kama Vodacom ni strong na hapa ni subsidiary tu ila zimejipanga kwenye Legal affairs
unamkumbuka kabendera?
 
Wataongeza umakini kwenye legal issues, Yas amejifunza mambo mengi hizi mambo za maelekezo ya simu tu watu Wana implement sio Kabisa, Vodacom yeye hutazama mambo Kwa angle kubwa ya kisheria kabla ya Ku impose issue, especially issue za Public attention kama izo
Sijajua kama hao Yas watamlipa Lissu
Maana kipindi wakiitwa tigo inasemekana ndo walivujisha faragha zake
Pia voda nao Erick Kabendera nao aliwadai mabilion Kwa kutoa Faragha zake Kwa Magufuli
Kwaiyo nadhani hii mitandao ya simu yote haina nguvu Kwa serikali
 
kwan nlichokua naelezea apo juu ulikua huelewi au
 
Sijajua kama hao Yas watamlipa Lissu
Maana kipindi wakiitwa tigo inasemekana ndo walivujisha faragha zake
Pia voda nao Erick Kabendera nao aliwadai mabilion Kwa kutoa Faragha zake Kwa Magufuli
Kwaiyo nadhani hii mitandao ya simu yote haina nguvu Kwa serikali
Mkuu mitandao ya simu yote Iko Chini ya Regulator ambae ni Mamlaka ya mawasiliano TCRA, Ila Kuna namna Fulani Hawa regulator the way wata twist Airtel au TTCL ni tofauti na the way wata twist Vodacom au Yas, Kuna careful consideration Wanapo deal na hao giant kama Voda
 
Back
Top Bottom