Bezecky
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 494
- 897
1. Kwa sasa! Tundu Lissu anatosha ili aje aisuke upya Makao Makuu ya CHADEMA maana imeyumba sana!
2. HQ ya Chama chetu inaendeshwa kimazoea sana; watu wenye fikra pevu hawawezi kudumu na kuonyesha uwezo. Hujuma ni nyingi kuliko kitu chochote. Tatizo linaanzia kwenye Secretariat!
3. Mwenyekiti Mbowe Hana uwezo wa kuwafanya chochote wanamumudu sana kwa sababu ni washikaji zake sana!
4. Uchaguzi huu linda taasisi na sio mtu/watu. Na Mtu anayeweza kututoa hapa tulipo ni Tundu Lissu!
5. Kama wanabisha, nitaachia hadharani mpango kazi mzima wa kuipata TV ya Chama uliokwamishwa na hata email zao zote walizokuwa wanawasiliana na mwekezaji husika ninazo.
6. Tundu Lissu pekee ndiye anayeweza kuturekebishia utendaji wa hapa CHADEMA Makao Makuu.
Remigius Selestine,
Afisa wa IT - Chadema HQ.