mb on
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 1,640
- 703
Uko na upuuzi mwingi kijana watch out .Hahahaha unakana jinsia ako mkuu? hata matendo yako yanakushitaki mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko na upuuzi mwingi kijana watch out .Hahahaha unakana jinsia ako mkuu? hata matendo yako yanakushitaki mkuu
Bogus ni yule asiyeelewa kusoma katikati ya mistari....Bogus!
Kama bado una amini kwamba mtu mmoja, (badala ya mfumo) atakuja kufanya mabadiliko ya taasisi, basi wewe ni mjinga na mpumbavu kwa pamoja.
Wanachadema wote wanaopenda mabadiliko ndani ya chama waende na lissu.Kubaki na mbowe mambo ni yaleyale.Nawasihi wanachadema kote nchini tumtafutie lissu kura, kwangu tayari nimeshawaomba wajumbe 5 na wamehaidi kumpa kura.Tusikate tamaa1. Kwa sasa! Tundu Lissu anatosha ili aje aisuke upya Makao Makuu ya CHADEMA maana imeyumba sana!
2. HQ ya Chama chetu inaendeshwa kimazoea sana; watu wenye fikra pevu hawawezi kudumu na kuonyesha uwezo. Hujuma ni nyingi kuliko kitu chochote. Tatizo linaanzia kwenye Secretariat!
3. Mwenyekiti Mbowe Hana uwezo wa kuwafanya chochote wanamumudu sana kwa sababu ni washikaji zake sana!
4. Uchaguzi huu linda taasisi na sio mtu/watu. Na Mtu anayeweza kututoa hapa tulipo ni Tundu Lissu!
5. Kama wanabisha, nitaachia hadharani mpango kazi mzima wa kuipata TV ya Chama uliokwamishwa na hata email zao zote walizokuwa wanawasiliana na mwekezaji husika ninazo.
6. Tundu Lissu pekee ndiye anayeweza kuturekebishia utendaji wa hapa CHADEMA Makao Makuu.
Remigius Selestine,
Afisa wa IT - Chadema HQ.
Haahaa ccm hii au nyingine?KIUJUMLA CHADEMA YOTE HAIFAI IMEOZA CCM NDIYO CHAGUO PEKEE KUTOKA KWA MUNGU NA WANANCHI KWA UJUMLA NYIE ENDELEENI KWANZA KUGAWANA FITO HUKO
Acha kuleta madesa yakwenye vitabu.Ingekua nnii hivyo nchi nzima ingekua mbali kwasababu hakuna sehemu hakuna kiongozi.Ndo maana mifumo ni muhimu ili kuwezesha kila mtu kuenenda sawasawa ata pale ambapo kiongozi hayupo.Unaweza ukawa wewe ni Bogus zaidi Kwa sababu ya kushindwa kufikiri na kuwasilisha fikra tunduizi.
Siku zote visionary leader (individual) Ndio anayetakiwa kuyatafsiri maono ya wanataasisi na kuyaweka in practice Ili yalete hayo mabadiliko ya kitaasisi unayoyataka. Taaisisi lazima uwe na kiongozi. These are social systems na kwa maana hiyo lazima ziwe na kiongozi, mbeba maono.
So what is leadership kama tulivyosoma?
Ana ability of a person to influence others to share a common vision towards a common goal! Uko hapo jamaa yangu! Kama una ability ya kuwainfluence watu waongane na wewe kufikia common goal, jua hakuna taaisisi itakayosimama! Wake up upo kwenye platform ya great thinkers:
Hebu soma hii hapa kama darasa kwako na wale wenye akili na mtazamo kama wewe:
Nguvu ya kiongozi mmoja kuleta mabadiliko ndani ya taasisi au chama cha siasa inatokana na uwezo wake wa kuwa na maono ya mbali, mikakati thabiti, na uwezo wa kuwahamasisha wengine. Kiongozi wa mabadiliko huathiri utamaduni, muundo, na utendaji wa taasisi kwa lengo la kuboresha maendeleo ya muda mrefu. Katika vyama vya siasa, viongozi wenye dira sahihi wana uwezo wa kuvibadilisha vyama na kuviimarisha ili viweze kukidhi mahitaji ya jamii.
Moja ya nguzo muhimu za kiongozi wa mabadiliko ni kuwa na maono na madhumuni wazi. Kiongozi wa aina hii hutoa mwelekeo wa wazi juu ya mahali chama kinapaswa kuelekea na jinsi ya kufanikisha lengo hilo. Katika vyama vya siasa, kiongozi mwenye maono anaweza kuwaunganisha wanachama na wafuasi wake kuelekea malengo ya pamoja kama vile kuleta mageuzi, haki, au utawala bora. Maono ya kiongozi huwezesha chama kuendana na mabadiliko ya kijamii na kupata imani ya wananchi.
Pili, fikra za kimkakati na maamuzi sahihi ni muhimu kwa kiongozi wa mabadiliko. Uwezo wa kiongozi kutambua changamoto, kuona fursa, na kufanya maamuzi madhubuti unachangia sana katika mafanikio ya chama. Katika vyama vya siasa, hii inaweza kujumuisha kufanya mabadiliko ya kimfumo ndani ya chama, kuanzisha sera mpya, au kuimarisha mikakati ya kuwafikia wananchi. Viongozi wanaofanya maamuzi ya kimkakati wanaweza kufufua vyama vilivyodorora na kuvifanya viwe na nguvu katika uwanja wa kisiasa.
Aidha, kuhamasisha na kuwapa watu motisha ni kipengele kingine cha uongozi wa mabadiliko. Viongozi wa vyama vya siasa wanawahamasisha wanachama na wananchi kuamini katika maono yao. Wanawaunganisha watu, kuwapa matumaini, na kuwafanya wajisikie kuwa sehemu ya mafanikio ya chama. Uwezo huu wa kuhamasisha juhudi za pamoja mara nyingi huamua mafanikio ya harakati na kampeni za kisiasa.
Viongozi wa mabadiliko pia huonyesha uvumilivu na uwezo wa kubadilika wanapokutana na changamoto. Vyama vya siasa mara nyingi hukumbana na migogoro ya ndani, shinikizo kutoka kwa upinzani, au mabadiliko ya mitazamo ya umma. Kiongozi shupavu anaweza kuliongoza chama kupitia changamoto hizo, kurekebisha mikakati inapohitajika, na kuhakikisha lengo kuu halipotei. Uwezo huu wa kustahimili changamoto hujenga imani miongoni mwa wafuasi.
Viongozi wa mabadiliko pia hujenga utamaduni wa ushirikiano na usawa ndani ya taasisi. Katika vyama vya siasa, hili linahusisha kuwaunganisha wanachama kutoka makundi tofauti chini ya misingi ya pamoja. Kwa kusikiliza sauti za makundi mbalimbali na kushirikiana nao, viongozi huimarisha mshikamano wa chama, kutatua migogoro, na kuvifanya vyama vionekane vyenye mvuto zaidi kwa wananchi.
Mwisho, viongozi wa mabadiliko huonyesha mfano bora kwa tabia na maadili ya juu. Kwa kuonyesha uwajibikaji, uadilifu, na kujitolea, wanajenga imani na uaminifu kutoka kwa wanachama na umma kwa ujumla. Kiongozi mwenye maadili anapoweka mbele maslahi ya chama na wananchi, anaimarisha taswira ya chama na kuvutia wafuasi zaidi.
Afrika tuna tabia yakukabidhi akili zetu zote kwa kiongozi alafu sisi tunakaa raha mstarehe tukimwachia kila kitu afanye nakufikiria yeye alafu kikiharibika tunamlaumu na akifa tunaanza kusema angekuwepo fulani.Wachumia Tumbo tu wamejaa kwenye vyama.
Kimfumo, wanachama ndiyo wenye madaraka, ila kwa kuwa Waafrika wengi akili hazipo, basi Mwenyekiti anajiamulia vyovyote tu as he wishes.
PamojaUko na upuuzi mwingi kijana watch out .
Kwanini unaingilia mawasiliano ya watu?1. Kwa sasa! Tundu Lissu anatosha ili aje aisuke upya Makao Makuu ya CHADEMA maana imeyumba sana!
2. HQ ya Chama chetu inaendeshwa kimazoea sana; watu wenye fikra pevu hawawezi kudumu na kuonyesha uwezo. Hujuma ni nyingi kuliko kitu chochote. Tatizo linaanzia kwenye Secretariat!
3. Mwenyekiti Mbowe Hana uwezo wa kuwafanya chochote wanamumudu sana kwa sababu ni washikaji zake sana!
4. Uchaguzi huu linda taasisi na sio mtu/watu. Na Mtu anayeweza kututoa hapa tulipo ni Tundu Lissu!
5. Kama wanabisha, nitaachia hadharani mpango kazi mzima wa kuipata TV ya Chama uliokwamishwa na hata email zao zote walizokuwa wanawasiliana na mwekezaji husika ninazo.
6. Tundu Lissu pekee ndiye anayeweza kuturekebishia utendaji wa hapa CHADEMA Makao Makuu.
Remigius Selestine,
Afisa wa IT - Chadema HQ.
Ndio mtu mmoja anaweza kuleta mabadiliko ambayo yanaweza kuwa mazuri au mabaya, wakati Magufuli akiwa rais kila mtu nchi hii alinyooka na alipouliwa tumeona huyu mama wa zanzibar wanavyomchezea kama bibi yao.Bogus!
Kama bado una amini kwamba mtu mmoja, (badala ya mfumo) atakuja kufanya mabadiliko ya taasisi, basi wewe ni mjinga na mpumbavu kwa pamoja.
Acha ujinga. Magu kabadilisha nini?Ndio mtu mmoja anaweza kuleta mabadiliko ambayo yanaweza kuwa mazuri au mabaya, wakati Magufuli akiwa rais kila mtu nchi hii alinyooka na alipouliwa tumeona huyu mama wa zanzibar wanavyomchezea kama bibi yao.
Hizi ni akili za nyani kumtegemea mwenye shamba.Afrika tuna tabia yakukabidhi akili zetu zote kwa kiongozi alafu sisi tunakaa raha mstarehe tukimwachia kila kitu afanye nakufikiria yeye alafu kikiharibika tunamlaumu na akifa tunaanza kusema angekuwepo fulani.
Kwa haya yanayoendelea mabadiliko ni muhimu sana1. Kwa sasa! Tundu Lissu anatosha ili aje aisuke upya Makao Makuu ya CHADEMA maana imeyumba sana!
2. HQ ya Chama chetu inaendeshwa kimazoea sana; watu wenye fikra pevu hawawezi kudumu na kuonyesha uwezo. Hujuma ni nyingi kuliko kitu chochote. Tatizo linaanzia kwenye Secretariat!
3. Mwenyekiti Mbowe Hana uwezo wa kuwafanya chochote wanamumudu sana kwa sababu ni washikaji zake sana!
4. Uchaguzi huu linda taasisi na sio mtu/watu. Na Mtu anayeweza kututoa hapa tulipo ni Tundu Lissu!
5. Kama wanabisha, nitaachia hadharani mpango kazi mzima wa kuipata TV ya Chama uliokwamishwa na hata email zao zote walizokuwa wanawasiliana na mwekezaji husika ninazo.
6. Tundu Lissu pekee ndiye anayeweza kuturekebishia utendaji wa hapa CHADEMA Makao Makuu.
Remigius Selestine,
Afisa wa IT - Chadema HQ.
Mbowe anachosha1. Kwa sasa! Tundu Lissu anatosha ili aje aisuke upya Makao Makuu ya CHADEMA maana imeyumba sana!
2. HQ ya Chama chetu inaendeshwa kimazoea sana; watu wenye fikra pevu hawawezi kudumu na kuonyesha uwezo. Hujuma ni nyingi kuliko kitu chochote. Tatizo linaanzia kwenye Secretariat!
3. Mwenyekiti Mbowe Hana uwezo wa kuwafanya chochote wanamumudu sana kwa sababu ni washikaji zake sana!
4. Uchaguzi huu linda taasisi na sio mtu/watu. Na Mtu anayeweza kututoa hapa tulipo ni Tundu Lissu!
5. Kama wanabisha, nitaachia hadharani mpango kazi mzima wa kuipata TV ya Chama uliokwamishwa na hata email zao zote walizokuwa wanawasiliana na mwekezaji husika ninazo.
6. Tundu Lissu pekee ndiye anayeweza kuturekebishia utendaji wa hapa CHADEMA Makao Makuu.
Remigius Selestine,
Afisa wa IT - Chadema HQ.
Ni noma1. Kwa sasa! Tundu Lissu anatosha ili aje aisuke upya Makao Makuu ya CHADEMA maana imeyumba sana!