CHADEMA ni balaa, Afisa wa makao makuu atoa Siri nzito za Mbowe

Huyu ni pandikizi la Msigwa na Lissu. Ila Mbowe ndo kayataka haya. Halushughulikia nidhamu kwenye chama chake ndo maana wanachama wanashambuliana hadharani bila aibu. Matusi imekuwa sera ya CHADEMA chini ya Mbowe. Sasa hivi wanaanza kumtukana yeye mwenyewe aliyelea upumbavu.
 
Bogus!

Kama bado una amini kwamba mtu mmoja atakuja kufanya mabadiliko ya taasisi badala ya mfumo, basi wewe ni mjinga na mpumbavu kwa pamoja.
Na huo mfumo LAZIMA awepo mtu mmoja wa kuhakikisha huo mfumo unakuwepo.
 
Bogus!

Kama bado una amini kwamba mtu mmoja, (badala ya mfumo) atakuja kufanya mabadiliko ya taasisi, basi wewe ni mjinga na mpumbavu kwa pamoja.
Kwa hiyo, kwa maoni yako, huyo mtu mmoja hana 'impact' yoyote katika kutafuta mabadiliko/marekebisho ya huo "mfumo"?

Kwa maana yako Mwenyekiti wa chama hawezi kuwa na ushawishi juu ya hao wanao ukalia na kuhodhi "mfumo" wako!

Hao watu wa "mfumo" wanao koga roho yako sana, hasa ni akina nani hao; wewe ni mmoja wao?
Naona maneno "Bogus" na "mfumo" ndiyo hasa yaliyo ichota akili yako hadi ukaona ueleze kitu ambacho huna uwezo wa kukifafanua.
 
Yule daktari aliyemzalisha mama yako ukaja duniani ulimrudishia fadhila?

Mnakuja na sababu za kipuuzi sana… sasa mlitaka alambe viatu vya mbowe?

Yes alimsaidia so what? ‘ilikuwa wajibu wake kama mwanadamu sio kiongozi!

Kama kuna mapungufu lazima yafanyiwe kazi chama kikomaee sio hizi sababu za kitoto za kupeana peremende usinisemelee!

Mageuzi ni sasa
20 yrs tupo pale pale! It’s time for a change!

Wachache wananeemeka mkiendelea kuwapaka Wananchi mafuta na mgongo wa chupa.
 

Kwa vile upo behind the keyboard unadhani kila mmoja ana upeo mdogo wa kufanana na wewe siyo!
 
Mtu mmoja anaweza fanya mabadiliko makubwa sana ikiwa yeye ndo CEO na ni center ya maamuzi,kwani hyo mifumo mpaka ibadilishwe pia inahitaji mtu mmoja mwenye maamuzi.

Si kweli. Ingekuwa hivyo, basi JK angewezesha Katiba Mpya(mfumo) kupatikana.
 

Maneno ya chawa.
 
Moja ya fundamental principle ya utumishi, usimponde boss wako anayeondoka kwa boss mpya ukitegemea boss mpya atakupeda.
Najua wakati kama huu sarakasi nyingi sana,chotote kwa maslahi ya yeyote yanaweza semwa.
 
Kwa vile upo behind the keyboard unadhani kila mmoja ana upeo mdogo wa kufanana na wewe siyo!
Ulitaka niwe wapi mkuu 'Kindeena', ndiyo niwe na uhakika wa kuyasema maneno hayo.
 
Bogus!

Kama bado una amini kwamba mtu mmoja, (badala ya mfumo) atakuja kufanya mabadiliko ya taasisi, basi wewe ni mjinga na mpumbavu kwa pamoja.

Sasa mfumo si unaundwa na watu mmoja mmoja au? 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…