CHADEMA ni balaa, Afisa wa makao makuu atoa Siri nzito za Mbowe

Bogus!

Kama bado una amini kwamba mtu mmoja, (badala ya mfumo) atakuja kufanya mabadiliko ya taasisi, basi wewe ni mjinga na mpumbavu kwa pamoja.
Bogus ni yule asiyeelewa kusoma katikati ya mistari....
 
FAM Mwamba tupishe, umefanya kazi kubwa sana kwenye demokrasia yetu na mageuzi ya upinzani Ila kwa sasa tuseme Mwamba tupishe
 
Wanachadema wote wanaopenda mabadiliko ndani ya chama waende na lissu.Kubaki na mbowe mambo ni yaleyale.Nawasihi wanachadema kote nchini tumtafutie lissu kura, kwangu tayari nimeshawaomba wajumbe 5 na wamehaidi kumpa kura.Tusikate tamaa
 
Acha kuleta madesa yakwenye vitabu.Ingekua nnii hivyo nchi nzima ingekua mbali kwasababu hakuna sehemu hakuna kiongozi.Ndo maana mifumo ni muhimu ili kuwezesha kila mtu kuenenda sawasawa ata pale ambapo kiongozi hayupo.
 
Wachumia Tumbo tu wamejaa kwenye vyama.

Kimfumo, wanachama ndiyo wenye madaraka, ila kwa kuwa Waafrika wengi akili hazipo, basi Mwenyekiti anajiamulia vyovyote tu as he wishes.
Afrika tuna tabia yakukabidhi akili zetu zote kwa kiongozi alafu sisi tunakaa raha mstarehe tukimwachia kila kitu afanye nakufikiria yeye alafu kikiharibika tunamlaumu na akifa tunaanza kusema angekuwepo fulani.
 
Siri nzito ziko wapi sasa hapo?
 
Kwanini unaingilia mawasiliano ya watu?
Unafahamu kwamba unavunja sheria inayolinda haki ya faragha ?
 
Bogus!

Kama bado una amini kwamba mtu mmoja, (badala ya mfumo) atakuja kufanya mabadiliko ya taasisi, basi wewe ni mjinga na mpumbavu kwa pamoja.
Ndio mtu mmoja anaweza kuleta mabadiliko ambayo yanaweza kuwa mazuri au mabaya, wakati Magufuli akiwa rais kila mtu nchi hii alinyooka na alipouliwa tumeona huyu mama wa zanzibar wanavyomchezea kama bibi yao.
 
Acha ujinga. Magu kabadilisha nini?

Kwa kuwa alifanya show offs ama?
 
Afrika tuna tabia yakukabidhi akili zetu zote kwa kiongozi alafu sisi tunakaa raha mstarehe tukimwachia kila kitu afanye nakufikiria yeye alafu kikiharibika tunamlaumu na akifa tunaanza kusema angekuwepo fulani.
Hizi ni akili za nyani kumtegemea mwenye shamba.
 
Kwa haya yanayoendelea mabadiliko ni muhimu sana
 
Mbowe anachosha
 
Ni noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…