Chadema ni chama cha wahuni? wananchi kuitwa wajinga kisa wanamfuata Makonda ni kudhihirsha uhuni wao, wasusiwe haraka sana!

Chadema ni chama cha wahuni? wananchi kuitwa wajinga kisa wanamfuata Makonda ni kudhihirsha uhuni wao, wasusiwe haraka sana!

Mjinga akielimishwa ataelimika. Nakuonea huruma mpumbavu.kipindi hikooo
Labda tueleze hapa huyo makonda ametatua changamoto ipi?
Cheap politics.
Tehe! tehe!

Kipindi hikoooo cha nyuma sana, ilikuwa inaniuma sana kutukuanwa, ilifukia kipindi nikakata rufaa nikamsaka mshikaji mmoja hivi aliyenitukana, nikamshikisha adabu ile kinooomaa yaani

Kwangu kujificha kwenye I'd feki sio sababu, ila badae nilikuja kuona nafanya makosa saana kwa sababu, kwanza sipungukiwi chochote kwa tusi la mtu

Kwa hiyo hata wewe nakushaeishi uongeze zaidi kutukana tena ulete na matusi mapya, la upumbavu ni la zamani sana mkuu
 
Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga!

Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka, lakini akikaa kwa kufikiri vema, hawezi tena kurudia kuwaita hivi wananchi ambao ndio wapiga kura wao na ndio ambao wanakutana huko majukwaani kuwaomba kura

Chadema mara nyingi kikiishiwahoja huanza kuwashambulia wananchi na ama viongozi mbalimbali wa vyama vingine kwa matusi na kuwaambia ni wajinga

Chadema wakumbuke kwamba, wao hawaishi kwenye kisiwa, wanaishi kwenye nchi hii hii ambapo wanadieiki kuwaita wananchi wajinga kwa sababu tu wamekosa mbinu ya kuwashawishi ili kuwaunga mkono

Kwa namna mwenezi Makonda anavyokusanya maelfu kwa maelfu ya wananchi, ni dhahili kwamba, inawatesa sana Chadema na kuwaumiza sana kwamba kwa nini isiwe wao

Wakumbuke hivi, wananchi ambao wanakusanyika kwenye mikutano ya Makonda, ambao wao Chadema wanawaita wajinga, ndio hao ambao ni wapiga kura wao, kuwatukana na kuwaita wajinga kwenye press zao na mitandaoni ni kukosa maono ya wapi chama kinaelekea

Kibinafis sikubaliani nakuitwa mjinga utadhani wao Chadema walinisomesha na àma kugharamia chochote kwenye maisha yangu, haiwezekani wananchi kuitwa wajinga na chama ambacho nacho kinawaomba kura hao hao ili waende Ikulu

Huu ni uwendawazimu, ifike mahali sasa wananchi waanze kugomea mikutano yoyote ya Chadema kwa kuwadhalilisha kwa maneno ya kijinga na yasiyo na ukweli hata kidogo

Chadema ndio hao hao waliowahi kulalamikiwa kuwabagua watu wa kanda ya ziwa na kuwaita kwa majina ya kipumbavu wakati huo huo wanaenda kuwashawishi tena waandamanie chama chao, huu ni ujinga mkubwa sana!

Chadema ni chama cha wahuni? Mbona hakiwaheshimu wananchi wa nchi hii?
Naona mwenezi anapokea hadi kero za ndoa.
#kaziiendelee
 
Ukiwa mjinga tutakuita mjinga. Ona ulivyo mjinga, unawawka wanawake kwenye grade ya chini eti Sister...wakati huo unatawaliwa na Samia amwanamke, ndiyo maana wewe ni mjinga kma unawadharau wanawake wakati unatawaliwa nao
Ulichoandika ukirudia kukisoma utajidharau sana mkuu

Hata hivyoo, kwako wewe kuitwa sister ni kudhalilishwa?
 
Nchi yetu inawajinga wengi werevu wachache na kinachosikitisha nikuwa wasomi wengi niwajinga kupindukia!! nahuo ndiyo ukweli ukipenda ndohivyo usipopenda ndohivyooo...
Mbaya zaidi viongozi wajinga wanashangiliwa na wajinga wenzao walio wengi...
Isivyo bahati wajinga wengi hawajijui kuwa niwajinga kiwango chajuu na ukiwasaidia kuwaambia kuwa niwajinga wanakasirika wanakuteka na wanaweza kukuuwa... wengine wamezuiwa nchi zawatu wasiingize upuuzi wao huo😞
 
Wale sio wajinga ni wapumbavu kabisa tena watakua na wendawazimu kwenye vichwa vyao kwa matukio aliyo husika nayo yule mpuuzi alipaswa kupuuzwa kabisa na Kila mwenye akili timamu
 
Wale sio wajinga ni wapumbavu kabisa tena watakua na wendawazimu kwenye vichwa vyao kwa matukio aliyo husika nayo yule mpuuzi alipaswa kupuuzwa kabisa na Kila mwenye akili timamu
Dhambi iliyowazi ni rahisi kuihukumu, wewe unayajua ambayo wengine na ama chadema na ama wana ccm walio/wanaoyafanya sirini??

Je wewe dhambi zako ni zipi??

Hata hivyo, unashindwa nini kumpeleka makonda mahakamani,?
 
Kuitwa "Useful Idiot" unatakiwa ujitafakari. Maisha magumu sana, Mlo mmoja, hakuna Umeme,Watu wanapora Serikalini,utitiri wa makodi matozo na ushuru, tokea CCM wachukue Uhuru mpaka leo hali inazidi kuwa ngumu tu.

Halafu bado wanaendelea na Porojo zao na wewe unajaa nyavuni 😝
 
Dhambi iliyowazi ni rahisi kuihukumu, wewe unayajua ambayo wengine na ama chadema na ama wana ccm walio/wanaoyafanya sirini??

Je wewe dhambi zako ni zipi??

Hata hivyo, unashindwa nini kumpeleka makonda mahakamani

Ngedere kadri anavyozidi kupanda juu ya mti ndivyo korodani zake zinavyo zidi kuonekana, mtu akishakua kiongozi wa serikali lazima anyooshewe vidole kwa Kila baya atakalo fanya, haijalishi atalificha vipi lakini watu watajua tuu,

Mimi haijalishi nitafanya nini hakuna atakae jali kunihusu kwa sababu sio kiongozi wa serikali Wala sio maarufu, swala la kumpeleka mahakamani Usiandike kama vile umekatwa kichwa kwa mahakama gani sasa 🤔🤔 hizihizi za ccm au kuna zingine 🤔🤔
 
Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga!
Mimi sio Chadema, lakini signature yangu hapa chini inakuhusu.

Katika utawala wa kidemokrasia, ni rahisi sana kwa wajinga kujikusanya wakatumia nguvu yao ya wajinga wengi kukuchagulia viongozi, ambao nao mara nyingi wanaweza kuwa wajinga wenzao.

Na nimesema wazi, kwamba 80% ya wapiga kura wa Tanzania ni wajinga ndio maana tunaishia kuwa na viongozi wajinga. Na hii haibagui CCM au Chadema.
 
Akili zinapogota kwa kuwaona wananchi ni wajinga kisa hawakufuati wewe nao ni ujinga tupu

Licha kwamba CCM imetunyima mambo mengi sana ya msingi katika taifa letu hili, lakini haimanishi mtu mmoja awaite wananchi wajinga kwa sababu tu yeye kakosa mbinu za kuwashawishi

Kumbuka, kuwaita wananchi wajinga ni kuwabagua, na kile wewe unakiamini
 
Back
Top Bottom