Chadema ni chama cha wahuni? wananchi kuitwa wajinga kisa wanamfuata Makonda ni kudhihirsha uhuni wao, wasusiwe haraka sana!

Chadema ni chama cha wahuni? wananchi kuitwa wajinga kisa wanamfuata Makonda ni kudhihirsha uhuni wao, wasusiwe haraka sana!

Mliandika hivi hivi wakati lema anasema kuhusu bodaboda juzi naibu speaker alisemaje na wewe ukasemaje?
Kifupi ni kwamba MAKONDA ANAFUATWA NA WAJINGA NA WAPUUZI KAMA YEYE.
Mtu mwenye akili timamu hawezi hata kumsikiliza acha kwenda kwenye mkutano wa BASHITE
😎

Halafu nianze kwenda kwenye mikutano ya nani mkuu
 
Siyo kazi yangu kukushauri mkuu
Niende kwa wanaoshabikia uchawi wa kusabibisha ajali...! Uchawi ndio huo ujinga unaosababisha umasikini mkubwa, halafu chama hiko hiko chenye wasomi ndio kinachonadi uchawi na kuusherehekea??

Nani mjinga hapo mkuu
 
Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga!

Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka, lakini akikaa kwa kufikiri vema, hawezi tena kurudia kuwaita hivi wananchi ambao ndio wapiga kura wao na ndio ambao wanakutana huko majukwaani kuwaomba kura

Chadema mara nyingi kikiishiwahoja huanza kuwashambulia wananchi na ama viongozi mbalimbali wa vyama vingine kwa matusi na kuwaambia ni wajinga

Chadema wakumbuke kwamba, wao hawaishi kwenye kisiwa, wanaishi kwenye nchi hii hii ambapo wanadieiki kuwaita wananchi wajinga kwa sababu tu wamekosa mbinu ya kuwashawishi ili kuwaunga mkono

Kwa namna mwenezi Makonda anavyokusanya maelfu kwa maelfu ya wananchi, ni dhahili kwamba, inawatesa sana Chadema na kuwaumiza sana kwamba kwa nini isiwe wao

Wakumbuke hivi, wananchi ambao wanakusanyika kwenye mikutano ya Makonda, ambao wao Chadema wanawaita wajinga, ndio hao ambao ni wapiga kura wao, kuwatukana na kuwaita wajinga kwenye press zao na mitandaoni ni kukosa maono ya wapi chama kinaelekea

Kibinafis sikubaliani nakuitwa mjinga utadhani wao Chadema walinisomesha na àma kugharamia chochote kwenye maisha yangu, haiwezekani wananchi kuitwa wajinga na chama ambacho nacho kinawaomba kura hao hao ili waende Ikulu

Huu ni uwendawazimu, ifike mahali sasa wananchi waanze kugomea mikutano yoyote ya Chadema kwa kuwadhalilisha kwa maneno ya kijinga na yasiyo na ukweli hata kidogo

Chadema ndio hao hao waliowahi kulalamikiwa kuwabagua watu wa kanda ya ziwa na kuwaita kwa majina ya kipumbavu wakati huo huo wanaenda kuwashawishi tena waandamanie chama chao, huu ni ujinga mkubwa sana!

Chadema ni chama cha wahuni? Mbona hakiwaheshimu wananchi wa nchi hii?
Tabu ya chadema huwa wabajiona wao ndio wapo sahihi saa zote na ukipinga mawazo yao basi unatukanwa na kwamba huna akili, hiki chama kimejaa wahuni naunga mkono hoja
 
Kwahiyo wanaowasapoti upinzani wao ni waerevu?
Hakuna cha werevu wala nini hapo mkuu

Chadema wanapigia makofi uchawi wa watu wa kusini kwa kusababisha ajali mbalimbali

Ukiwauliza, uchawi ni kuelimika au ujinga, watakwambia ni ujinga, iweje tena wafanye sherehe kufurahia ulozi ili hali ni ujinga?
 
Niende kwa wanaoshabikia uchawi wa kusabibisha ajali...! Uchawi ndio huo ujinga unaosababisha umasikini mkubwa, halafu chama hiko hiko chenye wasomi ndio kinachonadi uchawi na kuusherehekea??

Nani mjinga hapo mkuu
Mtu aliyetengeza tatizo Hawezi kuwa na suluhu yake hata mara moja
 
Wanifuate mie kwa nini? Mie sio mwanasiasa wa kutaka kufuatwa, mie naongea ukweli wa mambo tu. Waulize watanzania wanaopiga kura, kwa nini mnamchagua huyu kuwa kiongozi badala ya huyu, watakuambia kwa sababu huyu ni wa chama changu

Sasa mtu kama wewe, CCM wanaweza kumweka mgombea ambae huenda hata unamfahamu ana tatizo la akili, na ukajua kabisa yupo mgombea wa chama kingine mwenye akili, bado utachagua mgombea mwenye tatizo la akili kwa sababu tu ni wa chama chako CCM, sivyo?

Sasa huo kama sio ujinga ni nini? Ndio maana nimekuita wewe na Watanzania wengine wanaopiga kura katika mtazamo huo kuwa ni wajinga. Mnahitaji kuelimishwa. Sasa sijawahi kuona mjinga anaekubali kuitwa mjinga. Kwa hiyo reaction yako ni typical ya mtu mjinga.
Kwani mkuu wanaochagua chama badala ya kiongozi Mzuri ipo kwa wanaccm tu?
 
Back
Top Bottom