Chadema ni chama cha wahuni? wananchi kuitwa wajinga kisa wanamfuata Makonda ni kudhihirsha uhuni wao, wasusiwe haraka sana!

Akili zinapogota kwa kuwaona wananchi ni wajinga kisa hawakufuati wewe nao ni ujinga tupu

Licha kwamba CCM imetunyima mambo mengi sana ya msingi katika taifa letu hili, lakini haimanishi mtu mmoja awaite wananchi wajinga kwa sababu tu yeye kakosa mbinu za kuwashawishi

Kumbuka, kuwaita wananchi wajinga ni kuwabagua, na kile wewe unakiamini
Wanifuate mie kwa nini? Mie sio mwanasiasa wa kutaka kufuatwa, mie naongea ukweli wa mambo tu. Waulize watanzania wanaopiga kura, kwa nini mnamchagua huyu kuwa kiongozi badala ya huyu, watakuambia kwa sababu huyu ni wa chama changu

Sasa mtu kama wewe, CCM wanaweza kumweka mgombea ambae huenda hata unamfahamu ana tatizo la akili, na ukajua kabisa yupo mgombea wa chama kingine mwenye akili, bado utachagua mgombea mwenye tatizo la akili kwa sababu tu ni wa chama chako CCM, sivyo?

Sasa huo kama sio ujinga ni nini? Ndio maana nimekuita wewe na Watanzania wengine wanaopiga kura katika mtazamo huo kuwa ni wajinga. Mnahitaji kuelimishwa. Sasa sijawahi kuona mjinga anaekubali kuitwa mjinga. Kwa hiyo reaction yako ni typical ya mtu mjinga.
 
Kwani ccm wanaopata ruzuku bilioni karibu 50 wana sera ipi iliyolisaidia taifa?
Mie nimejua ya CHADEMA mabilioni waliyopokea. Hayo ya billioni za CCM waulize mwenyewe mkuu.

Taifa linasaidiwa vipi na sera za matusi ya CHADEMA?

Matusi ni Sera?

Hatahivyo bora wewe umeuliza. Wakuu wako huwa hawaulizi, wao ni matusi tu.
 
Kitendo kutegemea tatizo kubwa litatue tatizo dogo ni kinaitwaje? Kitendo cha kufanya jambo lile lile kwa namna ile ile, na kwenye hali ile ile huku ukitegemea matokeo tofauti kinaitwaje?
... Halafu ukapata na hadhira ya kukushangilia 😁😁 hapo Kuna mawili , aidha anayeshangiliwa anashangiliwa na wajinga wenzake au Mwerevu anachrzea shere Wajinga!
 
Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga!

Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka, lakini akikaa kwa kufikiri vema, hawezi tena kurudia kuwaita hivi wananchi ambao ndio wapiga kura wao na ndio ambao wanakutana huko majukwaani kuwaomba kura

Chadema mara nyingi kikiishiwahoja huanza kuwashambulia wananchi na ama viongozi mbalimbali wa vyama vingine kwa matusi na kuwaambia ni wajinga

Chadema wakumbuke kwamba, wao hawaishi kwenye kisiwa, wanaishi kwenye nchi hii hii ambapo wanadieiki kuwaita wananchi wajinga kwa sababu tu wamekosa mbinu ya kuwashawishi ili kuwaunga mkono

Kwa namna mwenezi Makonda anavyokusanya maelfu kwa maelfu ya wananchi, ni dhahili kwamba, inawatesa sana Chadema na kuwaumiza sana kwamba kwa nini isiwe wao

Wakumbuke hivi, wananchi ambao wanakusanyika kwenye mikutano ya Makonda, ambao wao Chadema wanawaita wajinga, ndio hao ambao ni wapiga kura wao, kuwatukana na kuwaita wajinga kwenye press zao na mitandaoni ni kukosa maono ya wapi chama kinaelekea

Kibinafis sikubaliani nakuitwa mjinga utadhani wao Chadema walinisomesha na àma kugharamia chochote kwenye maisha yangu, haiwezekani wananchi kuitwa wajinga na chama ambacho nacho kinawaomba kura hao hao ili waende Ikulu

Huu ni uwendawazimu, ifike mahali sasa wananchi waanze kugomea mikutano yoyote ya Chadema kwa kuwadhalilisha kwa maneno ya kijinga na yasiyo na ukweli hata kidogo

Chadema ndio hao hao waliowahi kulalamikiwa kuwabagua watu wa kanda ya ziwa na kuwaita kwa majina ya kipumbavu wakati huo huo wanaenda kuwashawishi tena waandamanie chama chao, huu ni ujinga mkubwa sana!

Chadema ni chama cha wahuni? Mbona hakiwaheshimu wananchi wa nchi hii?
Wahuni ni wale miaka zaidi ya sitin wanahadaa wananchi na hao wanaomfata makonda ni wapumbavu na hawajielewi huyo makonda amemsaidia nan mbali na maigizo.
 
Huwa wanadai CHADEMA inapendwa na wasomi na matajiri. Ni sahihi kabisa. Ila ikifika muda wa kupiga kura wasilaumu kuibiwa kura zao kwa sababu CCM itazoa kura zote za watu wanaotukanwa na CHADEMA
 
Labda kura za mabox ccm itazoa
 
Taifa linasaidiwa vipi na sera za matusi ya CHADEMA?
Matusi sio sera. Sera ni kuuza rasilimali za nchi sio. Hizo sera zimelisaidia nini taifa hili kwa miaka 60+ ya uhuru?
Na hao Chadema walipokutukana, hujui mahakama ziko wapi?
Katika ccm asiyetukana labda ya Samia tu, sababu ya jinsia.
 
Sikubaliani na uuzwaji wa Rasilimali ya aina yeyote ile, including watu kuenda Uarabuni kufua nguo.

Tikirudi kwa Ndugu zangu CCM yapo mengi ya Kujivunia na ya kukemewa.

Hatahivyo haiwapatii uhalali wa CHADEMA kuuza matusi badala ya Sera.

....mahakama yangu ni hapa hapa. Wakitukana nawarudishia kwa nguvu hiyo hiyo waliyoileta. Na ID yangu hii hii.
 
Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga!

Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka, lakini akikaa kwa kufikiri vema, hawezi tena kurudia kuwaita hivi wananchi ambao ndio wapiga kura wao na ndio ambao wanakutana huko majukwaani kuwaomba kura

Chadema mara nyingi kikiishiwahoja huanza kuwashambulia wananchi na ama viongozi mbalimbali wa vyama vingine kwa matusi na kuwaambia ni wajinga

Chadema wakumbuke kwamba, wao hawaishi kwenye kisiwa, wanaishi kwenye nchi hii hii ambapo wanadieiki kuwaita wananchi wajinga kwa sababu tu wamekosa mbinu ya kuwashawishi ili kuwaunga mkono

Kwa namna mwenezi Makonda anavyokusanya maelfu kwa maelfu ya wananchi, ni dhahili kwamba, inawatesa sana Chadema na kuwaumiza sana kwamba kwa nini isiwe wao

Wakumbuke hivi, wananchi ambao wanakusanyika kwenye mikutano ya Makonda, ambao wao Chadema wanawaita wajinga, ndio hao ambao ni wapiga kura wao, kuwatukana na kuwaita wajinga kwenye press zao na mitandaoni ni kukosa maono ya wapi chama kinaelekea

Kibinafis sikubaliani nakuitwa mjinga utadhani wao Chadema walinisomesha na àma kugharamia chochote kwenye maisha yangu, haiwezekani wananchi kuitwa wajinga na chama ambacho nacho kinawaomba kura hao hao ili waende Ikulu

Huu ni uwendawazimu, ifike mahali sasa wananchi waanze kugomea mikutano yoyote ya Chadema kwa kuwadhalilisha kwa maneno ya kijinga na yasiyo na ukweli hata kidogo

Chadema ndio hao hao waliowahi kulalamikiwa kuwabagua watu wa kanda ya ziwa na kuwaita kwa majina ya kipumbavu wakati huo huo wanaenda kuwashawishi tena waandamanie chama chao, huu ni ujinga mkubwa sana!

Chadema ni chama cha wahuni? Mbona hakiwaheshimu wananchi wa nchi hii?

View: https://www.youtube.com/watch?v=vm15PZ5uvMA
 
Makonda watu wanasombwa na malori nimeshuhudia kwa manyara na singida,sijui huu uzwazwa utakwisha lini
 
Wewe ndio kiongozi wa wajinga wa nchi hii.
 
Kuitwa mjinga ni matendo yako mwenyewe
 
Mliandika hivi hivi wakati lema anasema kuhusu bodaboda juzi naibu speaker alisemaje na wewe ukasemaje?
Kifupi ni kwamba MAKONDA ANAFUATWA NA WAJINGA NA WAPUUZI KAMA YEYE.
Mtu mwenye akili timamu hawezi hata kumsikiliza acha kwenda kwenye mkutano wa BASHITE
 
Swali la kwanza kwako:
Umetumia kipimo gani kiasi hata ku - conclude kuwa wote wasiokubaliana na yafanywayo na Paul Makonda na CCM yae ni CHADEMA👇👇👇?
Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema,
wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga!
Hivi mtu anayedanganywa (kuambiwa uongo) na kuukubali na kuupokea huo uongo kwa jina anaitwa nani?

Bila shaka ni mjinga. Kama ndiyo hivyo, then tatizo lako liko wapi sasa?

Mjinga ni mtu asiyejua. Akishaelimishwa akajua au kutambua lililo kweli na sahihi kwake, huyo anakuwa sio mjinga tena..

Kwa hiyo, basically hao wananchi ni wajinga kwa sababu wanaambiwa uongo na Makonda nao wanaupokea na kuubali pasipo kujua kuwa huo ni uongo na hadaa tu za mwana propaganda huyo..

Kama na wewe unamwamini mwana CCM huyu, bila shaka hata wewe siko kosa kuitwa mjinga. Na ujinga ni hali tu isiyo njema na sio tusi hata kidogo. Hii Hali ikipata tiba, inaponyeka..!
Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka, lakini akikaa kwa kufikiri vema, hawezi tena kurudia kuwaita hivi wananchi ambao ndio wapiga kura wao na ndio ambao wanakutana huko majukwaani kuwaomba kura
Ni wajinga hao.

Usipowaambia ukweli kuwa nyie ni wajinga na mnadanganywa na wanatakiwa kuutafuta ukweli wa chanzo cha matatizo yao pamoja duluhu ya kweli watapaje kupona?

Nsanzagee acha unafiki. Kuwa mkweli wa nafsi yako..
Chadema mara nyingi kikiishiwahoja huanza kuwashambulia wananchi na ama viongozi mbalimbali wa vyama vingine kwa matusi na kuwaambia ni wajinga
Wewe Nsanzagee na CCM Kwa ujumla ndio msio na hoja hapa na kamwe si CHADEMA..

CCM na Paul Makonda ndio walioishiwa hoja ndugu Nsanzagee na badala yake wanautumia huo ujinga wa wananchi wa kutojua ili kuwahadaa kwa uongo kwa ili waendelee kushika madaraka ya serikali. Bila shaka uongo wao umeshafika mwisho na ishara zote ziko wazi..!
Chadema wakumbuke kwamba, wao hawaishi kwenye kisiwa, wanaishi kwenye nchi hii hii ambapo wanadieiki kuwaita wananchi wajinga kwa sababu tu wamekosa mbinu ya kuwashawishi ili kuwaunga mkono
Hujui usemalo wewe...
Huna ufahamu wa kutosha...
Hata wewe uko kwenye kundi la wajinga haohao... Unahitaji kuelimishwa tu na ujinga utakutoka...

Mbinu sahihi ya kuwashawishi wananchi ili wapate mabadiliko wayatakayo ni kuwaambia ukweli kuwa chanzo cha matatizo yao kuwa ni CCM na mfumo mbovu wa utawala walioujenga na wanaoendelea kuupalilia kwa gharama kubwa ya damu za watu Kwa miaka zaidi ya 64 sasa tangu uhuru..

CCM ndio waongo na hawako tayari kuusema ukweli huu kwa wananchi hawa..!
Kwa namna mwenezi Makonda anavyokusanya maelfu kwa maelfu ya wananchi, ni dhahili kwamba, inawatesa sana Chadema na kuwaumiza sana kwamba kwa nini isiwe wao

Wakumbuke hivi, wananchi ambao wanakusanyika kwenye mikutano ya Makonda, ambao wao Chadema wanawaita wajinga, ndio hao ambao ni wapiga kura wao, kuwatukana na kuwaita wajinga kwenye press zao na mitandaoni ni kukosa maono ya wapi chama kinaelekea
Kukusanya watu sio hoja...

Hoja ni unawakusanya ili iweje?

CCM mnatumia ujinga wao kuwabeba kwenye malori watu hawa na kuwakusanya ili muwadanganye kwa hadaa za Kila namna. Na mkiondoka, shida na matatizo yako palepale..

Mfano kote alikopita mwenezi wako (Sijui anaeneza nini) ameondoa tatizo la mgawo wa umeme? Ameleta maji? Ameboresha huduma za afya?

Hivi huyu mwenezi wako anaweza kueleza ni kwanini Tanzania hata baada ya miaka 64 ya uhuru bado haina umeme wa uhakika?

Wananchi wanahitaji umeme na sio poroja na hadaa za miaka takribani 35 tangu tatizo hili lianze kujitokeza.

Sasa, Je Huyo Makonda anayo majibu? Je, naye si ni sehemu ya mfumo uliosababisha matatizo haya?
Kibinafis sikubaliani nakuitwa mjinga utadhani wao Chadema walinisomesha na àma kugharamia chochote kwenye maisha yangu, haiwezekani wananchi kuitwa wajinga na chama ambacho nacho kinawaomba kura hao hao ili waende Ikulu
Hoja sio uwe unakubaliana au hukubaliani. Kama wewe ni mjinga basi ni mjinga tu...

Na mjinga utamjua namna anavyotetea vitu asivyovijua na ambaye hajui chanzo cha matatizo ktk jamii anayoishi akidhani ni kudra za Mweyezi Mungu..!!

Ndugu Nsanzagee kwenda shule ukasomeshwa na ukajua kusoma na kuandika sio kuondoa ujinga...

Unaweza kuwa umesoma lakini hujui chanzo cha umasikini wako kuwa ni CCM na sera zake mbovu ambao ndizo zimetekelezwa kwa takribani miaka 64 tangu uhuru..

Ukiwa hivi, wewe ni mjinga 100% na ndivyo ulivyo wewe Nsanzagee...!
Huu ni uwendawazimu, ifike mahali sasa wananchi waanze kugomea mikutano yoyote ya Chadema kwa kuwadhalilisha kwa maneno ya kijinga na yasiyo na ukweli hata kidogo
Hili tamanio lako haliwezekaniki...!

Wajinga ni baadhi tu ukiwemo wewe...

Wengi wameshajitambua na wanaujua ukweli.

Wanamjua adui yao ni CCM na sio kitu kingine...

Matatizo yote ya nchi yetu kuanzia hili kubwa kabisa la ukosefu wa umeme, huduma bofu za maji, huduma duni za afya, mfumo wa hofu na duni wa utoaji elimu, ufisadi na wizi wa mali ya umma, wizi wa kura, ukatili na uonevu, ukosefu wa haki nk nk ni ya kutengenezwa na CCM wenyewe..

Wananchi wanajua fika kuwa, mfumo wa utawala wa CCM uliotengeneza matatizo haya, kamwe mfumo huohuo hauwezi kuyatatua na kuyaondoa...

Paul Makonda ni sehemu ya mfumo huo. Hawezi kufanya lolote zaidi ya hadaa na kelele tu anazopiga..!!
Chadema ndio hao hao waliowahi kulalamikiwa kuwabagua watu wa kanda ya ziwa na kuwaita kwa majina ya kipumbavu wakati huo huo wanaenda kuwashawishi tena waandamanie chama chao, huu ni ujinga mkubwa sana!
Hapa umeishiwa kabisa na sasa umeamua kupiga porojo na propaganda sawa na mwenezi wako..!!

Karibu kwenye maandamano ya kudai uhuru na haki Mwanza keshokutwa. Au unafikiri Mwanza iko Kanda ya kusini?

Iko Kanda ya ziwa. Ndo utapata majibu ya hoja yako hiyo ☝️☝️☝️ dhaifu kama jani la mpunga..!
Chadema ni chama cha wahuni? Mbona hakiwaheshimu wananchi wa nchi hii?
Muhuni ni wewe na bila shaka CCM wote na Paul Makonda...

Mjinga ni wewe usiyejua kuwa umedanganywa na CCM kwa takribani miaka 64 na bado unaendelea kudanganywa na mwisho umeanza kujidanganya mwenyewe ndani ya nafsi yako!!

Pole sana ndugu Nsanzagee
 
Back
Top Bottom