Tehe! tehe!Mjinga akielimishwa ataelimika. Nakuonea huruma mpumbavu.kipindi hikooo
Labda tueleze hapa huyo makonda ametatua changamoto ipi?
Cheap politics.
Naona mwenezi anapokea hadi kero za ndoa.Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga!
Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka, lakini akikaa kwa kufikiri vema, hawezi tena kurudia kuwaita hivi wananchi ambao ndio wapiga kura wao na ndio ambao wanakutana huko majukwaani kuwaomba kura
Chadema mara nyingi kikiishiwahoja huanza kuwashambulia wananchi na ama viongozi mbalimbali wa vyama vingine kwa matusi na kuwaambia ni wajinga
Chadema wakumbuke kwamba, wao hawaishi kwenye kisiwa, wanaishi kwenye nchi hii hii ambapo wanadieiki kuwaita wananchi wajinga kwa sababu tu wamekosa mbinu ya kuwashawishi ili kuwaunga mkono
Kwa namna mwenezi Makonda anavyokusanya maelfu kwa maelfu ya wananchi, ni dhahili kwamba, inawatesa sana Chadema na kuwaumiza sana kwamba kwa nini isiwe wao
Wakumbuke hivi, wananchi ambao wanakusanyika kwenye mikutano ya Makonda, ambao wao Chadema wanawaita wajinga, ndio hao ambao ni wapiga kura wao, kuwatukana na kuwaita wajinga kwenye press zao na mitandaoni ni kukosa maono ya wapi chama kinaelekea
Kibinafis sikubaliani nakuitwa mjinga utadhani wao Chadema walinisomesha na Γ ma kugharamia chochote kwenye maisha yangu, haiwezekani wananchi kuitwa wajinga na chama ambacho nacho kinawaomba kura hao hao ili waende Ikulu
Huu ni uwendawazimu, ifike mahali sasa wananchi waanze kugomea mikutano yoyote ya Chadema kwa kuwadhalilisha kwa maneno ya kijinga na yasiyo na ukweli hata kidogo
Chadema ndio hao hao waliowahi kulalamikiwa kuwabagua watu wa kanda ya ziwa na kuwaita kwa majina ya kipumbavu wakati huo huo wanaenda kuwashawishi tena waandamanie chama chao, huu ni ujinga mkubwa sana!
Chadema ni chama cha wahuni? Mbona hakiwaheshimu wananchi wa nchi hii?
Ulichoandika ukirudia kukisoma utajidharau sana mkuuUkiwa mjinga tutakuita mjinga. Ona ulivyo mjinga, unawawka wanawake kwenye grade ya chini eti Sister...wakati huo unatawaliwa na Samia amwanamke, ndiyo maana wewe ni mjinga kma unawadharau wanawake wakati unatawaliwa nao
Dhambi iliyowazi ni rahisi kuihukumu, wewe unayajua ambayo wengine na ama chadema na ama wana ccm walio/wanaoyafanya sirini??Wale sio wajinga ni wapumbavu kabisa tena watakua na wendawazimu kwenye vichwa vyao kwa matukio aliyo husika nayo yule mpuuzi alipaswa kupuuzwa kabisa na Kila mwenye akili timamu
Mimi ni Mjinga katika mambo mengi tu, ndomana Bado natafuta Maarifa.Wewe ni mjinga?
Ukikataa unaelekea upumbavu??
Hakuna msamiati mpya mbadala wa neno mpumbavu,hivyo nitaendelea kukuita mpumbavu. Au kwa lugha yangu ya asili ni 'isiwula'.Mbona matusi ni yaliyopitwa wakati mkuu, huna jipya
Dhambi iliyowazi ni rahisi kuihukumu, wewe unayajua ambayo wengine na ama chadema na ama wana ccm walio/wanaoyafanya sirini??
Je wewe dhambi zako ni zipi??
Hata hivyo, unashindwa nini kumpeleka makonda mahakamani
Mimi sio Chadema, lakini signature yangu hapa chini inakuhusu.Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga!
Akili zinapogota kwa kuwaona wananchi ni wajinga kisa hawakufuati wewe nao ni ujinga tupuMimi sio Chadema, lakini signature yangu hapa chini inakuhusu.
Katika utawala wa kidemokrasia, ni rahisi sana kwa wajinga kujikusanya wakatumia nguvu yao ya wajinga wengi kukuchagulia viongozi, ambao nao mara nyingi wanaweza kuwa wajinga wenzao.
Na nimesema wazi, kwamba 80% ya wapiga kura wa Tanzania ni wajinga ndio maana tunaishia kuwa na viongozi wajinga. Na hii haibagui CCM au Chadema.