😎Mliandika hivi hivi wakati lema anasema kuhusu bodaboda juzi naibu speaker alisemaje na wewe ukasemaje?
Kifupi ni kwamba MAKONDA ANAFUATWA NA WAJINGA NA WAPUUZI KAMA YEYE.
Mtu mwenye akili timamu hawezi hata kumsikiliza acha kwenda kwenye mkutano wa BASHITE
Siyo kazi yangu kukushauri mkuu😎
Halafu nianze kwenda kwenye mikutano ya nani mkuu
Kwahiyo wanaowasapoti upinzani wao ni waerevu?Ni wachache sana wenye fikra pevu ,, kiuhalisia wananchi wanaojitambua hawawez kua wafuasi wa CCM,, kwa upande wangu sidhan kama chadema wanamakosa kuwaita wajinga,,
Niende kwa wanaoshabikia uchawi wa kusabibisha ajali...! Uchawi ndio huo ujinga unaosababisha umasikini mkubwa, halafu chama hiko hiko chenye wasomi ndio kinachonadi uchawi na kuusherehekea??Siyo kazi yangu kukushauri mkuu
Tabu ya chadema huwa wabajiona wao ndio wapo sahihi saa zote na ukipinga mawazo yao basi unatukanwa na kwamba huna akili, hiki chama kimejaa wahuni naunga mkono hojaNinasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga!
Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka, lakini akikaa kwa kufikiri vema, hawezi tena kurudia kuwaita hivi wananchi ambao ndio wapiga kura wao na ndio ambao wanakutana huko majukwaani kuwaomba kura
Chadema mara nyingi kikiishiwahoja huanza kuwashambulia wananchi na ama viongozi mbalimbali wa vyama vingine kwa matusi na kuwaambia ni wajinga
Chadema wakumbuke kwamba, wao hawaishi kwenye kisiwa, wanaishi kwenye nchi hii hii ambapo wanadieiki kuwaita wananchi wajinga kwa sababu tu wamekosa mbinu ya kuwashawishi ili kuwaunga mkono
Kwa namna mwenezi Makonda anavyokusanya maelfu kwa maelfu ya wananchi, ni dhahili kwamba, inawatesa sana Chadema na kuwaumiza sana kwamba kwa nini isiwe wao
Wakumbuke hivi, wananchi ambao wanakusanyika kwenye mikutano ya Makonda, ambao wao Chadema wanawaita wajinga, ndio hao ambao ni wapiga kura wao, kuwatukana na kuwaita wajinga kwenye press zao na mitandaoni ni kukosa maono ya wapi chama kinaelekea
Kibinafis sikubaliani nakuitwa mjinga utadhani wao Chadema walinisomesha na àma kugharamia chochote kwenye maisha yangu, haiwezekani wananchi kuitwa wajinga na chama ambacho nacho kinawaomba kura hao hao ili waende Ikulu
Huu ni uwendawazimu, ifike mahali sasa wananchi waanze kugomea mikutano yoyote ya Chadema kwa kuwadhalilisha kwa maneno ya kijinga na yasiyo na ukweli hata kidogo
Chadema ndio hao hao waliowahi kulalamikiwa kuwabagua watu wa kanda ya ziwa na kuwaita kwa majina ya kipumbavu wakati huo huo wanaenda kuwashawishi tena waandamanie chama chao, huu ni ujinga mkubwa sana!
Chadema ni chama cha wahuni? Mbona hakiwaheshimu wananchi wa nchi hii?
Hakuna cha werevu wala nini hapo mkuuKwahiyo wanaowasapoti upinzani wao ni waerevu?
Mtu aliyetengeza tatizo Hawezi kuwa na suluhu yake hata mara mojaNiende kwa wanaoshabikia uchawi wa kusabibisha ajali...! Uchawi ndio huo ujinga unaosababisha umasikini mkubwa, halafu chama hiko hiko chenye wasomi ndio kinachonadi uchawi na kuusherehekea??
Nani mjinga hapo mkuu
Kwani mkuu wanaochagua chama badala ya kiongozi Mzuri ipo kwa wanaccm tu?Wanifuate mie kwa nini? Mie sio mwanasiasa wa kutaka kufuatwa, mie naongea ukweli wa mambo tu. Waulize watanzania wanaopiga kura, kwa nini mnamchagua huyu kuwa kiongozi badala ya huyu, watakuambia kwa sababu huyu ni wa chama changu
Sasa mtu kama wewe, CCM wanaweza kumweka mgombea ambae huenda hata unamfahamu ana tatizo la akili, na ukajua kabisa yupo mgombea wa chama kingine mwenye akili, bado utachagua mgombea mwenye tatizo la akili kwa sababu tu ni wa chama chako CCM, sivyo?
Sasa huo kama sio ujinga ni nini? Ndio maana nimekuita wewe na Watanzania wengine wanaopiga kura katika mtazamo huo kuwa ni wajinga. Mnahitaji kuelimishwa. Sasa sijawahi kuona mjinga anaekubali kuitwa mjinga. Kwa hiyo reaction yako ni typical ya mtu mjinga.
Hata mimi ninashangaa sana kwenye hiliHuwa wanadai CHADEMA inapendwa na wasomi na matajiri. Ni sahihi kabisa. Ila ikifika muda wa kupiga kura wasilaumu kuibiwa kura zao kwa sababu CCM itazoa kura zote za watu wanaotukanwa na CHADEMA