Habari, nawiwa kutoa ushauri wangu wa kitaalamu leo hii (techictal advisory) kwa Mwenyekiti Mbowe na Kamati nzima ya uongozi wa CHADEMA.
Kwa hali ilipofikia sasa, reconciliation yaani munganiko kwa CHADEMA hauepukiki. Wangaalie ni wapi walikosea, waanze kujipanga kama kitu kimoja na wasonge mbele.
Wajitahidi waondoe tofauti zao na waboreshe ofisi zao kila mkoa, wasomeshe vijana elimu za kueleweka ili kuwepo na wasomi wengi.
Wasuke upya baadhi ya sera (policies liforms) ili kuendana na matakwa ya Watazania kwa kipindi hiki.
Vijana changamkeni muitoe CCM madarakani.
Asateni.