CHADEMA, ni wakati wa kufanya mapatano

CHADEMA, ni wakati wa kufanya mapatano

agonalile

Member
Joined
Jan 29, 2023
Posts
50
Reaction score
228
Habari, nawiwa kutoa ushauri wangu wa kitaalamu leo hii (techictal advisory) kwa Mwenyekiti Mbowe na Kamati nzima ya uongozi wa CHADEMA.

Kwa hali ilipofikia sasa, reconciliation yaani munganiko kwa CHADEMA hauepukiki. Wangaalie ni wapi walikosea, waanze kujipanga kama kitu kimoja na wasonge mbele.

Wajitahidi waondoe tofauti zao na waboreshe ofisi zao kila mkoa, wasomeshe vijana elimu za kueleweka ili kuwepo na wasomi wengi.

Wasuke upya baadhi ya sera (policies liforms) ili kuendana na matakwa ya Watazania kwa kipindi hiki.
Vijana changamkeni muitoe CCM madarakani.

Asateni.
 
Kumbe unajua kuandika vizuri kwenye siasa ila ukifika kule kwingine unaandika mauzauza
 
Habari, nawiwa kutoa ushauri wangu wa kitaalamu leo hii (techictal advisory) kwa Mwenyekiti Mbowe na Kamati nzima ya uongozi wa CHADEMA.

Kwa hali ilipofikia sasa, reconciliation yaani munganiko kwa CHADEMA hauepukiki. Wangaalie ni wapi walikosea, waanze kujipanga kama kitu kimoja na wasonge mbele.

Wajitahidi waondoe tofauti zao na waboreshe ofisi zao kila mkoa, wasomeshe vijana elimu za kueleweka ili kuwepo na wasomi wengi.

Wasuke upya baadhi ya sera (policies liforms) ili kuendana na matakwa ya Watazania kwa kipindi hiki.
Vijana changamkeni muitoe CCM madarakani.

Asateni.
Wapatane/waridhiane na nani?Au wajiridhie?
 
Kule kwingine unajifanya hujui
 
Back
Top Bottom