Pimbi ni wazazi wakoWewe pimbi?
Wachana nalo hilo linyarwandaPimbi tena nimekuuliza unaushaidi au njaa inakusumbua
Wewe ni pungaJibu swali. Wewe kiazi?
Bado wewe uzolewe na coronaHawa wapinzani ni tumbo maslahi. Mnashindwa kumuacha JPM apumzike?. Mnataka nani awajibu wakati alishanyamaza milele?. Ninahizunika na kughadhibika Sana!. Muacheni Rais Magufuli apumzike kwa amani.
Atakumbukwa daima kwa kuweka historia ya usalama wa chakula nchini kwa bei inahowezekana kwa kila mwananchi.
"Njaa hudhalilisha heshima na Uhuru wa nchi!. Njiaa hutweza utu wa mwanadamu".
Nakuona pipa na funiko mnapongezana kwa uchawa wa jiwe
Tangu mumeo DAB afukuzwa kibarua siku hizi umepoa kama mchuzi wa samaki uliokosa ndimuAsiyekubali hajui kufikiri hata nje ya boksi
Hao ni zaidi ya mazumbukuku tu ya burigiaSema hua mnafeli bakubwa san!! Ingekua mnatoa facts zenye evidence mngekua smart sana lkn ndo ivo mnaokotaokota vijimamb visivyo na facts wala evidence ili mradi umewaponda hao CDM!! Jifunzeni kujenga hoja zenye facts!!
Comment bora kwa jioni ya leoYaani pesa zote zinavyokombwa serikalini wewe unaumizwa na 100 million ambazo hata huna ushahidi kuwa zimeliwa. Kama Chadema ni mafisadi mbona CAG hajatupa report chafu.
Hizo zilizopelekwa China peke yake ni zaidi ya hizo unazungumzia. Mpaka kesho wameshindwa kutuambia 1.5 Trillion zililiwa na nani? Halafu unakuja humu kujifanya una uchungu na ufisadi nchi hii.... Pathetic!!
Inawezekana kuna kada wa chama hapo lkn pia atakuwa ni sukuma gangModes mko biased sana, mtu Mwerevu akileta mada fikrishi mwafuta uzi, but watu wajinga jinga na mada zao za kijinga jinga mnawaangalia tu...Nakazia tu!!
Hawezi kuona aibu maana akili zake zimeumbwa hivyoUwe na aibu siku zingine. Magufuli na kundi lake wameficha pesa za plea bargain kule China. Halfu Trilioni 1.5 zipo wapi?
Walibakia kusinzia sinzia mjengoniWalivuta au walilipwa. Mbona waliobaki wa CCM hawakuileta hiyo katiba mpya na walikaa mpaka mwisho.
Ni mijitu ya hovyo kabisaNyinyi mna ushahidi gani na mnayoshadadia?ΒΏ
Mtu mzima kushinda kuandika UPUMBAVU kutwa kucha ni dalili ya kupata KICHAA. Magufuli mwenyewe alikuwa mwizi. Muone hapa akiwa anawangaJust imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.
Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.
Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawqdhibiti Chadema . Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.
Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.
Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
AKILI NDOGO HUJADILI BILA USHAHIDI ukiambiwa toa ushahidi utatoa?acha UmbambambaJust imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.
Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.
Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawqdhibiti Chadema . Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.
Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.
Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
Tulia ww muumini wa dhalimu.Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.
Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.
Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawqdhibiti Chadema . Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.
Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.
Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
Tangu mumeo DAB afukuzwa kibarua siku hizi umepoa kama mchuzi wa samaki uliokosa ndimu
Pesa za umma ziko wapi?Sema hua mnafeli bakubwa san!! Ingekua mnatoa facts zenye evidence mngekua smart sana lkn ndo ivo mnaokotaokota vijimamb visivyo na facts wala evidence ili mradi umewaponda hao CDM!! Jifunzeni kujenga hoja zenye facts!!