CHADEMA ni wezi wa mali za umma, hawafai hata kusimama majukwaani na kuropoka chochote. Chuki dhidi ya hayati Magufuli ni sababu alizuia wizi wao

CHADEMA ni wezi wa mali za umma, hawafai hata kusimama majukwaani na kuropoka chochote. Chuki dhidi ya hayati Magufuli ni sababu alizuia wizi wao

Hawa wapinzani ni tumbo maslahi. Mnashindwa kumuacha JPM apumzike?. Mnataka nani awajibu wakati alishanyamaza milele?. Ninahizunika na kughadhibika Sana!. Muacheni Rais Magufuli apumzike kwa amani.

Atakumbukwa daima kwa kuweka historia ya usalama wa chakula nchini kwa bei inahowezekana kwa kila mwananchi.

"Njaa hudhalilisha heshima na Uhuru wa nchi!. Njiaa hutweza utu wa mwanadamu".
Bado wewe uzolewe na corona
 
Sema hua mnafeli bakubwa san!! Ingekua mnatoa facts zenye evidence mngekua smart sana lkn ndo ivo mnaokotaokota vijimamb visivyo na facts wala evidence ili mradi umewaponda hao CDM!! Jifunzeni kujenga hoja zenye facts!!
Hao ni zaidi ya mazumbukuku tu ya burigia
 
Yaani pesa zote zinavyokombwa serikalini wewe unaumizwa na 100 million ambazo hata huna ushahidi kuwa zimeliwa. Kama Chadema ni mafisadi mbona CAG hajatupa report chafu.

Hizo zilizopelekwa China peke yake ni zaidi ya hizo unazungumzia. Mpaka kesho wameshindwa kutuambia 1.5 Trillion zililiwa na nani? Halafu unakuja humu kujifanya una uchungu na ufisadi nchi hii.... Pathetic!!
Comment bora kwa jioni ya leo
 
Modes mko biased sana, mtu Mwerevu akileta mada fikrishi mwafuta uzi, but watu wajinga jinga na mada zao za kijinga jinga mnawaangalia tu...Nakazia tu!!
Inawezekana kuna kada wa chama hapo lkn pia atakuwa ni sukuma gang
 
Uwe na aibu siku zingine. Magufuli na kundi lake wameficha pesa za plea bargain kule China. Halfu Trilioni 1.5 zipo wapi?
Hawezi kuona aibu maana akili zake zimeumbwa hivyo
 
Tunataka ipitishwe sheria kaburi la magufuli kila mwaka lichapwe viboko 72 ili hii tabia isijirudie tena nchini kwetu.
 
Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.

Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.

Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawqdhibiti Chadema . Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.

Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.

Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
Mtu mzima kushinda kuandika UPUMBAVU kutwa kucha ni dalili ya kupata KICHAA. Magufuli mwenyewe alikuwa mwizi. Muone hapa akiwa anawanga
Screenshot_20230201-132543.png
 
Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.

Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.

Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawqdhibiti Chadema . Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.

Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.

Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
AKILI NDOGO HUJADILI BILA USHAHIDI ukiambiwa toa ushahidi utatoa?acha Umbambamba
 
Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.

Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.

Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawqdhibiti Chadema . Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.

Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.

Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
Tulia ww muumini wa dhalimu.
 
Tangu mumeo DAB afukuzwa kibarua siku hizi umepoa kama mchuzi wa samaki uliokosa ndimu

Daaaah!!! Bado munwa niweka pasipo hadi Leo... 🤣🤣🤣 Hayo nimeandika yamekuchoma 💉💉💉💉
 
Sema hua mnafeli bakubwa san!! Ingekua mnatoa facts zenye evidence mngekua smart sana lkn ndo ivo mnaokotaokota vijimamb visivyo na facts wala evidence ili mradi umewaponda hao CDM!! Jifunzeni kujenga hoja zenye facts!!
Pesa za umma ziko wapi?
image_search_1676950590416.jpg
 
Back
Top Bottom