Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #41
Mlinunua kiwanja cha ofisi?Pumbaf wewe mrundi
NonsenseMtu mzima kushinda kuandika UPUMBAVU kutwa kucha ni dalili ya kupata KICHAA. Magufuli mwenyewe alikuwa mwizi. Muone hapa akiwa anawangaView attachment 2524413
Kwa hiyo pesa za umma ziliyeyuka kama barafu?AKILI NDOGO HUJADILI BILA USHAHIDI ukiambiwa toa ushahidi utatoa?acha Umbambamba
Yes ndio maan tunataka ulete evidence zilifanya hiki na zikaenda huku... Lete evidence! Picha hata wazee wa plea bargain walipiga picha na mihela lkn hatujui ziko wapi!!Pesa za umma ziko wapi?View attachment 2524657
Hatimaye umerudi kibaruani na timu yako, Cocochannel, stroke,Nigrantgrant na marafiki zenu 🤔.Karibu tena sisi tupo,jana leo,na hata juzi,🤔Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.
Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.
Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawqdhibiti Chadema . Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.
Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.
Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
Unaumwa?Hatimaye umerudi kibaruani na timu yako, Cocochannel, stroke,Nigrantgrant na marafiki zenu 🤔.Karibu tena sisi tupo,jana leo,na hata juzi,🤔
Wamemukwiba mama Yako?Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.
Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.
Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawqdhibiti Chadema . Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.
Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.
Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
Zilitolewa kujenga nini?Yes ndio maan tunataka ulete evidence zilifanya hiki na zikaenda huku... Lete evidence! Picha hata wazee wa plea bargain walipiga picha na mihela lkn hatujui ziko wapi!!
Nini hiki?Wamemkwi
Wamemkwi a mama Yako?
Uongo mtupu...Cdm hawajahi kuongoza hii nchi, huo uwizi unaowapakazia ni ujinga mtupu.Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.
Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.
Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawqdhibiti Chadema . Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.
Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.
Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
Ushahidi autoe wapi wakati ni habari za kuokoteza ili ainekane ameisema vibaya cdmAKILI NDOGO HUJADILI BILA USHAHIDI ukiambiwa toa ushahidi utatoa?acha Umbambamba
Wewe ndiyo umezoea kuchomwa na DABDaaaah!!! Bado munwa niweka pasipo hadi Leo... [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hayo nimeandika yamekuchoma [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Wapi 1.5trillion za watanzania?Pesa za umma ziko wapi?View attachment 2524657
Wapi 1.5 Trilliona za watanzania?Mlinunua kiwanja cha ofisi?View attachment 2524658
InsaneNonsense
Kama zilivyo ibwa 1.5 trillion za watanzaniaKwa hiyo pesa za umma ziliyeyuka kama barafu?View attachment 2524660
Hawa chawa sasa hivi hawana tena menoHatimaye umerudi kibaruani na timu yako, Cocochannel, stroke,Nigrantgrant na marafiki zenu [emoji848].Karibu tena sisi tupo,jana leo,na hata juzi,[emoji848]
UmerogwaUnaumwa?
Inawezekana ndiyo maana imemchomaWamemukwiba mama Yako?