CHADEMA ni wezi wa mali za umma, hawafai hata kusimama majukwaani na kuropoka chochote. Chuki dhidi ya hayati Magufuli ni sababu alizuia wizi wao

Pumbaf wewe mrundi
Mlinunua kiwanja cha ofisi?
image_search_1676950590416.jpg
 
Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.

Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.

Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawqdhibiti Chadema . Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.

Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.

Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
Hatimaye umerudi kibaruani na timu yako, Cocochannel, stroke,Nigrantgrant na marafiki zenu 🤔.Karibu tena sisi tupo,jana leo,na hata juzi,🤔
 
Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.

Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.

Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawqdhibiti Chadema . Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.

Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.

Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
Wamemukwiba mama Yako?
 
Uongo mtupu...Cdm hawajahi kuongoza hii nchi, huo uwizi unaowapakazia ni ujinga mtupu.

Halafu wanaoendelea kumtuhumu JPM ni hao hao Ccm wenzako.
 
Daaaah!!! Bado munwa niweka pasipo hadi Leo... [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hayo nimeandika yamekuchoma [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Wewe ndiyo umezoea kuchomwa na DAB
 
Hatimaye umerudi kibaruani na timu yako, Cocochannel, stroke,Nigrantgrant na marafiki zenu [emoji848].Karibu tena sisi tupo,jana leo,na hata juzi,[emoji848]
Hawa chawa sasa hivi hawana tena meno
 
Viwanja vya michezo vilijengwa kwa kodi za wananchi ila leo hii CCM wanasema ni vyao.
 
Back
Top Bottom