CHADEMA ni wezi wa mali za umma, hawafai hata kusimama majukwaani na kuropoka chochote. Chuki dhidi ya hayati Magufuli ni sababu alizuia wizi wao

Wakuu hivi ile 1.5 trilion ambaoyo CAG alisema haionekani ilipo je waliirudisha ? Huu mzigo uliopo China na upoje ?
 
Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.

Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.

Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawadhibiti Chadema. Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.

Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.

Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
Nyumba ndogo ya dhalim wewe huna lolote njaa itakuua kwani hata kwenye mirathi humo bwege wewe
 
Huyo ni mjane asiyetambulika
giphy.gif
 
Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.

Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.

Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawadhibiti Chadema. Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.

Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.

Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
Ni mijizi
 
Back
Top Bottom