- Thread starter
- #21
Where...kumbuka hii statement yako halaf baada ya tarehe 28, tuonane nikupe zawadi yako mamaWe’re here to stay✌🏾
Where...kumbuka hii statement yako halaf baada ya tarehe 28, tuonane nikupe zawadi yako mamaWe’re here to stay✌🏾
Mlokuwa frustrated ni nyie , mnapanic sana baada ya kuona vyama vyemu vinaenda kufa, mnajikuta mnaongea mambo ya ajabu, Mnafikiria pesa zenu mmeteketeza alafu hampati kitu, mtazitapika hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
CCM mpo frustrated balaa!
Leo Hapa Maalim Seif, Kule Mbowe, Huku Lissu Pale Sheikh Ponda.
Mtatapika Dagaa![emoji23][emoji23]
Sasa mnatusumbulia nn kututumia masms kwenye Simu zetu na unajuwa upinzani ni dhaifu?Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Oyoooo ,Tarehe 28 ni Kichapo cha Kishindo, CCM juu juu juu zaidi.[emoji172][emoji169][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]Huyu jamaa ana shangaza kweli kweli, Yaani utafikiri ameibuka kutoka sayari ya Pluto huko...
.......Mkuu nakushauri pata muda mzuri wa kulala na kunywa maji mengi ili akili ako ikae sawa, pia punguza kutoa ndoto za asubuhi na mchana kama mama mjamzito...
Wote wote unajifanya huelewiWe unaongelea chadema au act?
Jomba maadam umeamua kuwa mkereketwa wa siasa jifunze kukubaliana na ukweli mchungu Kama haya matokeo ya tafiti...unalalamika kwani una mkataba na wapiga kura au wafuasi..au unategemea kujipigia kura wewe mwenyewe, mmeo, wanao na kukusanya ndugu ili kutegemea kishinda. Kwani vyama vinginevyo vinavyoshindwaga sip vyama...mnapiga kelele utadhani wapiga kura mmewapa mikataba..mpiga kura Leo anaweza kukuchekea lakini anapogeukia boksi la kura anakuchinja..Mwenyewe baada ya kushiba kande na kuvimbiwa akauna uje jf kujamba au siyo.
Waanze kufungasha vilago vyao mapemaaaaaaaaaa....hatutaki shidaHuu ni ukweli usiopingika, Japo watu wanapinga kufariji nafsi zao.
CHADEMA tunawaaga rasmi.Na tunawatakia majukumu mema na kukifufua na kukiboresha Chama chenu baada ya Uchaguzi!
Jiandaeni kisaikolojia mapema, Hatutaki mpate heart attack sababu ya ushindi Mnono wa JOHN POMBE MAGUFULI.
Hiki chama cha Mbowe,chama saccos, chama cha mfukoni kinataka eti kushika dola. Ili wauze hizi ndege, Reli,bwawa la nyerere pamoja na kuiuza nchi kwa kuigawa majimbo kwa kina Robert Amsterdam mshindwe na mlegee. Watanzania hawawezi kufanya upuuzi huo, kupeleka wahuni ikulu, wasagaji, mashoga hapana. Wote twendeni na Mzalendo JPM.Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Habari ndio hiyo..Ni ngumu kumeza najuaAisee!
Nenda Lumumba jukwaa hili huliwezi huna hoja.Jomba maadam umeamua kuwa mkereketwa wa siasa jifunze kukubaliana na ukweli mchungu Kama haya matokeo ya tafiti...unalalamika kwani una mkataba na wapiga kura au wafuasi..au unategemea kujipigia kura wewe mwenyewe, mmeo, wanao na kukusanya ndugu ili kutegemea kishinda. Kwani vyama vinginevyo vinavyoshindwaga sip vyama...mnapiga kelele utadhani wapiga kura mmewapa mikataba..mpiga kura Leo anaweza kukuchekea lakini anapogeukia boksi la kura anakuchinja..
Jiandaeni na matokeo Kama kipindi kile Cha Safari ya matumaini..mkajipange upya
Kama ulichoandika ndiyo tafiti makini basi lazima utakua uliishia darasa la nne. What a waste of brain powerNimesema chadema byebye baada ya tafiti makini niliyoofanya. Kuna neno geni hapo..ndoto zinakujaje hapa tena yarabi toba..mnaogopa nini..aibu au
Hivi tafiti unaifahamu au ndiyo ile Tanzania kila mtu chief, boss, kamanda nk kwa maana kila mtu anaweza fanya tafiti maana hivyo yako mashirika utasikia tumefanya tafiti. Wewe hela ya kula chakula kweli unayo maana unavyosema umezunguka Tanzania nzima sizani unakazi ya kukupa kipato.Habari Wana JF,
Nimewiwa kuandika uzi huu baada ya kumalizia tafiti yangu niliyoofanya kwa mda mrefu katika majimbo ya uchaguzi yote Tanzania bara na Zanzibar...nasema CHADEMA byebye.. nimeshtushwa kumbe makelele yotee yanayopigwa mitandaoni kumbe hamna kitu uhalisia kule mtaani..Ni maajabu na kweli..kwa hivyo sinabudi kuwaaga mapema. Sababu kuu ni hizi:
1) Hakuna sera wananchi wameambiwa ambazo Ni za ukweli na ambazo zitaleta Taifa jipya..nasema hakuna
2) CHADEMA haina address ya uhakika iko wapi sehem ambayo Ni makao makuu inayotegemewa mtu akikimbia na briefcase basi na ofisi itafungwa..
3) CHADEMA haina ofisi za wajumbe, Wala majimbo zinazoeleweka...kule chini kabisa chadema haipo na ndio kwenye wananchi wapiga kura..wao wamejinasibu kwenye Urais na ubunge kidogo
4) Kumbe CHADEMA haina wagombea katika majimbo takribani 60. Saaaa in maana huko kote chama tawala kinazoa kura..hakuna Cha ACT Wala baba yake CUF...Ni aibu..hiyo ACT yenyewe kwa bara Ni Kama hakuna kitu..zero balance anategemea majimbo machache ya kusini na kigoma..nayo Ni bahati nasibu
5) CHADEMA hakina mtandao wa uongozi..wengi wao Ni wapiga kelele tuu bila sera kichwani..
6) CHADEMA wanamtegemea Lissu ambaye hajaweza kukuna mioyo ya wananchi. Wengi wanaohudhuria Ni kwenda kupoteza wakati to, entertainment Fulani vijijini.ukishaondoka wanakusahau, eti Kuna mtu anaitwa Tundu...
7) CHADEMA wamekula fedha nyingi Sana ambazo hazina idadi..mabilioni kadhaa kupitia michango, mtandao wa chadema,..mapato ambayo wameshapata hayalingani na matumizi..fedha zinaliwa kiaina
8) Inahisiwa Kuna mtafaruku ndani ya chadema..na ndio maana inahisiwa Tundu hajawahi gusa ofisi za Ufipa..tangu arudi..Tanzania..yeye mwenyewe hawaamini hao waliopo kina Mwenyekiti, na wengine nahii Ni kwa sababu za taarifa mbalimbali zilizosababisha TL apigwe risasi..zipo taarifa nyingi za kitafiti nitaziweka humu muda ukiruhusu.
Asalaam aleikhum Waungwana
Yaani wanahaha utadhani kuku anaetafuta pakutagia[emoji23][emoji23][emoji23]
CCM mpo frustrated balaa!
Leo Hapa Maalim Seif, Kule Mbowe, Huku Lissu Pale Sheikh Ponda.
Mtatapika Dagaa![emoji23][emoji23]
Hawa ndo watu ambao wameshikwa akili zao na viongozi wao, kwanza nikuulize unajua faida ya hivyo vitu vyote ulivyozungumza, anty li na viongozi wote wa chadema wanajua sema wanawalaghai nyinyi ambao akili zenu fupi ilimradi muwachague.CCM wana sera gani miaka 60 ya uhuru 90% ya watanzania ni fukara wa kutupwa?
CCM hata tuwape miaka 700 hakuna kitu watafanya kipya nchi hii.
Miaka 60 ya uhuru tunakuja kuambiwa daraja ni maendeleo, eti tumejenga flyover, mtu wa Namtumbo daraja linamsaidia nini?
Miaka 60 ya uhuru tunakuja kuambiwa ndege ni maendeleo, ndege zinamsaidia nini mtu alieko kijiji cha Nampulukano ambae hajui hata kesho anakula nini?
Miaka 60 ya uhuru tunakuja kuambiwa eti serikali imrhamia Dodoma, kwani kuna siku matatizo ya watanzania yaliwahi kua serikali kua Dar? Serikali hata ingekua mbinguni au kuzimu watu wanachokitaka ni kutatuliwa shida zao sio serikali iko wapi.
CCM hakuna ilichokifanya kwa miaka 60 ya uhuru.
Maendeleo yapi kutoka CCM? Miaka 60 bado mnazungumzia eti habari ya maji kweli? Poor Chichiem kabisa[emoji23][emoji23]Jambajamba mnaipata nyie ,maana kila kukicha mnalia na mabeberu wenu wawasaidie,
Kijana shtuka chagua Maendeleo,Amani,
Kura yangu Kwa Magufuli, wabunge na madiwani wa CCM
[emoji23][emoji23][emoji23]hatakutafuta huyoooWhere...kumbuka hii statement yako halaf baada ya tarehe 28, tuonane nikupe zawadi yako mama
Tuonyeshe Msg ulizotumiwaSasa mnatusumbulia nn kututumia masms kwenye Simu zetu na unajuwa upinzani ni dhaifu?
Hamtaki kukubali ukweli ee.....[emoji23][emoji23][emoji23]Nenda Lumumba jukwaa hili huliwezi huna hoja.